Selfie kwenye Miradi: Mimi nimechoka kupata taarifa miradi kila siku tunatumiwa video na ahadi ya kukamilika miaka inasonga mimi nimechoka sijui nyie?

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Jana nimeona Train ikipita huko ulaya wakasema ni ya kwetu. Inafanyiwa majaribio.
Lakini hata bwawa la mwalimu nyerere imefikia tujumlishe ahadi na promise na idadi ya viongozi waliyoshiriki kupiga picha kwenye Miradi.
Yaani utasikia hili kesho lile lakini mradi hufanyikazi.
Ni bora wanyamazee mpaka unakamilika ndio tuambie hizi story za hapa na pale. Binafsi natamani nisiskie.
Au wadau mnasema je?

Kama hii mada inakera serikali Admin ondoa huu uzi please .
Nimetoa ushauri tu ili wajue.
 
Bila picha ni uzushi
 
Hakuna Rais hapa ni bomu Tena la kienyeji. Zenj wanafungua miradi kila siku hela zatoka wap? Amkeni wananchi
 
Back
Top Bottom