HUSSEN KAMBI
Senior Member
- Dec 4, 2023
- 175
- 212
Hongera kwa hutuba yako ulioitoa Jumamosi tr 13 mwezi January kuhusu unafiki wa watawala kila mwenye akili zilizo salama atakua amekuelewa maongezi yako yanaonyesha kweli ulikua na nia njema katika kutafuta maridhiano na watawala.
Baada yakuona watawala wamekiuka makubaliano baina yenu na wao umeamua ufunguke ila sisi tulijua watawala hawapo tayari kufanya hivyo mnavyotaka kwani mzoea vyakunyonga vyakuchinja haviwezi.
Iila hongera sana hata kama maandamano hayatafanyika lakini ujumbe umefika mpaka kitendo cha kutokea kiongozi mmoja kutangaza usafi siku hiyo hiliopangwa maandamano ujue ujumbe umefika.
Kidogo umenirudishia matumaini yaliyoanza kupotea kutoka kwenu mimi kama mtanzania ambaye akili zangu bado hazijapitiwa na moshi wa mwenge nimekuelewa vizuri kiongozi