Kila siku huwa naipitia Rasimu hii nikijiuliza hasa ni kitu gani kinafanya inakosa Uthamani mbele ya Watawala na wapinzani au Ni neno Tanganyika lililosheheni kwenye katiba hiyo?
Au Ni serikali...
Na Dr. Sisimizi
Imekua kawaida sasa kwa Chadema kupiga mikwara ya Sisimizi kwa Tembo ya kutishia kufanya maandamano ilihali miaka yote hawajawahi kufanikiwa sababu ya kukosa ushawishi na uungwaji...
Sisi ambao sio washabiki wa vyama bali washabiki wa nchi “ Independent “ tunapata wakati mgumu maana kuna wakati tunamtetea Raisi na wakati tunampinga kwa hoja. Lakini wengi wetu na mimi binafsi...
Tar 24 mwezi huu ataandamana kupinga dhuluma za CCM
Ila alipotolewa jela kwa makosa ya kufadhili ugaidi alisahau habari za kuandamana.
Aliitwa ikulu akala chakula na juizi za ceres
Leo hii...
1. Nani asiyejua hatari ya kuonja sumu kwa ulimi?
2. Upo wito halali wa kutelemka mabarabarani 23/24.
3. Pamoja na kuwaita ndugu wa damu tena wale nguli washindao mitandaoni 24/7 kwa majina yao...
Mbowe amesema hamuamini Rais Samia wala chama chake sababu miswada yake haikisi R4 anazozihubiri na wenzake, akisemw kiongozi anapaswa kutembea kwenye maneno yake, ambavyo haikua hivyo.
Akiongeza...
Samia alipoingia madarakani, kama kawaida , wapambe walishabikia ubora wake kwa hotuba mbili au tatu alizotoa. BIla kufahamu kwamba hata bwege akipewa kusoma haotuba, itapendeza tu! Mwenztu mmopja...
Tanzania hatuna mpaka na nchi za Sudan/ sudan kusini, sasa sielewi wetumia kigezo gani kwa hawa madaktari wanafunzi kuja kuendelea na masomo DSM kuliko Nairobi na Kampala!
Kwa tuliomuelewa Shehe Kundecha ni Kwamba unapoagiza jambo lisilotekelezeka usije kudhani umedharauliwa hapo baadae
Mbowe anatangaza Maandamano nchini Tanzania
Ni ama Ujinga au anawapumbaza tu...
Bado Chadema imeshindwa kuondoka mikononi mwa mikono ya Mbowe hii ni baada ya kupanga nyumba maeneo ya Mikocheni, nyumba inayomilikiwa na Mwenyekiti wa chama hicho Aikael Mbowe mwanzo chama hicho...
Tofauti na mawaziri wengine waziri wa fedha Mwigulu nchemba amekuwa nadra sana kusikika na kuonekana kwenye media akizungumzia mambo muhimu ya wizara yake na nchi kwa ujumla.
Pia tofauti na...
Sijawahi sikia takukuru wakifanya kazi pamoja na kwamba Tanzania rushwa zimetapakaa kila kona.
Na huwa tunajiuliza ni lini hawa takukuru wataanza kufanya kazi zao kama taasisi nyingine...
Utaratibu wa kuleta vurugu na maandamano ili kuvunja amani na kuleta mifarakano isiyo ya lazima haikubaliki na ni lazima raisi asimame kidete kwa watu wanaotaka kuleta fujo na vurugu.
Hali ngumu...
Katika uchaguzi uliopita Sheikh Ponda allibukia kuiunga mkono CHADEMA na akatoa kuwa 'WAISLAM TUMEKUBALIANA KURA ZOTE ZA URAIS TUTAMPIGIA TUNDU LISSU'.
Kauli hii iliungwa mkono kwa kiasi kikubwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwataarifu ya kuwa Mh Paul Makonda Katibu wa itikadi,uenezi na mafunzo wa CCM Taifa, mwamba wa siasa za ardhini na mujukwaani, kiongozi jasiri na shupavu,imara na...
Nchi mbalimbali duniani huona fahari sana kukumbuka siku za kuzaliwa mataifa yao. Neno kuzaliwa nimemaanisha siku ya kupata uhuru.
Nimeangalia majuzi hapa kwa jirani zetu Kenya, walisherehekea...
Alisema malipo ya watu wa ukonga kipunguni. Wanaodai fidia ya malipo ya makazi yao. Kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege watalipwa ndani ya mwezi mmoja lakini mpaka Sasa hakina chochote kilicho...
Ndugu wananchi, waandishi wa habari, wanachama wenzangu na watanzania kwa ujumla Asalam aleikum...., bwana Yesu asifiwe...., tumsifu Yesu Kristo.
Ndugu zangu waandishi wabari leo nimewaita hapa...
Tumekuwa tukipewa updates za ujio wa treni ya kisasa. Kila inapoletwa updates wafu waliowahi kusafiri nje ukataa kwamba hizi zimepitwa na wakati siyo treni mpya.
Ukisoma huku kila uchwao wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.