CHADEMA yazindua ofisi zenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA leo kimezindua rasmi ofisi za chama hicho.

Uzinduzi huu umefanywa na Mwenyekiti wa chama hicho maarufu hapa nchini mh Mbowe.

Huu ni ushindi mwingine wa chama dhidi ya propaganda chafu kutoka kwa vyama pinzani kuwa cdm haina ofisi.

Hongereni sana wana cdm popote pale mlipo sasa mtembee vifua MBEEEEREEEEE.
Screenshot_20240113_145807_Instagram.jpg
Screenshot_20240113_145746_Instagram.jpg
Screenshot_20240113_145725_Instagram.jpg
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA leo kimezindua rasmi ofisi za chama hicho.

Uzinduzi huu umefanywa na Mwenyekiti wa chama hicho maarufu hapa nchini mh Mbowe.

Huu ni ushindi mwingine wa chama dhidi ya propaganda chafu kutoka kwa vyama pinzani kuwa cdm haina ofisi.

Hongereni sana wana cdm popote pale mlipo sasa mtembee vifua MBEEEEREEEEE.View attachment 2870532View attachment 2870534View attachment 2870535
Kwaihiyo sasa master bedroom ndio itakuwa ofisi ya Mwenyekiti Taifa, choo na bafu vya mwenye nyumba wa mwanzo right?

Ofisini ya makamu mwenyekiti itakuwa chumba cha watoto, ya katibu mkuu itakuwa chumba cha wasichana au wavulana na halafu ya BAwacha ofisi yao itakuwa chumba cha wageni kama sikosei maana hiyo ilikuwa nyumba ya familia sio ofisi au wamejipangaje?

Halafu hizo rangi za geti mbona hamjabadili au ndio mkae kwanza kupitisha bajeti 🐒
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA leo kimezindua rasmi ofisi za chama hicho.

Uzinduzi huu umefanywa na Mwenyekiti wa chama hicho maarufu hapa nchini mh Mbowe.

Huu ni ushindi mwingine wa chama dhidi ya propaganda chafu kutoka kwa vyama pinzani kuwa cdm haina ofisi.

Hongereni sana wana cdm popote pale mlipo sasa mtembee vifua MBEEEEREEEEE.View attachment 2870532View attachment 2870534View attachment 2870535
Baada ya miaka thelathini hii ndio ofisi yenye hqdhi?
 
Back
Top Bottom