Tshirt, Kofia na Kanga za CCM huwa zinafanyiwa matambiko ili wavaaji wasahau shida zote?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,707
6,503
Kuna Mdau mmoja wa Kitengo aliwahi nitonya kwamba wakati wa Kampeni zile nguo za kuhonga wapiga kura, Tshirt, Kofia na Kanga huwa zinafanyiwa mazindiko makubwa sana ambayo anaye Vaa husahua kila kitu cha nyuma, husahau shida zote alizo pitia miaka mitano.

Hii hufanywa na kamati ya CCM ya mambo ya Ulozi, chini ya wazee wa CCM, ambapo Tshirt, Kofia na Kanga huenda kufanyiwa mazindiko makubwa sana ya kusahaulisha watu shida zote na kuwafanya wawe mazezeta fulani.

Kuna ukweli hapa kwa sababu kwa sasa Raia wanalalamika kila kona ,ila kampeni zikifika wakisha pewa zile Kofia au Tshirt wanasahau kila kitu.
images%20(6).jpg
 
Back
Top Bottom