Taaasisi 5 zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,111
18,327
WATU WAMEKUA WAKIZITUMIA TAASISI HIZI KUTAFUNA PESA ZA WALIPA KODI KWA MIRADI ISIYO NA NYUMA WALA MBELE.

Mfano Tanroad waliwahi kujenga maagesho ya magari pale Mbezi kwa Msuguri baada ya mwaka mmoja maegesho yakabomolewa kupisha upanuzi wa barabara na maegesho yalijengwa kwa lami safi.

Taasisi hizi zinahitaji kuundwa upya au kufutwa kabisa..

1. TANROAD
2. TARURA
3. TANAPA
4. NHIF
5. NSSF
 
Nina walakini na taasisi ulizotaja

Umetaja zote lakin umetolea moja mfano. Ungeelezea zote jinsi gani na wapi wametumia fedha vibaya
 
Hata mimi nimeshangaa kutowaweka CHADEMA katika taasisi zinazo kula pesa kama mchwa.
Very Disturbing.😁

Taasisi kama hiyo kutwa kurukaruka na mahedikopta ya viti vitatu tu, Mwenyekiti, Muhubiri na mpiga saluti...kweli, ni kutupotezea Wananchi fweza tu. Bora wangechangia kukimbiza mwenge.
 
Mama kishasema kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake. Hizo taasisi Tano ndiyo zenye makusanyo makubwa, kwahiyo hata kamba ya ulaji lazima iwe ndefu.
 
WATU WAMEKUA WAKIZITUMIA TAASISI HIZI KUTAFUNA PESA ZA WALIPA KODI KWA MIRADI ISIYO NA NYUMA WALA MBELE.

Mfano Tanroad waliwahi kujenga maagesho ya magari pale Mbezi kwa Msuguri baada ya mwaka mmoja maegesho yakabomolewa kupisha upanuzi wa barabara na maegesho yalijengwa kwa lami safi.

Taasisi hizi zinahitaji kuundwa upya au kufutwa kabisa..

1. TANROAD
2. TARURA
3. TANAPA
4. NHIF
5. NSSF

TRA anakosaje hapa
 
Back
Top Bottom