Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,133
- 20,296
Kwa leo nilikuwa bize na kazi za kujenga Taifa na kumsaidia Mh Rais Dr Samia kukuza Uchumi wa Nchi kwa kuzalisha kwa level ya mtu mmoja mmoja. Nami kama mwananchi na raia mwema nikaona baada ya Kusherehekea Mapinduzi Matukufu basi nijielekeze kwenye uzalishaji.
Kwa kusema hivyo sikuwa na taarifa nyingi za mitandaoni kwa siku ya leo.
Jambo nililosikia ni kuwa Mh Mbowe Kiongozi na Mwenyekiti wa Chama kikuu cha Upinzani amekohoa leo.
Cha Ajabu ni kuwa ni kama vile IDF wameingia Nchini.
Yaani Kukohoa kwake Nchi nzima imetetemeka.
Je kama taifa tumefika hatua hii?
Hii over reaction na disregulated response inatokana na nini hasa?
Je Mh Mbowe anatisha kiasi hicho?