Rais wangu mpendwa nchi hii imekuwa ya migomo? Mbona wakati wa Magufuli hatukuona hata kikundi kimoja kikijaribu hata kuwaza kugoma? Why now?

saigilomagema

JF-Expert Member
Jun 5, 2015
4,173
6,156
Mpendwa rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan kumekuwa na maandamano hapo yakifanywa na vikundi mbalimbali, yalianzia mkoani Dar Es Salaam wakati wafanyabiashara wa Kariakoo walivyogoma, yakaenda Iringa wafanyabiashara vilevile, yakahamia Mwanza wafanyabiashara wa baa, leo yako Arusha wafanyabiashra wa daladala wamegoma, hali ilikuwa mbaya sana sana ni km nchi isiyo na utawala. Ukiangalia watoto wadogo wanafunzi unajiuliza wameikosea nini nchi yao?

Hivi Arusha hakuna viongozi? Utamaduni huu wa kugoma umetoka wapi, kuna mkuu wa mkoa, RPC, RTO, RAS, DC, OCD na kuna viongozi wengi sana wa vitengo kadha wa kadha, ina maana hao wote hawajui matatizo ya zile daladala. Nna wasiwasi kuna kikundi chenye nguvu kabisa kimejipanga kukuangamiza kwa namna yoyote ile. Wako kwenye vyombo vya habari kutwa na usiku kucha ukizingatia ulivyoruhusu uhuru uliopitiliza. Sasa hivi wameanza kutumia vikundi mbalimbali ktk jamii zetu. Mama we rais ambaye ndiye kiongozi mkuu wa serikali, mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu, kwa ufupi ndiyo kila kitu kuhusu nchi hii kwa sasa, katiba inayotumika haijabadilika umepungukiwa na nini mpaka uchezewe kiasi hiki? Kwanini uitwe rais dhaifu udhaifu wako unatokana na n nini, kuwa mwanamke? Umesahau habari na wanawake very strong hapa duniani mapaka wakaitwa iron ladies?

Mama rais wetu hebu fanya kazi km rais usikubali kuchezewa nchi iko mikononi mwako. Tumia mamlaka namadaraka yako kukomesha upuuzi huu, hebu tangaza kuwa migomo ni mwisho kwa kuanzia futa leseni za daladala zote zilizogoma leo Arusha, kuanzia kesho serikali itafute utaratibu wa kuwasaidia watu wake kwa muda, serikali ina nguvu kubwa sana haiwezi kuchezewa na wajinga wachache. Futa leseni vyombo vile vingi vinamilikiwa na viongozi wa serikali. Baada ya kufuta LATRA iwatangazie watanzania wote kuomba leseni kwa masharti mapya watakayopewa ikiwa ni pamoja na kutojaribu kugoma ila km wana changamoto itatuliwe kwa njia ya mazungumzo. Wapewe na viapo ikibidi.

Simama kwenye nafasi yako km rais wa nchi, ondoa viongozi wote wa mkoa wa Arusha ukianzia na mkuu wa mkoa maana ni mzembe usiangalie sura yake. Lingine kuna vyombo vya habari vinatumika kukutukana, kuna TCRA, kuna waziri wa habari ina maana hakuna sheria na maadili? Hao wanasubiri nini ofisini km hawawezi kusimamia sheria na taratibu zilizowekwa? Mama anza kuwa mkali watu unaowaongoza wengi bado ni wajinga wanayumbishwa na upepo wowote mdogo hasa uzushi na uwongo kwa sababu ya elimu yao ndogo. Acha upole na unyonge uwe mkali kuna mauzushi na mauwongo mengi na viongozi wako wapo kimya, uwongo ukisemwa sana unakuwa ukweli. Vunja hata baraza la mawaziri uanze upya.
 
..wakati wa Magufuli viongozi wa mgomo wangetekwa na kuteswa.

..sasa mnataka Samia aige ukatili wa utawala wa Magufuli?
 
Utawala wa kinyama wa Magufuli umekwisha
 
Mkuu samahani, hii akili ni yako unayotafutia watoto ugali au Kuna nyingine umeficha mahali..

Uhuru uliopitiliza na uhuru wa wastan ni upi?
Unajua kwanini Magufuli alichukiwa na wapenda democrasia?

Mnashauri vitu hatari na vyakijinga sana kwa nchi yetu..
 
Mpendwa rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan kumekuwa na maandamano hapo yakifanywa na vikundi mbalimbali, yalianzia mkoani Dar Es Salaam wakati wafanyabiashara wa Kariakoo walivyogoma, yakaenda Iringa wafanyabiashara vilevile, yakahamia Mwanza wafanyabiashara wa baa, leo yako Arusha wafanyabiashra wa daladala wamegoma, hali ilikuwa mbaya sana sana ni km nchi isiyo na utawala. Ukiangalia watoto wadogo wanafunzi unajiuliza wameikosea nini nchi yao?

Hivi Arusha hakuna viongozi? Utamaduni huu wa kugoma umetoka wapi, kuna mkuu wa mkoa, RPC, RTO, RAS, DC, OCD na kuna viongozi wengi sana wa vitengo kadha wa kadha, ina maana hao wote hawajui matatizo ya zile daladala. Nna wasiwasi kuna kikundi chenye nguvu kabisa kimejipanga kukuangamiza kwa namna yoyote ile. Wako kwenye vyombo vya habari kutwa na usiku kucha ukizingatia ulivyoruhusu uhuru uliopitiliza. Sasa hivi wameanza kutumia vikundi mbalimbali ktk jamii zetu. Mama we rais ambaye ndiye kiongozi mkuu wa serikali, mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu, kwa ufupi ndiyo kila kitu kuhusu nchi hii kwa sasa, katiba inayotumika haijabadilika umepungukiwa na nini mpaka uchezewe kiasi hiki? Kwanini uitwe rais dhaifu udhaifu wako unatokana na n nini, kuwa mwanamke? Umesahau habari na wanawake very strong hapa duniani mapaka wakaitwa iron ladies?

Mama rais wetu hebu fanya kazi km rais usikubali kuchezewa nchi iko mikononi mwako. Tumia mamlaka namadaraka yako kukomesha upuuzi huu, hebu tangaza kuwa migomo ni mwisho kwa kuanzia futa leseni za daladala zote zilizogoma leo Arusha, kuanzia kesho serikali itafute utaratibu wa kuwasaidia watu wake kwa muda, serikali ina nguvu kubwa sana haiwezi kuchezewa na wajinga wachache. Futa leseni vyombo vile vingi vinamilikiwa na viongozi wa serikali. Baada ya kufuta LATRA iwatangazie watanzania wote kuomba leseni kwa masharti mapya watakayopewa ikiwa ni pamoja na kutojaribu kugoma ila km wana changamoto itatuliwe kwa njia ya mazungumzo. Wapewe na viapo ikibidi.

Simama kwenye nafasi yako km rais wa nchi, ondoa viongozi wote wa mkoa wa Arusha ukianzia na mkuu wa mkoa maana ni mzembe usiangalie sura yake. Lingine kuna vyombo vya habari vinatumika kukutukana, kuna TCRA, kuna waziri wa habari ina maana hakuna sheria na maadili? Hao wanasubiri nini ofisini km hawawezi kusimamia sheria na taratibu zilizowekwa? Mama anza kuwa mkali watu unaowaongoza wengi bado ni wajinga wanayumbishwa na upepo wowote mdogo hasa uzushi na uwongo kwa sababu ya elimu yao ndogo. Acha upole na unyonge uwe mkali kuna mauzushi na mauwongo mengi na viongozi wako wapo kimya, uwongo ukisemwa sana unakuwa ukweli. Vunja hata baraza la mawaziri uanze upya.
Mbona madereva wa daladala Mbeya waligoma kwa sababu ya wingi wa bajaji tena enzi za Magufuli na RC Chalamila?
 
Back
Top Bottom