Kwanini Chalamila ameamua kutumia madhabau kutoa kauli ya kuyataka majeshi yafanye usafi 23-24/01/2024?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Tusaidiane wananzengo, ilikuwa sahihi kwa Chalamila kusimama kanisani na kutoa tangazo la kisiasa kanisani? Anatamka mbele ya kanisa kwamba askari polisi 5000 watakuwa barabarani, anawaleta barabarani wanajeshi 8000 nk kufanya usafi muda mfupi baada ya Mbowe kusema kutakuwa na maandamano.

Akiwa kanisani anatabiri kutakuwepo na fujo, na kwamba wanajeshi watadhibiti fujo. Anafahamu nini jukumu la Jeshi la Wananchi? Anafahamu kwamba jeshi la wananchi lina hadhi gani inapokuja katika jukumu la ulinzi na usalama?

Anataka kusema hayo ni maono au maelekezo ya mwenye nchi kuruhusu wanajeshi waingie mtaani ? Let assume chadema wameandamana, wanajeshi watakuwa na njia gani yakukwepa wasionekanw wanapambana na RAIA?

Anafahamu namna ambavyo maamuzi haya yatatia doa nchi? Anafahamu namna vyombo vya magharibi vitayapa kipaombele?

Nashauri Serikali ikwepe huu mtego waliopewa na Chalamila. Chadema wanakwenda kutumia hii kama opportunity kwao kuonyesha wanakandamizwa. Tusiwape nafasi wakaonyesha wanaonewa na JWTZ ikiwa ndani yake. Tulinde sana uniform za JW katika kufanya usafi hasa tarehe 24.01.2024 kuliko tunavyoweza kulinda chochote.

Huu ni mtego na Duniani kote mitego kama hii uhitaji critical thinkers siyo watu wa propaganda. Nchi imetulia tusiruhusu thinking za awamu iliyopita zituvuruge.
 
Hayo Majeshi pia ni wahanga wa maisha mabovu ya vikokotoo wakistaafu!

Mimi niwaombe JWTZ,siku hiyo wakitoka kwenda kufanya usafi wasirudi makambini hadi wahakikishe wao pamoja na wananchi katiba inapatikana!,Tofauti na hapo hakuna kurudi kambini!
 
Tusaidiane wananzengo, ilikuwa sahihi kwa Chalamila kusimama kanisani na kutoa tangazo la kisiasa kanisani? Anatamka mbele ya kanisa kwamba askari polisi 5000 watakuwa barabarani, anawaleta barabarani wanajeshi 8000 nk kufanya usafi muda mfupi baada ya Mbowe kusema kutakuwa na maandamano.

Akiwa kanisani anatabiri kutakuwepo na fujo, na kwamba wanajeshi watadhibiti fujo. Anafahamu nini jukumu la Jeshi la Wananchi? Anafahamu kwamba jeshi la wananchi lina hadhi gani inapokuja katika jukumu la ulinzi na usalama?

Anataka kusema hayo ni maono au maelekezo ya mwenye nchi kuruhusu wanajeshi waingie mtaani ? Let assume chadema wameandamana, wanajeshi watakuwa na njia gani yakukwepa wasionekanw wanapambana na RAIA?

Anafahamu namna ambavyo maamuzi haya yatatia doa nchi? Anafahamu namna vyombo vya magharibi vitayapa kipaombele?

Nashauri Serikali ikwepe huu mtego waliopewa na Chalamila. Chadema wanakwenda kutumia hii kama opportunity kwao kuonyesha wanakandamizwa.....tusiwape nafasi wakaonyesha wanaonewa na JWTZ ikiwa ndani yake. Tulinde sana uniform za JW katika kufanya usafi hasa tarehe 24.01.2024 kuliko tunavyoweza kulinda chochote.

Huu ni mtego na Duniani kote mitego kama hii uhitaji critical thinkers siyo watu wa propaganda. Nchi imetulia tusiruhusu thinking za awamu iliyopita zituvuruge.
Duh...!.
P
 
JWTZ tangu walipobebeshwa korosho ,kila kiongozi Sasa analitumia atakavyo. Chalamila sasa analitaka jeshi likasafishe vyoo vya stendi na kuzoa taka barabarani.

Ndiyo maana huwa naandika mara kadhaa humu kwamba majeshi yapo Niger, Burkina Faso, Senegal na Gabon. Hapa kwetu tuna wabeba korosho na wasafisha vyoo.
 
Hv hawa jamaa bdo wapo kweli? Sidhani....
 
JWTZ tangu walipobebeshwa korosho ,kila kiongozi Sasa analitumia atakavyo. Chalamila sasa analitaka jeshi likasafishe vyoo vya stendi na kuzoa taka barabarani.

Ndiyo maana huwa naandika mara kadhaa humu kwamba majeshi yapo Niger, Burkina Faso, Senegal na Gabon. Hapa kwetu tuna wabeba korosho na wasafisha vyoo.
Anasema hayo kama nani! Siamini kama ana hayo mamlaka kuliamuru jeshi kufanya hayo! Wala siamini ametumwa na amiri jeshi mkuu. Naona kama kiherehere flani tu, mtu kapata cheo hakukitegmea, hawezi tulia bila kuonekana hadhrani akitia neno! Mdomo unawasha, naye aupige mwingi. Masikini Tz ...dah!
 
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa hii si mara ya mwanzo kuambiwa wanajeshi watafanya usafi Dar siku ambayo wapinzani wametangaza kufanya maandamano.
 
Tusaidiane wananzengo, ilikuwa sahihi kwa Chalamila kusimama kanisani na kutoa tangazo la kisiasa kanisani? Anatamka mbele ya kanisa kwamba askari polisi 5000 watakuwa barabarani, anawaleta barabarani wanajeshi 8000 nk kufanya usafi muda mfupi baada ya Mbowe kusema kutakuwa na maandamano.

Akiwa kanisani anatabiri kutakuwepo na fujo, na kwamba wanajeshi watadhibiti fujo. Anafahamu nini jukumu la Jeshi la Wananchi? Anafahamu kwamba jeshi la wananchi lina hadhi gani inapokuja katika jukumu la ulinzi na usalama?

Anataka kusema hayo ni maono au maelekezo ya mwenye nchi kuruhusu wanajeshi waingie mtaani ? Let assume chadema wameandamana, wanajeshi watakuwa na njia gani yakukwepa wasionekanw wanapambana na RAIA?

Anafahamu namna ambavyo maamuzi haya yatatia doa nchi? Anafahamu namna vyombo vya magharibi vitayapa kipaombele?

Nashauri Serikali ikwepe huu mtego waliopewa na Chalamila. Chadema wanakwenda kutumia hii kama opportunity kwao kuonyesha wanakandamizwa.....tusiwape nafasi wakaonyesha wanaonewa na JWTZ ikiwa ndani yake. Tulinde sana uniform za JW katika kufanya usafi hasa tarehe 24.01.2024 kuliko tunavyoweza kulinda chochote.

Huu ni mtego na Duniani kote mitego kama hii uhitaji critical thinkers siyo watu wa propaganda. Nchi imetulia tusiruhusu thinking za awamu iliyopita zituvuruge.
Na sisi wananchi wote twendeni tukafanye usafi pamoja na CDM.
 
Ingalikuwa katoa msikitini jf pangalikuwa hapatoshi. Wadini wangalianzisha thread kila wakati.
Hamas viboko kweli . Watoto wanawaheshenyesha Isreal na USA mwaka sasa.

Mtanganyika akisikia fisi tu msituni yeye anakimbilia mvunguni
 
Tusaidiane wananzengo, ilikuwa sahihi kwa Chalamila kusimama kanisani na kutoa tangazo la kisiasa kanisani? Anatamka mbele ya kanisa kwamba askari polisi 5000 watakuwa barabarani, anawaleta barabarani wanajeshi 8000 nk kufanya usafi muda mfupi baada ya Mbowe kusema kutakuwa na maandamano.

Akiwa kanisani anatabiri kutakuwepo na fujo, na kwamba wanajeshi watadhibiti fujo. Anafahamu nini jukumu la Jeshi la Wananchi? Anafahamu kwamba jeshi la wananchi lina hadhi gani inapokuja katika jukumu la ulinzi na usalama?

Anataka kusema hayo ni maono au maelekezo ya mwenye nchi kuruhusu wanajeshi waingie mtaani ? Let assume chadema wameandamana, wanajeshi watakuwa na njia gani yakukwepa wasionekanw wanapambana na RAIA?

Anafahamu namna ambavyo maamuzi haya yatatia doa nchi? Anafahamu namna vyombo vya magharibi vitayapa kipaombele?

Nashauri Serikali ikwepe huu mtego waliopewa na Chalamila. Chadema wanakwenda kutumia hii kama opportunity kwao kuonyesha wanakandamizwa.....tusiwape nafasi wakaonyesha wanaonewa na JWTZ ikiwa ndani yake. Tulinde sana uniform za JW katika kufanya usafi hasa tarehe 24.01.2024 kuliko tunavyoweza kulinda chochote.

Huu ni mtego na Duniani kote mitego kama hii uhitaji critical thinkers siyo watu wa propaganda. Nchi imetulia tusiruhusu thinking za awamu iliyopita zituvuruge.
Nadharia za chalamila :-

1.Anatumiwa na wenye akili kubwa Kwa mgongo was Rais yaani Raise kashauriwa amtumie chalamila I'll kuliudhi jeshi lenye hasira tayari () hasira ya nini hatujui,yaani kifupi Raise anachonganishwa na jeshi kiaina ili likasirike lifanye maamuzi kinyume na matarajio!!!

2.sehem ya jwtz limeasi na kuacha utamaduni was kisheria .was mjeshi na kuingia kwenye siasa za CCM!yaani wanajeshi wameacha majukum yao na kuwa chawa wa kumpigania mwenyekiti ashike mara ya pili!!!

Ngoja tuone Nini kitajiri !!!

Wanaodhani chalamila ni chizi wao ndio machizi,KAZI anayofanya chalamila ni kazi kama kazi katika matukio tote aliyowahi fanya!!!

!!!
 
Tusaidiane wananzengo, ilikuwa sahihi kwa Chalamila kusimama kanisani na kutoa tangazo la kisiasa kanisani? Anatamka mbele ya kanisa kwamba askari polisi 5000 watakuwa barabarani, anawaleta barabarani wanajeshi 8000 nk kufanya usafi muda mfupi baada ya Mbowe kusema kutakuwa na maandamano.

Akiwa kanisani anatabiri kutakuwepo na fujo, na kwamba wanajeshi watadhibiti fujo. Anafahamu nini jukumu la Jeshi la Wananchi? Anafahamu kwamba jeshi la wananchi lina hadhi gani inapokuja katika jukumu la ulinzi na usalama?

Anataka kusema hayo ni maono au maelekezo ya mwenye nchi kuruhusu wanajeshi waingie mtaani ? Let assume chadema wameandamana, wanajeshi watakuwa na njia gani yakukwepa wasionekanw wanapambana na RAIA?

Anafahamu namna ambavyo maamuzi haya yatatia doa nchi? Anafahamu namna vyombo vya magharibi vitayapa kipaombele?

Nashauri Serikali ikwepe huu mtego waliopewa na Chalamila. Chadema wanakwenda kutumia hii kama opportunity kwao kuonyesha wanakandamizwa.....tusiwape nafasi wakaonyesha wanaonewa na JWTZ ikiwa ndani yake. Tulinde sana uniform za JW katika kufanya usafi hasa tarehe 24.01.2024 kuliko tunavyoweza kulinda chochote.

Huu ni mtego na Duniani kote mitego kama hii uhitaji critical thinkers siyo watu wa propaganda. Nchi imetulia tusiruhusu thinking za awamu iliyopita zituvuruge.
Madhabahu hizo hizo ndio hutumika Kwa Wakuu kuwapa.

Kikubwa kaandamane tarehe 24
 
JWTZ tangu walipobebeshwa korosho ,kila kiongozi Sasa analitumia atakavyo. Chalamila sasa analitaka jeshi likasafishe vyoo vya stendi na kuzoa taka barabarani.

Ndiyo maana huwa naandika mara kadhaa humu kwamba majeshi yapo Niger, Burkina Faso, Senegal na Gabon. Hapa kwetu tuna wabeba korosho na wasafisha vyoo.

Not fair hii comment yako. Tulipe heshima jeshi letu.
 
Duh...!.
P
"Duh...!."!
P
Come out Paskal show your face be brave don't hide your face in the sand, bora usingejibu jibu lisilo na jibu, acha kuwaogopa wateuzi kwani kama upo upo tu na kama wakukosa utaendelea kukosa tu.
Tutafsirie "Duh" kwa kiswahili kutoka kisukuma. Paskal shida yako linapokuja swala la Chadema unakuwa na mtazamo hasi kama sisi tusiojua sheria na kuwaona Chadema ni kundi la magaidi, wahuni, wakorofi wasiojua sheria na ili waandamane wanatakiwa wafanye nini. Paskal ondoa msimamo wako kuwa Mbowe ni gaidi(tukio la Mwanza!). Chadema ni zaidi ya Mbowe na Mbowe si mpanga maandamano ni msemaji tu, wahusika watafuata njia za kikatiba.
 
Back
Top Bottom