chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Mkuu wa mkoa wa Mara Magesa Mulongo akiongea na wananchi wilaya ya Bunda amesema hakutakuwa na chakula cha msaada bali wanatakiwa walime, na kila mwananchi alime ekari kuanzia mbili za mihogo.
Na yeyote atakayeonyesha kulia kuwa ana njaa watampeleka jela ambako kunapatikana chakula cha bure.
Pia amesema kucheza pool table ni marufuku, na atakeyekunywa bia kabla ya saa kumi na nusu jioni atakamatwa.