Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwema Wakuu! Sina uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa za nchi hii. Lakini kwa akili zangu hizi ndogo nadiriki kusema kuwa kile alichotangaza Mhe. Mbowe kwamba wataandaa maandamano ya Amani januari 24...
18 Reactions
89 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF. Husikeni na mada tajwa hapo juu. Kwa kweli haihitajiki kutumia nguvu kubwa sana kujua kwamba CHADEMA na Mbowe wamekuwa sauti ya Watanzania kulingana na hali ilivyo. Kuanzia...
5 Reactions
9 Replies
778 Views
US ndo nchi yenye strong army and battle nyingi duniani. Haijawai kutokea Kwa Governor au Senetor yeyote kuliamrisha jeshi la Marekani kuzibua vyoo,mitaro na kuzoa takataka. Ata hapo jirani Kenya...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Famchezo nini!! Ukinyukwa kirungu cha ugoko lazima utoe gesi kwa mkupuo. Historia inaonesha watanganyika wanaogopa matokeo ya maandamano kuliko maandamano yenyewe. Mwaka 2018, Bwana Mbowe...
0 Reactions
0 Replies
363 Views
Nasadiki kuandika haya ili hukumu ijapotolewa iwe ya haki. Leo 17.03.2023 ni siku ya kumbukukumbu ya kifo cha a.k.a jeshi la mtu mmoja au Legendary namuita hivyo, mzee John Joseph Pombe...
32 Reactions
84 Replies
4K Views
Ndugu wanajamvi Mwanzoni Nilipopitia mapendekezo hayo akili yangu iliwaza kuwa Mnyika pamoja na Chadema yake wanataka Kutuongezea Wabunge ili Kuongeza Gharama ya Nchi hii na nikawaza kwa Sasa...
2 Reactions
13 Replies
18K Views
Ndugu zangu kabla ya yote naomba wenye ufahamu wa sheria ya lidandasi wa tujuze inasemaje . Meneja mkuu wa mgodi wa dhahabu wa Buzwagi amewatangazia wafanyakazi wake kusudio la kupunguza wa...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
MAANDAMANO HAYANA TIJA KATIKA SIASA ZA SASA - (SIASA KAZI NA MAARIFA) Na Comrade Ally Maftah Moja kati ya jambo ambalo halitaungwa mkono na vijana wa kileo ni suala la kuandamana. Kuandamana ni...
0 Reactions
6 Replies
531 Views
Wanajamvi, Tokea mwanzo wengine tulistuka, mbona mazingaombwe? Mpaka waleo Sijawahi kuona kapanda daladala tena vipiiiiiiiiii? Kina mama wa Tandale mbona hawatembelei japo kuwashukuru...
2 Reactions
60 Replies
8K Views
Uongozi huwa ni kuonyesha Njia uongozi huwa ni pamoja na kusimamia yale mnayowaaminisha mnaowaongoza kwa vitendo. Sasa Chadema kupitia mwenyekiti wake Ndugu Aikael Freeman Mbowe Mmewatangazia...
1 Reactions
15 Replies
745 Views
Huyu RC wa hapa dar namshangaa sana kwa ukurupukaji wake . Unatangaza kuweka vikosi 8000 vya majeshi mtaani na magari ya kijeshi hivi huyu yupo sawa kweli? Kwani maandamano yana shida gani watu...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Wazungu hawana Ustarabu, wana utamaduni wa vita
1 Reactions
9 Replies
760 Views
NEEMA YA MAJI KATA YA MAGADU Wananchi wa mitaa ya Kidondolo, Forkolend na Kididimo Kata ya Magadu kwa nyakati tofauti tofauti wameongea na kuishukuru Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na...
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Watanzania wengi wanazidi kukata tamaa na siasa hususan za uchaguzi. Kiwango cha hamasa kinazidi kushuka kila baada ya miaka 5. Usambazaji elimu ya uraia pekee hautoshi kusahihisha kasoro hii...
0 Reactions
0 Replies
17K Views
Kule Kenya LSK wameenadamana mitaa ya Nairobi kupinga kile wanacho dai ni Ruto kutaka kuingilia uhuru wa Mahakama, hii ni baaada ya juzi kati kuwatuhumu Majaji kwamba wanahongwa kukwamisha...
2 Reactions
10 Replies
713 Views
Uhuru wa kweli utaletwa na watu ambao wako tayari kupoteza kilaKitu isipokuwa uhuru. Mwenyekiti wa chadema na muunga mkono kuhusu maandamano lakini nimekumbuka jinsi alivyo kejelinharakati za...
2 Reactions
21 Replies
988 Views
1. Jeshi la uhifadhi linaua raia kila siku na rais Samia yupo kimya. Wananchi wanauliwa hata wakichanja kuni hifadhi. 2. Ufisadi umetamalaki kila kila mahala serikalini. Hii ni baada ya mkuu wa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa, baada ya makovu waliyopitia CHADEMA...
12 Reactions
124 Replies
11K Views
Kwenye Siasa , " Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya " everything is planned . Think about this , Soko la kariakoo wafanya biashara wameandamana, mkataba wa bandari umuvujishwa kwa mbwembwe na...
38 Reactions
256 Replies
24K Views
Back
Top Bottom