Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,106
Sijawahi kumwona Makonda akifanya mjadala wala mdahalo wowote wenye tija na usio na tija kuhusu chama chake na nchi kwa ujumla.
Leo anapoomba mdahalo anataka kutuambia ametambua umuhimu wa majadiliano ya hoja? Toka lini akawa na kifua au nafsi yamajadiliano? Je, katika majadiliano hayo atajadiliana na nani wakati hata vyombo vya habari hataki viripoti kitu asichopenda?
Lakini ana IQ yakujadiliana na hao aliowatajka wajadiliane nao. Kama viongozi wenzake tu ndani ya chama ameshindwa kujadiliana nao ataweza nje ya chama?
Amezungumza, hakuna kiongozi yeyote wa chama aliyepost alivyozungumza labda kama watapost baada ya uzi huu. Je, haoni kwamba hata aliowanyanyasa kwa madaraka ndani ya CCM wamechoka?
Kwanza kwa mgomo uliopo ndani ya CCM dhidi yake atatoboa kumaliza huu mwaka bila kutumbuliwa? Zama zinabadilika, alivyowapigia simu wabunge na mawaziri aliamini akiwadhalilisha ikiwemo hata waziri Mkuu ndo atafika anapokwenda kumbe wenzake wamechoka kubemendwa kwa kudhalilishwa majukwaani.
Mwenezi wa chama unamwamrisha waziri Mkuu tena kwenye adhara, unawapigia simu mawaziri kama watoto wadogo , unawajibu hovyo wanasiasa wenzako ili Mradi tu wananchi wawaone hawafai....icho chama utajenga na nani kama unaona kila kiongozi hana akili?
Hakuna chuo wala shule yakufundisha BUSARA.....BUSARA UNAZALIWA NAZO NA UKIZIKOSA USITEGEMEE KUFANIKIWA KATIKA DUNIA HII. UTAPANDA KWA KASI LAKINI UTASHUKA KWA FEDHEA TU.