Mwandishi Bollen Ngetti kumrithi Daniel Chongolo?

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Wanabodi,

Nimekutana na hili katika korido za Lumumba kwamba baada ya Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kujiuzulu, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kwenye wakati mgumu kumpata SG wa CCM.

Washauri wake ni kama wamegoma kumshauri ampendekeze nani kwa CC ya chama chake. Ila za chini ni kwamba TISS imemshauri kumpendekeza Mwandishi nguli za Uchambuzi Bollen Ngetti ashike nafasi hiyo. Hoja kubwa iliyotumika ni kwamba Ngetti ana uhusiano mkubwa na viongozi wa upinzani na hivyo anaweza kuwa-newtral kisiasa.

Inadaiwa aliyekuwa Msaidizi wa Marehemu Bernard Membe huyu "Anamuweza" mno Freeman Mbowe na hivyo kupitia yeye anaweza kukidhoofisha CHADEMA.

My take: CCM si lazima kuwatumia watu wa usalama kuendesha chama. Tuwatafute wana siasa si wana TISS. Hao wabaki Ugalatiani.

Kuna ushahidi kwamba Bollen Ngetti ni rafiki mkubwa wa Daniel Chongolo. Kwa nini tusiamini ndege wafananao huruka pamoja? Tusifanye makosa. Kwanza huyu ni adui mkubwa wa Katibu wa Itikadi na Uenezi Paul Makonda. Tutakivuruga chama kuwapa ushindi CHADEMA. Ngetti, Zitto, Mbatia na Tulia ni virusi. Chukueni maneno yangu wana CCM au puuzeni, mi nimekaa paleeee.
 
Wanabodi,
Nimekutana na hili katika korido za Lumumba kwamba baada ya Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kujiuzulu, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kwenye wakati mgumu kumpata SG wa CCM.

Washauri wake ni kama wamegoma kumshauri ampendekeze nani Kwa CC ya chama chake. Ila za chini ni kwamba TISS imemshauri kumpendekeza Mwandishi nguli za Uchambuzi Bollen Ngetti ashike nafasi hiyo. Hoja kubwa iliyotumika ni kwamba Ngetti ana uhusiano mkubwa na viongozi wa upinzani na hivyo anaweza kuwa-newtral kisiasa.

Inadaiwa aliyekuwa Msaidizi wa Marehemu Bernard Membe huyu "anamuweza" mno Freeman Mbowe na hivyo kupitia yeye anaweza kukidhoofisha Chadema.

My take: CCM si lazima kuwatumia watu wa usalama kuendesha chama. Tuwatafute wana siasa si wana TISS. Hao wabaki Ugalatiani.

Kuna ushahidi kwamba Bollen Ngetti ni rafiki mkubwa wa Daniel Chongolo. Kwa nini tusiamini ndege wafananao huruka pamoja? Tusifanye makosa. Kwanza huyu ni adui mkubwa wa Katibu wa Itikadi na Uenezi Paul Makonda. Tutakivuruga chama kuwapa ushindi Chadema. Ngetti, Zitto, Mbatia na Tulia ni virusi. Chukueni maneno yangu wana CCM au puuzeni, mi nimekaa paleeee.....
Yetu macho na masikio..!
 
Mkuu hofu ya nini? Katibu mkuu wa CCM hachaguliwi kudhibiti upinzani bali kusimamia chama chake na ilani ya chama chake! Wewe ndiye unaleta taharuki kwa kuwawekea wenzako chuki yako midomoni mwao!
 
Umetumia hoja dhaifu sanaaa zisizo ingia akilini wala kuweza kuaminika na kukubalika kwa mtu mwenye akili Timamu. Hoja zako ni za uongo na umekuja hapa kufanya upotoshaji tu. Acheni Ramli na uzushi.
 
Wanabodi,

Nimekutana na hili katika korido za Lumumba kwamba baada ya Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kujiuzulu, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kwenye wakati mgumu kumpata SG wa CCM.

Washauri wake ni kama wamegoma kumshauri ampendekeze nani kwa CC ya chama chake. Ila za chini ni kwamba TISS imemshauri kumpendekeza Mwandishi nguli za Uchambuzi Bollen Ngetti ashike nafasi hiyo. Hoja kubwa iliyotumika ni kwamba Ngetti ana uhusiano mkubwa na viongozi wa upinzani na hivyo anaweza kuwa-newtral kisiasa.

Inadaiwa aliyekuwa Msaidizi wa Marehemu Bernard Membe huyu "anamuweza" mno Freeman Mbowe na hivyo kupitia yeye anaweza kukidhoofisha Chadema.

My take: CCM si lazima kuwatumia watu wa usalama kuendesha chama. Tuwatafute wana siasa si wana TISS. Hao wabaki Ugalatiani.

Kuna ushahidi kwamba Bollen Ngetti ni rafiki mkubwa wa Daniel Chongolo. Kwa nini tusiamini ndege wafananao huruka pamoja? Tusifanye makosa. Kwanza huyu ni adui mkubwa wa Katibu wa Itikadi na Uenezi Paul Makonda. Tutakivuruga chama kuwapa ushindi Chadema. Ngetti, Zitto, Mbatia na Tulia ni virusi. Chukueni maneno yangu wana CCM au puuzeni, mi nimekaa paleeee.
Matumizi ya bangi yawekewe ukomo wa umri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom