Watanzania Waipuuze Chadema, Msajili aifungie Chadema kwa kuleta vurugu

Maryam Malya

Senior Member
Nov 29, 2021
115
258
Na Dr. Sisimizi

Imekua kawaida sasa kwa Chadema kupiga mikwara ya Sisimizi kwa Tembo ya kutishia kufanya maandamano ilihali miaka yote hawajawahi kufanikiwa sababu ya kukosa ushawishi na uungwaji mkono.

Mwaka 2015 baada ya Uchaguzi Mkuu, Chadema walitishia kuitisha maandamano, ili kupinga matokeo yaliyotangazwa na tume ya Uchaguzi ambayo ilionesha mgombea wao wa Urais alishindwa vikali, lakini maandamano hayo yalikosa watu.

Mwaka 2016 Chadema haohao walianza kutikisa tena Kibiriti, kwa kuitisha maandamano mengine ya UKUTA, lakini nayo hayakufanikiwa kwa sababu wananchi walishawajua ni wanaitisha maandamano yenye nia ovu ya kuvunja amani.

Mwaka 2018 Chadema walipeleka Simanzi kwa Jumuiya za Wanafunzi wa elimu ya juu, kwa kufanya maandamano yenye fujo wakitumia fursa ya uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni na kupelekea miongoni mwa waandamanaji wao kurusha kilipuzi na kumpata mwanafunzi Akwilina Akwelini, na kuifanya Jumuiya ya Wanafunzi kuichukia Chadema, kwa sababu haikuwahi kutoka kuomba radhi kwa sababu maandamano yao ndiyo yalikatisha ndoto za mwanafunzi msomi.

Mwaka 2020 kama kawaida yao tena, baada ya kushindwa tena Uchaguzi Mkuu, walipanga kufanya maandamano makubwa yakufanya mapinduzi dhidi ya Serikali halali iliyochaguliwa, walipanga kuchoma matairi, kuchoma vituo vya mafuta na kulipua Super Market, ila wananchi pia waliwakataa na tunashukuru vyombo vya dola viliingilia kati.

Kiufupi CHADEMA wamekua wakiitumia vibaya njia ya maandamano wakilenga kuanzisha vurugu na kuleta sintofahamu na kutamani nchi isitawalike kabisa, mpaka wao wapate mahitaji yao ya kisiasa.

Sasa mwaka huu wa 2024 wameamua kuja na njia ileile ya maandamano ili kuhakikisha amani haipatikani, kisa tu wao wamekataa kwenda kutoa maoni yao kuhusu muswada wa mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi kwenye majukwaa rasmi na walitaka wao pekee ndiyo waandike huo muswada kisha upelekwe Bungeni, wakati hii ni nchi ya Vyama vingi, Chadema si chama pekee chenye hatimiliki ya uchaguzi.

Nikiwa nawasihi watanzania kumpuuza Freeman Mbowe kuwa wanataka kutangaza maandamano, pia nimsihi Msajili wa Vyama vya siasa angekisimamisha Chadema kufanya shughuli zake kwa muda, hadi pale watakapokubali kufanya siasa za kistaarabu kwa kuzingatia 4R.
 
Tuyapuuze matapeli ya chama cha matapeli(CCM)
 
Wakiandamana CCM kumpongeza mama yenu poa, ila wakiandamana chadema mnataka wapigwe? Hivi nyie chawa malaya mna matatizo gani? Hii nchi sio yako wewe
 
Long story from a low mind with no content.
 
Pumbavu
 
IMG_6223.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom