Kwa waliomsikiliza Mbowe jana alikuwa na malengo makuu matatu
Kwanza, kuonyesha jamii wazi kwamba Chadema walitimiza wajibu wao kama walivyoombwa na viongozi na jamii kwa ujumla kwamba wakae...
Good-morning
Tumebahatika kukulia kwenye Familia ambayo Baba yetu ana mali nyingi japo yeye hazioni, tulipopevuka tukaanza kumweleza baba juu ya utajiri wake na kwamba hakua na haja ya kumtegemea...
Naionea sana huruma nchi yangu ya Tanzania hasa wananchi wake ambao majority wanazama kwenye lindi la umaskini mkubwa.
Sababu kubwa ya umaskini kwenye taifa hili, zipo nyingi ila kubwa kupita...
Jana nimeona Train ikipita huko ulaya wakasema ni ya kwetu. Inafanyiwa majaribio.
Lakini hata bwawa la mwalimu nyerere imefikia tujumlishe ahadi na promise na idadi ya viongozi waliyoshiriki...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA leo kimezindua rasmi ofisi za chama hicho.
Uzinduzi huu umefanywa na Mwenyekiti wa chama hicho maarufu hapa nchini mh Mbowe.
Huu ni ushindi mwingine wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Huku mitaani kumechafuka na hali ni mbaya sana kwa CHADEMA,baada ya kuwa na mashambulizi makali na ukosoaji mkubwa sana kutoka kwa wananchi kwa hoja ya CHADEMA ya kutaka...
"Licha ya Mafanikio makubwa tuliyoyapata katika kipindi cha miaka 62 ya Uhuru na miaka 60 ya Mapinduzi bado atujafanikiwa kuwapiga na kuwashinda maadui hawa Ujinga, Maradhi na Umasikini kwa...
Nimetazama sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar hakika yamefana.
Hili limenifanya kujiuliza hivi ni kwanini sherehe za uhuru au nyingine za kitaifa wakati wa Magufuli viongozi wa Afrika...
Mwanafalsafa wa JF bwana Teikon alishasema usimuonee huruma wala kumtetea masikini na mpumbavu maana unapoteza muda na huenda ukapoteza Uhuru na maisha yako bure na kusiwepo mabadiliko yoyote...
CDM wamejaribu sanaa ya maandamano si jana si leo. Wameshakuwa na slogani nyingi, ukuta, katiba, M4C.
Hakuna hata moja iliyowahi kufanikiwa.
Mchungaji Msigwq alisema kwamba unapofanya jambo...
Kwa leo nilikuwa bize na kazi za kujenga Taifa na kumsaidia Mh Rais Dr Samia kukuza Uchumi wa Nchi kwa kuzalisha kwa level ya mtu mmoja mmoja. Nami kama mwananchi na raia mwema nikaona baada ya...
Hard to fathom this was the same person who served as the vice chair of the constitutional assembly just a few short years ago.
https://youtu.be/0qPFm9m1dIw?si=toirO016ZJsPMl8T
Back then when...
Samia chunga sana hii, itakugeuka in the long run! Utafika wakati watatamani urais, uwaziri and the like! waache wanajeshi wakae kambini.
Tabia hujengwa taratibu na baadaye kuwa mazoea.
Shyster...
Kama jeshi watafanya usafiri tarehe 24 basi siku kabla ya maandamano tarehe zibadilishwe
Dawa ya hawa wanasiasa kama chalamila ni kuwapeleka mperampera tu, kama kaamuru jeshi lifanye usafi tarehe...
Mpendwa rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan kumekuwa na maandamano hapo yakifanywa na vikundi mbalimbali, yalianzia mkoani Dar Es Salaam wakati wafanyabiashara wa Kariakoo walivyogoma, yakaenda...
Na. M. M. Mwanakijiji
Hakuna utata wala ubishi kuwa kama Mange kutikisa serikali ametikisa; hakuna utata kuwa kama kuwapa watu mshawasha, Mange amewapa watu mshawasha. Hata watu ambao miezi...
Na. M. M. Mwanakijiji
Kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na hasa kwenye Telegram vijana waliokuwa wanajiapisha kuwa hawatomuangusha mwanadada Mange Kimambi siku ya tarehe 26 Aprili walishindwa...
Membe ametoa kauli hiyo leo wakati akifanya mahojiano na mtangazaji wa DW katika kipindi cha kinaga ubaga.
Membe amesema kama Magufuli angekuwa bado yuko hai asingerudi CCM tena, huku neno...
Kila siku huwa naipitia Rasimu hii nikijiuliza hasa ni kitu gani kinafanya inakosa Uthamani mbele ya Watawala na wapinzani au Ni neno Tanganyika lililosheheni kwenye katiba hiyo?
Au Ni serikali...
Na Dr. Sisimizi
Imekua kawaida sasa kwa Chadema kupiga mikwara ya Sisimizi kwa Tembo ya kutishia kufanya maandamano ilihali miaka yote hawajawahi kufanikiwa sababu ya kukosa ushawishi na uungwaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.