Chadema isiruhusiwe kutikisa Dola na nchi kwa ujumla

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Tumesikia maelekezo ya viongozi wa Chadema kwamba tarehe 24/1/2024 wataitisha maandamano nchi nzima kupinga muswada ya sheria ya uchaguzi na mwendo wa demokrasia nchini Kwa ujumla wake.

Nashauri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM kwamba huku ni kukitikisa dola na kuijaribu Serikali. Ulegevu katika hili utakuwa ni udhaifu mkubwa na hatari mbele ya macho ya sayari yetu.

Mbowe na genge lake wadhibitiwe kijeshi maana anawauza wennzie. Yeye keshalamba asali anataka akombe tena kijiko? Shubaaamit.
 
Mbowe anataka kumjaribu Samia!
Nadhani wanatafuta tena ukimbizi Canada yeye na genge lake!
 
Tumesikia maelekezo ya viongozi wa Chadema kwamba tarehe 24/1/2024 wataitisha maandamano nchi nzima kupinga muswada ya sheria ya uchaguzi na mwendo wa demokrasia nchini Kwa ujumla wake.

Nashauri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM kwamba huku ni kukitikisa dola na kuijaribu Serikali. Ulegevu katika hili utakuwa ni udhaifu mkubwa na hatari mbele ya macho ya sayari yetu. Mbowe na genge lake wadhibitiwe kijeshi maana anawauza wennzie . Yeye keshalamba asali anataka akombe tena kijiko? Shubaaamit.
Wewe ni Nani?
 
Hivi watuwengine mtafunguka macho lini kwenye usingizi wa ujinga?

Inasikitisha maana Chadema wanapigania katiba mpya sio ya kunufaisha Chadema pekee bali Tanzania nzima! Mnataka nchi iendelee kutawaliwa na kijikundi na Watanzania wengine kama wewe tubaki kuwa wapambe na wengine masikini. Ubinafsi wewe utaisha lini? Ni lini hasa tunataka kuumaliza umasikini wetu. Na kama sio sheria mbaya na katiba mbaya wewe unafikiri ni kwanini nchi yetu ni masikini?

Nchi yetu inakuwa maaikini kwasababu ya kuwa na watu kama wewe ambao hawajiamini na wanafikiri wameletwa Duniani kuwa machawa badala ya kufikiria kwamba kila Mtanzania awe na haki sawa ya kugombea na kuchaguliwa kidemokrasia. Yaani kama sio mjinga nani ambaye hajui uchaguzi uliopita ulikuwa wa wizi? Kwa sababu ya sheria mbaya!
 
Hao wapingaji wote ni wanufaika wa mifumo iliyopo !
 
Tumesikia maelekezo ya viongozi wa Chadema kwamba tarehe 24/1/2024 wataitisha maandamano nchi nzima kupinga muswada ya sheria ya uchaguzi na mwendo wa demokrasia nchini Kwa ujumla wake.

Nashauri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM kwamba huku ni kukitikisa dola na kuijaribu Serikali. Ulegevu katika hili utakuwa ni udhaifu mkubwa na hatari mbele ya macho ya sayari yetu.

Mbowe na genge lake wadhibitiwe kijeshi maana anawauza wennzie. Yeye keshalamba asali anataka akombe tena kijiko? Shubaaamit.
Maandano ni kutikisa dola au kupaza sauti ili zisikike? Tuna kizazi cha ovyo kisichojitambua!!
 
Tumesikia maelekezo ya viongozi wa Chadema kwamba tarehe 24/1/2024 wataitisha maandamano nchi nzima kupinga muswada ya sheria ya uchaguzi na mwendo wa demokrasia nchini Kwa ujumla wake.

Nashauri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM kwamba huku ni kukitikisa dola na kuijaribu Serikali. Ulegevu katika hili utakuwa ni udhaifu mkubwa na hatari mbele ya macho ya sayari yetu.

Mbowe na genge lake wadhibitiwe kijeshi maana anawauza wennzie. Yeye keshalamba asali anataka akombe tena kijiko? Shubaaamit.
Ishie kule huna mpango! Katiba mbovu inasemaje!
Haki haki!
 
Mbona mmeanza kuweweseka mapema sana!
Wanaimagine ni jinsi gani Mwabukusi alivyowatoa jambjamba ...... sasa hapa hawawezi kutumia strategies zile zile. Wamwambie Chalamila aamlishe Jeshi lifanye usafi mwaka mzima ...... Yaani huyu kijana kalidharu jeshi letu kabisa!!
 
Tumesikia maelekezo ya viongozi wa Chadema kwamba tarehe 24/1/2024 wataitisha maandamano nchi nzima kupinga muswada ya sheria ya uchaguzi na mwendo wa demokrasia nchini Kwa ujumla wake.

Nashauri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM kwamba huku ni kukitikisa dola na kuijaribu Serikali. Ulegevu katika hili utakuwa ni udhaifu mkubwa na hatari mbele ya macho ya sayari yetu.

Mbowe na genge lake wadhibitiwe kijeshi maana anawauza wennzie. Yeye keshalamba asali anataka akombe tena kijiko? Shubaaamit.
Nchi itikiswe Mara ngapi bro? Wizi, ufisadi, ujinga na uozo, wa, huu uta wala wa, CCM, umeitingisha nchi kila Kona,
Kitu pekee cha maana kinachofanywa na huu utawala,ni siasa za, uchawa, kutafuta kiki za kijinga, utasikia"mama ananunua kila gori kwa milioni moja"au, "samia legal aid" Samia scholarship "au " Sherehe za birthday ya mkoa wa singida"
Ni ujinga kwenda, mbele,
Kuanzia ikulu mpaka kwenye kata,wamejaa mazombie, sycophants, machawa watupu, wasio na uwezo, wa, akili, kwao, ni,kusifia tu, wale wenye critical thinking, Bibi wa kizimkazi anawaogopa kama ukoma!
 
Wapigwe kama ngoma, nasikia magereza wana kikosi hatari sana cha kuzuia ghasia magerezani,FFU wakasome, tunamuomba kamishna jenerali wa magereza wawaruhusu hata robo tuwasome uwezo jinsi watakavyowadunda CDM.

Mtu kama John Mrema ile kipara ikichapwa na rungu ya mninga, nundu yake ni kama pembe ya faru
 
Tumesikia maelekezo ya viongozi wa Chadema kwamba tarehe 24/1/2024 wataitisha maandamano nchi nzima kupinga muswada ya sheria ya uchaguzi na mwendo wa demokrasia nchini Kwa ujumla wake.

Nashauri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM kwamba huku ni kukitikisa dola na kuijaribu Serikali. Ulegevu katika hili utakuwa ni udhaifu mkubwa na hatari mbele ya macho ya sayari yetu.

Mbowe na genge lake wadhibitiwe kijeshi maana anawauza wennzie. Yeye keshalamba asali anataka akombe tena kijiko? Shubaaamit.
Wakatikise ngumi zao na viberiti wanavyovutia misokoto
 
Back
Top Bottom