Updates: Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa Taifa

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Ni asubuhi Tulivu yenye mvua kwa maeneo mengi katika Jiji la DSM

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe anazungumza na Taifa muda mchache ujao.

Ni siku ya Kihistoria kwani Feeman Mbowe anazungumza na Taifa kupitia makao makuu mapya ya chama eneo la Mikocheni Jijini DSM.

Ni makao makuu mapya na yanayoendana na ukubwa wa chama hiki chenye mvuto kwa mamilioni ya Watanzania.

Ni makao makuu mapya yanayoonesha uongozi thabiti na mahiri wa mwanamapinduzi Freeman Mbowe ambaye uongozi wake unahitajika bado kwa miaka mingi ijayo ndani ya chama hiki kinachokiweka roho juu CCM.

Sisi wa Molemo Media tutakuwa Mubashara kuwaletea kila kitakachojiri.

Karibuni sana....

Updates....
Hali ilivyo sasa Makao Makuu Saa 5.30 asubuhi

Kwa muda huu hapa Makao makuu Mikocheni kumefurika umati mkubwa wa wanachama hususan kutoka Kanda hii ya Pwani pamoja na viongozi mbalimbali wa ngazi zote.Pia kuna idadi kubwa ya wanahabari wa vyombo vyote

Maandalizi yote muhimu yamekamilika na kilichobaki na kumsubiri Mwenyekiti Freeman Mbowe na viongozi wenzake wakuu wa chama.

Mwenyekiti amewasili saa 6 kamili akiongozana na Katibu Mkuu John Mnyika na viongozi wengine

Hotuba ya Mwenyekiti..

Mwenyekiti amezungumzia kuhusu Kikao cha Kamati kuu na maazimio yake kilichofanyika tarehe 8/1/2024 na kuazimia yafuatayo,

1.Kuitisha maandamano ya Amani Dar tarehe 24/1/2024 kushinikiza serikali kuondoa miswada iliyopeleka bungeni kuhusu uchaguzi

2.Kuitaka serikali kurekebisha mifumo yake inayosababisha kupanda kwa gharama za maisha hasa bei za vitu na bidhaa mbalimbali
 
Ni asubuhi Tulivu yenye mvua kwa maeneo mengi katika Jiji la DSM

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe anazungumza na Taifa muda mchache ujao.

Ni siku ya Kihistoria kwani Feeman Mbowe anazungumza na Taifa kupitia makao makuu mapya ya chama eneo la Mikocheni Jijini DSM

Ni makao makuu mapya na yanayoendana na ukubwa wa chama hiki chenye mvuto kwa mamilioni ya Watanzania.

Ni makao makuu mapya yanayoonyesha uongozi thabiti na mahiri wa mwanamapinduzi Freeman Mbowe ambaye uongozi wake unahitajika bado kwa miaka mingi ijayo ndani ya chama hiki kinachokiweka roho juu CCM.

Sisi wa Molemo Media tutakuwa Mubashara kuwaletea kila kitakachojiri.

Karibuni sana....
najiungaje na nyinyi?
 
Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe anazungumza na Taifa muda mchache ujao.
Asante sana Mkuu Molemo , hii sio ya kukosa. Ila kila nikikutana na bandiko lako, nakumbuka ile ban yangu ya kwanza na mwisho hapa jf, na the issue ilikuwa ni kuhusu ofisi yenu ya Ufipa.
Ni siku ya Kihistoria kwani Feeman Mbowe anazungumza na Taifa kupitia makao makuu mapya ya chama eneo la Mikocheni Jijini DSM.
Ni kweli kabisa ni siku ya Kihistoria kwasababu Chadema imesimangwa sana kuhusu pale Mtaa wa Ufipa, hivyo sasa Chadema imejenga heshima.
Ni makao makuu mapya na yanayoendana na ukubwa wa chama hiki chenye mvuto kwa mamilioni ya Watanzania.
Ni kweli, Chadema ndicho chama kikuu cha upinzani kwa huku bara, na sio tuu kinapendwa na mamilioni ya Watanzania, bali pia kinapendwa na mamia ya wana CCM objective wanaothamini the role of opposition in a country, wanaipenda Chadema, akiwemo Rais Samia ambaye amekubali kukaa nao mezani kwenye maridhiano, na kuwakubalia kugawana nao nusu mkate.
Ni makao makuu mapya yanayoonesha uongozi thabiti na mahiri wa mwanamapinduzi Freeman Mbowe
Ni kweli
ambaye uongozi wake unahitajika bado kwa miaka mingi ijayo ndani ya chama hiki
Hapa ndipo tunapotofautiana ila ...
kinachokiweka roho juu CCM.
Chadema haituweki roho juu CCM, bali ni CCM ndio tunailea Chadema, Mama ni mlezi wa wana, Chadema imepata bahati ya kupendwa na Mama na inalelewa kama mtoto mpendwa imekaribishwa kula meza kuu na kugawana na CCM nusu mkate.
Sisi wa Molemo Media tutakuwa Mubashara kuwaletea kila kitakachojiri.
Nilitegemea Chadema wawe na TV yake, wawe na redio yake, wawe na magazeti yake, wawe na online media zake, hiyo press conference room iwe na multimedia facilities hivyo kila press conference za Chadema ziwe live streaming .
Karibuni sana....
Asante tunakaribia
P
 
Ofisi mpya
 
Attachments

  • IMG-20240112-WA0099.jpg
    IMG-20240112-WA0099.jpg
    127.2 KB · Views: 3
  • IMG-20240112-WA0100.jpg
    IMG-20240112-WA0100.jpg
    160.1 KB · Views: 3
  • IMG-20240113-WA0002.jpg
    IMG-20240113-WA0002.jpg
    79.3 KB · Views: 4
  • IMG-20240113-WA0003.jpg
    IMG-20240113-WA0003.jpg
    107.6 KB · Views: 3
Ni asubuhi Tulivu yenye mvua kwa maeneo mengi katika Jiji la DSM

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe anazungumza na Taifa muda mchache ujao.

Ni siku ya Kihistoria kwani Feeman Mbowe anazungumza na Taifa kupitia makao makuu mapya ya chama eneo la Mikocheni Jijini DSM.

Ni makao makuu mapya na yanayoendana na ukubwa wa chama hiki chenye mvuto kwa mamilioni ya Watanzania.

Ni makao makuu mapya yanayoonesha uongozi thabiti na mahiri wa mwanamapinduzi Freeman Mbowe ambaye uongozi wake unahitajika bado kwa miaka mingi ijayo ndani ya chama hiki kinachokiweka roho juu CCM.

Sisi wa Molemo Media tutakuwa Mubashara kuwaletea kila kitakachojiri.

Karibuni sana....
Safi sana Kamanda , mimi niko hapa getini nafuatilia Kwa ukaribu sana misafara inayoingia
 
Back
Top Bottom