2025 ni ushindi wa kishindo kwa Rais Samia

Fukua

JF-Expert Member
Jun 1, 2022
546
479
Kwanza, Mungu yupo upande wako kwa kazi nzuri unazo wanyanyia waja wake.

Pili, watanzania wote wenye mapenzi mema wanakuunga mkono umewaonyesha njia.

Tatu, wanawake ni jeshi kubwa wameamua na kuridhia uwe Esther/Hadija wao kwa kizazi hiki, uwakomboe kwenye makucha ya mfumo dume uliotaka kuota mizizi nchini.

Nne, Dola iko mikononi mwake kila aliye madarakani ni kwa ridhaa yake na dola ina imani na yeye labda aamue kuachia dola kwa hiari yake mwenyewe.

Tano, Ccm ni chama kubwa, chama kongwe linalo kubalika Tanzania, Afrika na duniani lenye mbinu zaidi ya 1000 yeye ni m/kiti wake je? Kipi kitashindikana?

Sita, Hakuna upinzani Tanzanian bali kuna watoa taarifa wasio na ushawishi na wasio na agenda zaidi ya ubwabwa na kulia kupigwa risasi za mablankoo, tena wao wenyewe ili kuichafua serikali.

Kwa kweli ninauona ushindi mnono kwa huyu mama yetu mpendwa hakuna wa kumzuia kuingia ikulu 2025.
Wale manabii wa uongo na mapastor feki wanaoendelea kujitabiria viunabii vyao uchwara kwamba Ccm itagawanyika tuwapuuze.

Nb. Maandiko yanasema ombeni nanyi mtapewa, bisheni nanyi mtafunguliwa.

Nami ninakuomba mama unikimbuke kwenye ufalme wako ujao.

Nitakusaidia kufanya kazi za watanzania kwa uzalendo hekima, utu na weledi.
 
Mwenyekiti wa Chama ni Mgombea huyo huyo anawateua Wakurugenzi wa Halmashauri na Manispaa na anawalipa Mishahara na magari LAZIMA waibe kura

Mwenyekiti wa Chama ni mgombea huyo huyo anawateua Viongozi wa Tume ya Uchaguzi anawalipa Mishahara na magari LAZIMA imtangaze

Mwendazake ktk uchaguzi wa 2019 na 2020 alitamka yafuatayo:
"Mkurugenzi atakaye mtangaza Mpinzani ktk Jimbo Lake KAZI HANA haiwezekeni nimlipe Mshahara nimpe na gari amtangaze

Katika UCHAGUZI ule yaliyoshuhudia ni UCHAFUZI wa UCHAGUZI wagombea wa Upinzani waliondolewa na pale walipokuwepo walipata kura 20

Wagombea wa CCM wapo waliopita bila kupingwa baada ya Wapinzani kuzuiwa kushiriki na MWENDAZAKE alipata ASILIMIA 100

Kwa hiyo kwa Katiba na Tume ya Uchaguzi iliopo MAMA atashinda kwa Asilimia 200

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja
 
Umeandika vizuri ila hili la huruma ya jinsia linafikirisha kidogo,mwisho weka namba ili akumbuke kuna mja huku anampigania kwa hali na mali!
Hilo la wanawake si huruma mkuu ni kundi kama yalivyo makundi mengine yanayomkubali mama hivyo kukitambua pia ni jambo jema sana
 
Mwenyekiti wa Chama ni Mgombea huyo huyo anawateua Wakurugenzi wa Halmashauri na Manispaa na anawalipa Mishahara na magari LAZIMA waibe kura
Mwenyekiti wa Chama ni mgombea huyo huyo anawateua Viongozi wa Tume ya Uchaguzi anawalipa Mishahara na magari LAZIMA imtangaze
Mwendazake ktk uchaguzi wa 2019 na 2020 alitamka yafuatayo:
"Mkurugenzi atakaye mtangaza Mpinzani ktk Jimbo Lake KAZI HANA haiwezekeni nimlipe Mshahara nimpe na gari amtangaze
Katika UCHAGUZI ule yaliyoshuhudia ni UCHAFUZI wa UCHAGUZI wagombea wa Upinzani waliondolewa na pale walipokuwepo walipata kura 20
Wagombea wa CCM wapo waliopita bila kupingwa baada ya Wapinzani kuzuiwa kushiriki na MWENDAZAKE alipata ASILIMIA 100
Kwa hiyo kwa Katiba na Tume ya Uchaguzi iliopo MAMA atashinda kwa Asilimia 200

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Nakushukuru kwa mchango wako na huo ndio mfumo ambao watanzania wameukubali na umewaletea amani kwa miaka mingi. Mfumo huo hajautengeneza mama samia, na ikumpendeza atatumia mfumo sahihi wa watanzania ili kuendelea kuwatumikia wenye mfumo mkuu, kwani dhambi yake ni nini? Je? Ni kutumia mfumo wa uongozi na kiutawala wa wananchi kupata nafasi?
 
Kwanza, Mungu yupo upande wako kwa kazi nzuri unazo wanyanyia waja wake.

Pili, watanzania wote wenye mapenzi mema wanakuunga mkono umewaonyesha njia.

Tatu, wanawake ni jeshi kubwa wameamua na kuridhia uwe Esther/Hadija wao kwa kizazi hiki, uwakomboe kwenye makucha ya mfumo dume uliotaka kuota mizizi nchini.

Nne, Dola iko mikononi mwake kila aliye madarakani ni kwa ridhaa yake na dola ina imani na yeye labda aamue kuachia dola kwa hiari yake mwenyewe.

Tano, Ccm ni chama kubwa, chama kongwe linalo kubalika Tanzania, Afrika na duniani lenye mbinu zaidi ya 1000 yeye ni m/kiti wake je? Kipi kitashindikana?

Sita, Hakuna upinzani Tanzanian bali kuna watoa taarifa wasio na ushawishi na wasio na agenda zaidi ya ubwabwa na kulia kupigwa risasi za mablankoo, tena wao wenyewe ili kuichafua serikali.

Kwa kweli ninauona ushindi mnono kwa huyu mama yetu mpendwa hakuna wa kumzuia kuingia ikulu 2025.
Wale manabii wa uongo na mapastor feki wanaoendelea kujitabiria viunabii vyao uchwara kwamba Ccm itagawanyika tuwapuuze.

Nb. Maandiko yanasema ombeni nanyi mtapewa, bisheni nanyi mtafunguliwa.
Nami ninakuomba mama unikimbuke kwenye ufalme wako ujao.
Nitakusaidia kufanya kazi za watanzania kwa uzalendo hekima, utu na weledi.
Machadema yanataka kupasuka 😂😂
 
Back
Top Bottom