Shehe Kundecha: Nilistaajabu Mkuu wa mkoa mmoja kumwambia Rais wa Wakati huo kuwa mkoani Kwake hakuna Mpinzani atakayeshinda!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,018
142,058
Shehe Kundecha alichangia muswada wa sheria za Uchaguzi anasema alishangaa kumsikia mkuu wa mkoa mmoja kumwambia Rais wa Wakat huo kuwa mkoani Kwake hakuna Mgombea wa upinzani atakayeshinda Udiwani wala Ubunge

Kundecha akasema alipowauliza Tume ya Uchaguzi kuwa RC huyo watamchukulia hatua gani NEC wakamjibu hawawezi kumchukulia hatua zozote bila Wananchi Kulalamika

Mlale Unono 😀😀🔥
 
Mlale Unono
Habari ya asubuhi
 
Inamaana kundecha hakuwa mwananchi?
 
Mkuu wa mkoa alikuwa sahihi, sasa kama mkoani kwake hakuna mpinzani mwenye dalili ya kushinda na wala hakuna mwananchi wa kulalamika hawezi kuchukuliwa hatua zozote.
Hata hivyo tume ya uchaguzi haiteuwi wakuu wa mikoa.
 
Alikuwa sahihi maana wapinzani hata hawaelewwiki zaidi ya kulilia democracy wasioienzi
 
Back
Top Bottom