CHADEMA, Huwa inawasaidia vipi raia wenye kesi za jinai na madai dhidi ya Jamhuri kwa kuwawekea Mawakili? Au ndo wanaishia kuwachangisha tu?

Konseli Mkuu Andrew

JF-Expert Member
May 10, 2013
740
855
Kuna kesi nyingi sana zilizofanyiwa hukumu na ambazo mashauri yanaendelea na wengi wa watuhumiwa ni kutokana kaya masikini sana ambao hawana uwezo wa kuweka Mawakili katika Mahakaman mbali mbali.Kwakuwa CHADEMA ni chama kinachopigania haki na demokrasia , kina program yoyote ya kuwasaidia hawa raia?

Hapa namaanisha sio hadi awe mwanachama wa CHADEMA .

Nawasilisha.
 
Achana na chadema au ccm, jiulize

Watanzania wanawasaidia vipi raia wenzao wenye kesi za jinai na madai dhidi ya Jamhuri, au wananchi wasipotendewa haki?​

Hii hali ya kusubiri taasisi fulani iseme au ifanye jambo kwaajili ya wengine ndio imetuweka hapa.
 
Nimeanza kufahamu program za CHADEMA mkuu, huko unakotaka nije nitakufikia
 
Kuna kesi nyingi sana zilizofanyiwa hukumu na ambazo mashauri yanaendelea na wengi wa watuhumiwa ni kutokana kaya masikini sana ambao hawana uwezo wa kuweka Mawakili katika Mahakaman mbali mbali.
Mkuu Konseli Mkuu Andrew , ni kweli Watanzania wengi wanateseka kwa kukosa haki zao kutokana na umasikini kwa wananchi wengi wanaishi katika lindi la umasikini uliotopea.
Kwakuwa CHADEMA ni chama kinachopigania haki na demokrasia , kina program yoyote ya kuwasaidia hawa raia?

Hapa namaanisha sio hadi awe mwanachama wa CHADEMA .

NawNawasilisha
CHADEMA ni chama cha kidemokrasia jina tuu, kama kinashindwa kujipigania haki zake tuu, kitaweza vipi kupigania haki za wengine?.

Ila pia tuko akina sisi ambao tumejitolea kuwasaidia Watanzania masikini kupata haki zao
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=d-hm03_i5ZzOuNXj
P
 
Mkuu Konseli Mkuu Andrew , ni kweli Watanzania wengi wanateseka kwa kukosa haki zao kutokana na umasikini kwa wananchi wengi wanaishi katika lindi la umasikini uliotopea.

CHADEMA ni chama cha kidemokrasia jina tuu, kama kinashindwa kujipigania haki zake tuu, kitaweza vipi kupigania haki za wengine?.

Ila pia tuko akina sisi ambao tumejitolea kuwasaidia Watanzania masikini kupata haki zao
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=d-hm03_i5ZzOuNXj
P

Mkuu hongera sana kwa hiki Kipindi cha HAKI KWA MASLAHI YA TAIFA .Hiki ndicho tunachohitaji kutoka kwa watanzania wanawatakia mema wengine.Hongera sana.Mungu aendelee kukupa afya na weledi katika kutimiza hiki ulichokianza
 
Back
Top Bottom