Maoni ya Mdude Mpaluka Nyagali juu ya Muundo wa Bunge

Mdude_Nyagali

Member
Dec 11, 2022
60
1,237
1. Bunge linapaswa kuundwa na wabunge wasiozidi 300. Kwamba muundo wa majimbo uliopo ufutwe na badala yake wilaya ndio zinapaswa kuwa majimbo ya uchaguzi kwa kuwa na wabunge wawili wa kuchaguliwa mmoja akiwa mwakilishi wa wanawake jimbo husika.

Bunge hilo litaundwa na wabunge wa aina tatu kama ifuatavyo;

a). Wabunge wa kuchaguliwa majimboni watakuwa 139 sawa sawa na idadi ya wilaya nchini. NB Mbunge katika jimbo ndio atakuwa msimamizi mkuu wa shughuli zote za maendeleo na pia atakuwa mwenyekiti wa kamati ya nidhamu na uwajibikaji kwa watumishi wa serikali katika halmashauri ndani ya jimbo lake. Hivyo kupunguza gharama kwa serikali hahitajiki wakuu wa wilaya kuwepo.

b). Wabunge wanaowakilisha wanawake watakuwa 139 sawa sawa na idadi ya wilaya nchini. NB Wabunge hawa watapigiwa kura na wanawake wote wenye sifa za kupiga kura katika jimbo husika kwa mujibu wa katiba, sheria na kanuni za tume Huru ya uchaguzi.

c.) Wabunge wanaotokana na kura za Urais. Kwamba wagombea urais ambao hawakushinda uchaguzi lakini walipata kura zaidi ya asilimia 1 ya kura zote moja kwa moja watateuliwa na tume ya uchaguzi kuwa wabunge.
Mgombea wa Urais aliyeshika nafasi ya pili baada ya majumuisho ya kura
zote moja kwa moja ndiye atakuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani.

Kwa undani zaidi unaweza kupakua pdf hapa chini.

Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment MUUNDO WA BUNGE- Mdude's Dreams.pdf
 
Nadhani solution iwe tu serikali za majimbo ili tuwe na bunge la kitaifa la watu 50 tu bara na 25 wa kutokea visiwani jumla 75.

Zaidi ya hapo halmashauri zipewe nguvu kwamba madiwani wawe na administrative powers ili tuondoe Wakuu wa wilaya na mikoa ambao ni overlapping kwa wenyeviti wa halmashauri na DEDs.

Viti maalum vifutwe kabisa iwekwe tu sheria kwamba kila chama kihakikishe walau 30% ya wagombea ni wanawake na inaweza ikatumika consensus tu kiasi kwamba asiyefikisha hiyo thresholds hapati ruzuku.
 
Kila siku wabunge wa kuwakilisha wanawake bungeni, je sie wanaume tunawakilishwa na kina nani huko bungeni???
 
1. Bunge linapaswa kuundwa na wabunge wasiozidi 300. Kwamba muundo wa majimbo uliopo ufutwe na badala yake wilaya ndio zinapaswa kuwa majimbo ya uchaguzi kwa kuwa na wabunge wawili wa kuchaguliwa mmoja akiwa mwakilishi wa wanawake jimbo husika.

Bunge hilo litaundwa na wabunge wa aina tatu kama ifuatavyo;

a). Wabunge wa kuchaguliwa majimboni watakuwa 139 sawa sawa na idadi ya wilaya nchini. NB Mbunge katika jimbo ndio atakuwa msimamizi mkuu wa shughuli zote za maendeleo na pia atakuwa mwenyekiti wa kamati ya nidhamu na uwajibikaji kwa watumishi wa serikali katika halmashauri ndani ya jimbo lake. Hivyo kupunguza gharama kwa serikali hahitajiki wakuu wa wilaya kuwepo.

b). Wabunge wanaowakilisha wanawake watakuwa 139 sawa sawa na idadi ya wilaya nchini. NB Wabunge hawa watapigiwa kura na wanawake wote wenye sifa za kupiga kura katika jimbo husika kwa mujibu wa katiba, sheria na kanuni za tume Huru ya uchaguzi.

c.) Wabunge wanaotokana na kura za Urais. Kwamba wagombea urais ambao hawakushinda uchaguzi lakini walipata kura zaidi ya asilimia 1 ya kura zote moja kwa moja watateuliwa na tume ya uchaguzi kuwa wabunge.
Mgombea wa Urais aliyeshika nafasi ya pili baada ya majumuisho ya kura
zote moja kwa moja ndiye atakuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani.

Kwa undani zaidi unaweza kupakua pdf hapa chini.

Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2870478
UMEDUKUWA ULE UCHAFU WA WARYOBA NA G55 YAO
 
Pia usisahau;
1. Wagombea wawe wazaliwa halisi wa maeneo wanaogombea au wakazi kabisa.

2. Na pia wawe wamesoma shule za Serikali walau shule (Msingi, Sekondari au Sekondari kuu au chuo) mbili na kuendelea.

Hawa watakuwa wanajua ABC kuhusu adha zao na mahitaji yao RAIA bila kusoma kwenye makaratasi.
 
Mbunge awe mzaliwa wa jimbo husika na awe amesoma shule za serikali kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu. Awe angalau na milioni 50 kwenye ukwasi wake binafsi kabla ya kuwa mbunge,
Awe angalau na degrii mbili alizozipata kabla ya kuwa mbunge.
Awe na shamba lilipandwa miti angalau ekari.
Tupunguze mtu yoyote kuibuka na kuwa mbunge.
Kila baada ya mwaka mmoja kila kijiji nipige kura ya tathmini dhidi ya utendaji kazi wa mbunge,
Kusiwepo mkuu wa wilaya,bali awepo katibu tawala mteule wa raisi ini ku monitor kazi na rasilimali fedha za umma.
 
Pia usisahau;
1. Wagombea wawe wazaliwa halisi wa maeneo wanaogombea au wakazi kabisa.

2. Na pia wawe wamesoma shule za Serikali walau shule (Msingi, Sekondari au Sekondari kuu au chuo) mbili na kuendelea.

Hawa watakuwa wanajua ABC kuhusu adha zao na mahitaji yao RAIA bila kusoma kwenye makaratasi.
Achana na kitu madaraka yaani unasahau ulipotoka,
Sema apatikane kiongozi mwenye spirit na juhudi anaweza kuwa kakulia hapo lakini akipata tu nafasi hakuna analofanya.
 
Ma
Nadhani solution iwe tu serikali za majimbo ili tuwe na bunge la kitaifa la watu 50 tu bara na 25 wa kutokea visiwani jumla 75.

Zaidi ya hapo halmashauri zipewe nguvu kwamba madiwani wawe na administrative powers ili tuondoe Wakuu wa wilaya na mikoa ambao ni overlapping kwa wenyeviti wa halmashauri na DEDs.

Viti maalum vifutwe kabisa iwekwe tu sheria kwamba kila chama kihakikishe walau 30% ya wagombea ni wanawake na inaweza ikatumika consensus tu kiasi kwamba asiyefikisha hiyo thresholds hapati ruzuku.
Diwani wawe na administrative power? Madiwani hawahawa wa darasa la saba? Kutwa kuwaza unafiki,wizi na majungu? Nitakuwa mpumbavu wa mwisho kukubaliana na hoja yangu hiyo kifala
 
1. Bunge linapaswa kuundwa na wabunge wasiozidi 300. Kwamba muundo wa majimbo uliopo ufutwe na badala yake wilaya ndio zinapaswa kuwa majimbo ya uchaguzi kwa kuwa na wabunge wawili wa kuchaguliwa mmoja akiwa mwakilishi wa wanawake jimbo husika.

Bunge hilo litaundwa na wabunge wa aina tatu kama ifuatavyo;

a). Wabunge wa kuchaguliwa majimboni watakuwa 139 sawa sawa na idadi ya wilaya nchini. NB Mbunge katika jimbo ndio atakuwa msimamizi mkuu wa shughuli zote za maendeleo na pia atakuwa mwenyekiti wa kamati ya nidhamu na uwajibikaji kwa watumishi wa serikali katika halmashauri ndani ya jimbo lake. Hivyo kupunguza gharama kwa serikali hahitajiki wakuu wa wilaya kuwepo.

b). Wabunge wanaowakilisha wanawake watakuwa 139 sawa sawa na idadi ya wilaya nchini. NB Wabunge hawa watapigiwa kura na wanawake wote wenye sifa za kupiga kura katika jimbo husika kwa mujibu wa katiba, sheria na kanuni za tume Huru ya uchaguzi.

c.) Wabunge wanaotokana na kura za Urais. Kwamba wagombea urais ambao hawakushinda uchaguzi lakini walipata kura zaidi ya asilimia 1 ya kura zote moja kwa moja watateuliwa na tume ya uchaguzi kuwa wabunge.
Mgombea wa Urais aliyeshika nafasi ya pili baada ya majumuisho ya kura
zote moja kwa moja ndiye atakuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani.

Kwa undani zaidi unaweza kupakua pdf hapa chini.

Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2870478
Unasema wabunge wanawake wapewe nafasi 139.

Katika wale wa kuchaguliwa na wote wanawake na wanaume wanawake 40, 50 au zaidi wanaweza kushinda.

Mwisho wa siku kwa huu muundo wako wanaume bungeni wanaweza kubaki na nafasi chache sana.

Hilo litakuwa bunge la wanawake Tanzania kuwakilisha wanawake.

Nchi itabidi itafute bunge lingine la Watanzania wote.
 
Vikao vyote vya Kamati za Kudumu za Bunge kama PAC, LAAC, utawala sheria na katiba, Miundo Mbinu Nishati, Uwekezaji PIC n.k lazima viwe mubashara / live badala ya kuwa siri
 
1. Bunge linapaswa kuundwa na wabunge wasiozidi 300. Kwamba muundo wa majimbo uliopo ufutwe na badala yake wilaya ndio zinapaswa kuwa majimbo ya uchaguzi kwa kuwa na wabunge wawili wa kuchaguliwa mmoja akiwa mwakilishi wa wanawake jimbo husika.

Bunge hilo litaundwa na wabunge wa aina tatu kama ifuatavyo;

a). Wabunge wa kuchaguliwa majimboni watakuwa 139 sawa sawa na idadi ya wilaya nchini. NB Mbunge katika jimbo ndio atakuwa msimamizi mkuu wa shughuli zote za maendeleo na pia atakuwa mwenyekiti wa kamati ya nidhamu na uwajibikaji kwa watumishi wa serikali katika halmashauri ndani ya jimbo lake. Hivyo kupunguza gharama kwa serikali hahitajiki wakuu wa wilaya kuwepo.

b). Wabunge wanaowakilisha wanawake watakuwa 139 sawa sawa na idadi ya wilaya nchini. NB Wabunge hawa watapigiwa kura na wanawake wote wenye sifa za kupiga kura katika jimbo husika kwa mujibu wa katiba, sheria na kanuni za tume Huru ya uchaguzi.

c.) Wabunge wanaotokana na kura za Urais. Kwamba wagombea urais ambao hawakushinda uchaguzi lakini walipata kura zaidi ya asilimia 1 ya kura zote moja kwa moja watateuliwa na tume ya uchaguzi kuwa wabunge.
Mgombea wa Urais aliyeshika nafasi ya pili baada ya majumuisho ya kura
zote moja kwa moja ndiye atakuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani.

Kwa undani zaidi unaweza kupakua pdf hapa chini.

Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2870478
Hizo a,b,c zote naona haiwezekani kuzitekeleza.Mbunge hawezi kuwa sawa na mkuu wa wilaya ,na hawezi kuwa mwenyekiti wa nidhamu kwa watumishi wa Serikali .kwa sababu mbunge anaweza kutoka chama Cha upinzani.sasa akiwasimamia watumishi wa umma hizo ni

Kwamba mwakilishi wa wabunge wa kike atachaguliwa na wanawake . unajuaje kuwa mpiga kura ni mwanamke?
 
Ma
Diwani wawe na administrative power? Madiwani hawahawa wa darasa la saba? Kutwa kuwaza unafiki,wizi na majungu? Nitakuwa mpumbavu wa mwisho kukubaliana na hoja yangu hiyo kifala
Usikurupuke, kwa mapendekezo ya Warioba ilikua Degree kwa wabunge na walau secondary/diploma kwa madiwani meaning uki restructure lazima upandishe vigezo vya elimu na experience.
 
Nadhani solution iwe tu serikali za majimbo ili tuwe na bunge la kitaifa la watu 50 tu bara na 25 wa kutokea visiwani jumla 75.

Zaidi ya hapo halmashauri zipewe nguvu kwamba madiwani wawe na administrative powers ili tuondoe Wakuu wa wilaya na mikoa ambao ni overlapping kwa wenyeviti wa halmashauri na DEDs.

Viti maalum vifutwe kabisa iwekwe tu sheria kwamba kila chama kihakikishe walau 30% ya wagombea ni wanawake na inaweza ikatumika consensus tu kiasi kwamba asiyefikisha hiyo thresholds hapati ruzuku.
Simple, clear and precise. Fantastic.
 
1. Bunge linapaswa kuundwa na wabunge wasiozidi 300. Kwamba muundo wa majimbo uliopo ufutwe na badala yake wilaya ndio zinapaswa kuwa majimbo ya uchaguzi kwa kuwa na wabunge wawili wa kuchaguliwa mmoja akiwa mwakilishi wa wanawake jimbo husika.

Bunge hilo litaundwa na wabunge wa aina tatu kama ifuatavyo;

a). Wabunge wa kuchaguliwa majimboni watakuwa 139 sawa sawa na idadi ya wilaya nchini. NB Mbunge katika jimbo ndio atakuwa msimamizi mkuu wa shughuli zote za maendeleo na pia atakuwa mwenyekiti wa kamati ya nidhamu na uwajibikaji kwa watumishi wa serikali katika halmashauri ndani ya jimbo lake. Hivyo kupunguza gharama kwa serikali hahitajiki wakuu wa wilaya kuwepo.

b). Wabunge wanaowakilisha wanawake watakuwa 139 sawa sawa na idadi ya wilaya nchini. NB Wabunge hawa watapigiwa kura na wanawake wote wenye sifa za kupiga kura katika jimbo husika kwa mujibu wa katiba, sheria na kanuni za tume Huru ya uchaguzi.

c.) Wabunge wanaotokana na kura za Urais. Kwamba wagombea urais ambao hawakushinda uchaguzi lakini walipata kura zaidi ya asilimia 1 ya kura zote moja kwa moja watateuliwa na tume ya uchaguzi kuwa wabunge.
Mgombea wa Urais aliyeshika nafasi ya pili baada ya majumuisho ya kura
zote moja kwa moja ndiye atakuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani.

Kwa undani zaidi unaweza kupakua pdf hapa chini.

Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2870478
Kuna wilaya zina maeneo makubwa kijiografia na watu wengi pia kwa mujibu wa sensa ya 2022. Hivyo huo utaratibu wa mbunge mmoja kwa wilaya moja haufai kwa vile utazipunja wilaya zenye maeneo na watu wengi (non equitable)
 
Back
Top Bottom