Mbowe na Lissu wanawachanganya wafuasi wao!

mapessa

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
612
1,045
Mbowe ametangaza maandamano mkoa wa Dar es Salaam siku ya tarehe 24 January 2024 huku Makamu Mwenyekiti wa akiwa nchini Ivory Coast kuipa hamasa Taifa Stars.

Kwa mujibu wa Lissu atakuwa nchini Ivory Coast hadi January 24 amesema kuwa atatazama mechi zote za Taifa Stars!

Huku ni kukingamana kwa viongozi Wakuu wa Chama kinachojiita cha Upinzani wazi wazi.

IMG_5764.jpg
 
Tangu lissu awe makamu mwenyekiti chama kimerudi nyuma na kupoteza kila kitu hadi kukosa mafuta ya helkopta lissu ni jipu!
 
Mtoa hoja lini umejipa usemaji wa wanachama wa CDM?,au ndio yale yale matokeo ya UPE!,wewe kama unaona haki yako inapindwa ,fanya push back mwenyewe usitegemee watu wakupiganie wakati umefwata mkia wako chini ya uvungu wa kitanda chako
 
Mbowe ametangaza maandamano mkoa wa Dar es Salaam siku ya tarehe 24 January 2024 huku Makamu Mwenyekiti wa akiwa nchini Ivory Coast kuipa hamasa Taifa Stars.

Kwa Mujibu wa Lissu atakuwa nchini Ivory Coast hadi January 24 amesema kuwa atatazama mechi zote za Taifa Stars!

Huku ni kukingamana kwa viongozi Wakuu wa Chama kinachojiita cha Upinzani wazi wazi.

View attachment 2872315
WE NI MPUUZI MKUBWA, CHAWA KIWANGO CHA MAVI YA BATA
 
Wewe sio mfuasi, sijui unachanganyikiwa na nini, yani sisi tunawaelewa sana
 
Mbowe ametangaza maandamano mkoa wa Dar es Salaam siku ya tarehe 24 January 2024 huku Makamu Mwenyekiti wa akiwa nchini Ivory Coast kuipa hamasa Taifa Stars.

Kwa Mujibu wa Lissu atakuwa nchini Ivory Coast hadi January 24 amesema kuwa atatazama mechi zote za Taifa Stars!

Huku ni kukingamana kwa viongozi Wakuu wa Chama kinachojiita cha Upinzani wazi wazi.

View attachment 2872315
wewe yanakuhusu nini?
 
Mboga mboga wana haha....hii inaitwa Logalizimu Political KOMBATI

Sasa nahuko mpeleke mafagio

Chadema akili KUBWA
 
Mbowe ametangaza maandamano mkoa wa Dar es Salaam siku ya tarehe 24 January 2024 huku Makamu Mwenyekiti wa akiwa nchini Ivory Coast kuipa hamasa Taifa Stars.

Kwa Mujibu wa Lissu atakuwa nchini Ivory Coast hadi January 24 amesema kuwa atatazama mechi zote za Taifa Stars!

Huku ni kukingamana kwa viongozi Wakuu wa Chama kinachojiita cha Upinzani wazi wazi.

View attachment 2872315

Hiki chama kinashida kubwa sana Mbowe na Lissu hawapatani toka kwenye maridhiano sitegemei kuona Lissu akimuunga mkono Mbowe kwenye maandamano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom