Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Nimetazama sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar hakika yamefana.
Hili limenifanya kujiuliza hivi ni kwanini sherehe za uhuru au nyingine za kitaifa wakati wa Magufuli viongozi wa Afrika Mashariki walikuwa hawafiki?
Kuna wakati hata rafiki yake mkuu yaani Rais Museveni hakufika.
Tafadhali mwenye undani wa suala hili naomba anielimishe maana elimu haina mwisho.