Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,711
- 218,260
Taarifa zilizozagaa kila mahali zinadokeza kwamba , mchango wa maoni ya Sheikh Amiri Musa Kundecha aliyoyatoa kwa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba , kuhusu marekebisho ya Sheria za Uchaguzi umedhibitiwa na kufichwa.
Taarifa zingine zikidokeza kwamba Waandishi wa Habari wameonywa wasiusambaze popote na wala haijulikani sababu ya jambo hilo kudhibitiwa kiasi hicho.
Natoa wito kwa wadau wa JF kuutafuta mchango huo wa Shehe Kundecha na kuuanika hadharani ili tuone yaliyomo, JF Haijawahi kushindwa jambo.
Naomba kuwasilisha.
===