Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,241
- 12,756
Moja ya tatizo kubwa kwenye kilimo ni mawaziri na viongozi kwa ujumla kutojua chochote kuhusu uhalisia wa kilimo. Hili ni tatizo toka uhuru wetu.
Bashe ni mmoja wa mawaziri aliyejitahidi kuleta ubunifu kwenye kilimo, kafanya kaz nzuri lakini amekosa kujua uhalisia wa kilimo. Ndiyo maana anafanya umwagiliaji wa matone.
Sasa kuna huyu mlima pilipili anaitwa Ally Hapi. Jamaa toka ametoka kwenye uongozi anafanya kazi hii. Haina shaka kuwa kufikia sasa anajua uhalisia wa kilimo kwenye nchi hii. Jamaa hawezi kutusaidia kama waziri wa kilimo?