Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna kesi nyingi sana zilizofanyiwa hukumu na ambazo mashauri yanaendelea na wengi wa watuhumiwa ni kutokana kaya masikini sana ambao hawana uwezo wa kuweka Mawakili katika Mahakaman mbali...
3 Reactions
11 Replies
722 Views
MBUNGE CHEREHANI: TUMIENI UMEME WA REA KUJILETEA MAENDELEO SIO KUWASHA TAA PEKEE Mbunge wa jimbo la Ushetu, Mhe. Emannuel Cherehani amewataka wananchi kutumia uwepo wa umeme wa Wakala wa Nishati...
2 Reactions
3 Replies
422 Views
Hadi waigizaji na wanamziki wanaajiriwa na kulipwa fedha nzuri na wamiliki wa vyombo vya habari ni kwa sababu waliosomea hii kazi wameacha taaluma na kuishi kwa kuambiwa na kufikirishwa. Leo hii...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni asubuhi Tulivu yenye mvua kwa maeneo mengi katika Jiji la DSM Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe anazungumza na Taifa muda mchache ujao. Ni siku ya Kihistoria kwani Feeman Mbowe...
6 Reactions
30 Replies
22K Views
1. Bunge linapaswa kuundwa na wabunge wasiozidi 300. Kwamba muundo wa majimbo uliopo ufutwe na badala yake wilaya ndio zinapaswa kuwa majimbo ya uchaguzi kwa kuwa na wabunge wawili wa kuchaguliwa...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Moja ya tatizo kubwa kwenye kilimo ni mawaziri na viongozi kwa ujumla kutojua chochote kuhusu uhalisia wa kilimo. Hili ni tatizo toka uhuru wetu. Bashe ni mmoja wa mawaziri aliyejitahidi kuleta...
3 Reactions
83 Replies
4K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea kuisisitiza Serikali kuhakikisha Miswada mitatu iliyopelekwa bungeni kuakisi maoni na mapendekezo ya wadau wa demokrasia nchini. Miswada hiyo ni pamoja na...
0 Reactions
3 Replies
620 Views
Habari za wakati Huu; Haya ni maoni ambayo pia nimeona niyalete hapa tuyaone. Moja kati ya changamoto kubwa kuliko katika Demokrasia ya Tanzania ni swala zima la Msimamizi wa Uchaguzi. Je Jukumu...
1 Reactions
1 Replies
411 Views
Taarifa zilizozagaa kila mahali zinadokeza kwamba , mchango wa maoni ya Sheikh Amiri Musa Kundecha aliyoyatoa kwa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba , kuhusu marekebisho ya Sheria za Uchaguzi...
18 Reactions
101 Replies
26K Views
Kwa drama hii inayofanywa na Serikali kuhusu miswada hii au kama alivyoiita Mbowe kuwa ni MATUSI, basi IT IS OVER BEFORE IT BEGINS. CCM wameshaamua kuwa miswada hii inaenda kama ilivyo with...
1 Reactions
1 Replies
641 Views
Bunge lina Wabunge wa CCM kwa zaidi ya 98% so hakuna muswada wowote wa kuitia kitanzi CCM utakaopitishwa. Ni mjinga tu anayeamini CCM itawaondosha Wakurugenzi wa Halmashauri na Walimu kwenye...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Muda mfupi baada ya Mbowe kusema kutakuwa na maandamano tarehe 24.01.24 maelekezo yametolewa kila kona watafutwe wanachama wahojiwe na vyombo vya habari wapinge maandamano hayo. Siamini katika...
2 Reactions
4 Replies
716 Views
Kwanza, Mungu yupo upande wako kwa kazi nzuri unazo wanyanyia waja wake. Pili, watanzania wote wenye mapenzi mema wanakuunga mkono umewaonyesha njia. Tatu, wanawake ni jeshi kubwa wameamua na...
5 Reactions
64 Replies
3K Views
Wanabodi, Japo bandiko hili liko addressed kwa Mhe. Zitto, lakini hoja zake ni kwa Wapinzani wote, namuelekezea Zitto Kabwe kwa sababu kwa maoni yangu ndio mpinzani pekee kwa sasa anayeweza...
18 Reactions
174 Replies
20K Views
Ni hilo tu mtangazaji mkongwe Pascal Mayalla kama itakupendeza muulize mwenyekiti mh Mbowe iwapo anafikiria kustaafu mwaka huu kama KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo Nawatakia Sabato Njema 😀
5 Reactions
44 Replies
21K Views
Wanabodi Declaration of interest, japo Paskali ni mwanachama, wa chama cha siasa, maoni yangu ni maoni ya Mtanzania Mzalendo wa kweli wa nchi yake anayetanguliza mbele maslahi ya taifa kwa kutoa...
30 Reactions
151 Replies
17K Views
Hatua ya mwekezaji Mwingereza kuishtaki Zanzibar kutokana na uamuzi wa serikali ya Dkt Mwinyi kuvunja mkataba wa kukodi ardhi inaweza kuwa na athari kwa mwanasiasa huyo 2025. Kampuni ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hali ilivyo nchini kuna njia mbili yakuamua siasa za 2024 hadi 2025. Njia ya kwanza ni chama cha mapinduzi kuweka kwenye safu yake viongozi wenye ushawishi kwa jamii. Kwa mtazamo wangu hakuna jina...
0 Reactions
1 Replies
548 Views
Ukiangalia Kikosi cha Chadema cha sasa hakuna muandamanaji pale ni kuwadanganya tu Wananchi Wale wanaotaka mabadiliko ya kweli ni heri waungane na Vuguvugu la akina Dr Mdude na Wakili msomi...
0 Reactions
0 Replies
358 Views
Back
Top Bottom