Ukiangalia Kikosi cha Chadema cha sasa hakuna muandamanaji pale ni kuwadanganya tu Wananchi
Wale wanaotaka mabadiliko ya kweli ni heri waungane na Vuguvugu la akina Dr Mdude na Wakili msomi...
Leo wakati namsikiliza Mh. Aikael Freeman Mbowe, amegusia jambo ambalo kwa kweli kwa maoni yangu naona yuko sahihi kwa 100%.
Hii Serikali ukiangalia maisha wanayoishi Viongozi na Raia, utafikiri...
Shirika la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege ya abiria ya masafa ya kati aina ya B737-9MAX ambayo uundaji wake umekamilika itakayowasiri kesho Oktoba 03, 2023.
Ndege hiyo yenye...
03 August 2022
Kuna Uhitaji Mkubwa wa Huduma za ndege kubwa nyada za juu kusini
Ndege kubwa ya ATCL aina ya Airbus A220-300 yaanza safari zake uwanja wa Songwe. Viongozi wafunguka kigugumizi...
- Kukatika katika hovyo kwa umeme
- Fukuza fukuza ya machinga
- Kuongeza nauli hovyo hovyo
- Ubovu wa miundombinu ya barabara
- Kukwama kwa miradi mbalimbali
- Mfumko wa kutisha wa bei
-...
"Kila baada ya miaka mitano, asilimia takribani 65 ya wabunge hawarudi [hawachaguliwi tena]. Kwahivyo, hata utishie namna gani, utatoka tu kama wakati wako wa kutoka umefika." - Mbunge wa Nzega...
Mama anawapenda sana waarabu,je anafurahia sherehe za Mapinduzi ambazo ziliua waarab na kuwafukuza nchini Zanzibar!?
Wakati Waarabu wa Omani walipokiteka kisiwa cha Mombasa kutoka kwa Wareno...
JamiiForums , Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Jukwaa la Katiba (JUKATA), Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Taasisi ya Twaweza na Centre for Strategic Litigation (CSL) wametoa...
Taasisi nyingi ikiwemo TEC, KKT, CCT, BAKWATA na mengineyo na pia watu wengi wametoa maoni yao kuhusu sheria 3 zilizowasilishwa Bungeni Novemba 2023 na kwa asilimia kubwa wameiomba Serikali na...
Mwamba wa Siasa za kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema ambacho ni Chama kinachoungwa mkono na watu wengi zaidi nchini Tanzania, huku takwimu zikionyesha kwamba...
1. Ukiona mtu amepewa airtime na TBC, ujue katumwa na CCM/serikali. Leo namuona anaongea TBC eti miswada isiondolewe bungeni, maana ikiodolewa haitarudi tena.
2. Kwa hiyo anamaanisha kuwa...
I am not in the least bit impressed.
Maonyesho ya kuvunja mbao, ya kuvunja matofali ya mchanga, ya kuokoa ‘mateka’ kwenye kiwanja cha mpira, na mengineyo, kwangu hayana maana yoyote ile...
Kiufupi WB Imetoa taarifa ya Nchi 5 Zinazokopa Zaidi Mikopo ya Riba nafuu Kupitia Dirisha La kusaidia Nchi maskini IDA ambalo ni mahsusi Kwa Nchi 75 Duniani kote.Kwa.mujibu wa Data za mwaka...
Hakuna ubishi kanda ya ziwa bado wana kinyongo.
Uchaguzi wa 2025 kuna kisasi kikubwa watafanya by any means necessary.
Uteuzi wa Dotto Biteko ilikuwa ni mbinu ya kurudisha ushawishi wa mama kwa...
Hivi ni lini CCM itatoka madarakani, moja ya furaha yangu nikuona Ccm wakipokonywa kiti cha uRais sio kwa ubaya ila tu mabadiriko haya natamani niyaone nikiwa bado hai.
Mimi ni MwanaCCM japo...
1. Wabunge wote wachaguliwe kupitia kura za wananchi katika majimbo. Kusiwepo na wabunge wa viti maalum au wa kuteuliwa.
2. Jimbo moja la ubunge liundwe na idadi ya raia kati ya 150,000 hadi...
Hivi Tanganyika iko wapi? Mbona Zanzibar tunaiona. Rais wa Tanganyika yuko wapi? Mbona wa Zanzibar tunamjua. Bendera ya Tanganyika iko wapi? Mbona ya Zanzibar ipo. Na katiba je ya Tanganyika maana...
Wanabodi,
Kuna serikali za aina mbili, de jure, kwa mujibu wa sheria, na de facto, zilizotokana na mapinduzi, lakini zote ni serikali halisi, ziwe ni halali au si halali hazihusiani na uhalisi...
Ndio maana yake
Ili kumaliza figisu za hapa na pale ndani ya CCM ni vema Katibu mkuu wa chama ateuliwe kutoka Zanzibar
Mtu kama Sadifa mwenye uzoefu wa kutosha wa Uongozi na wengine Wengi hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.