Sababu ya Kuvunjika EAC-I, Kuundwa Upya EAC-II,"The Coalition of The Willing" Kujimwambafay na Jinsi JK Alivyoiokoa Jumuiya Isivunjike Kwa Kujishusha!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,506
113,627
Wanabodi,
Kazi Inaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa, Jumapili ya Leo, 11 September
Screen Shot 2022-09-11 at 4.56.15 PM.png
Screen Shot 2022-09-11 at 4.56.37 PM.png

Kwa Maslalahi ya Taifa leo, inaendelea na sehemu ya pili ya Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki na Fursa za Mtangamano.

Wiki iliyopita nilianza kwa kuitambulisha Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC na kusema hii ni Jumuiya ya pili baada ya ile ya kwanza kuvunjika mwaka 1977.

Leo tunaanzia historia ya sababu ya kwa nini jumuiya ya mwanzo ilivunjika ili kuzuia sababu hizo zisije kusababisha na jumuiya hii ya pili kuvunjika.

Kuvunjika kwa jumuiya ya kwanza ya Afrika Mashariki, kulitokana na sababu nyingi ila sababu kubwa ya kwanza ni tofauti za kisiasa, kiitikadi na mifumo ya uchumi baina ya nchi wanachama. Tanzania tulifuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea wakati Kenya iliendelea na mfumo wa uchumi wa kibepari na soko huria ilio urithi kutoka katika uchumi wa kikoloni, Uganda ilitawaliwa kidikiteta na nduli Idi Amini Dada hivyo kutaifisha kila kitu kuwa mali ya umma.

Sababu nyingine zilizochangia kuvunjika kwa Jumuiya ya Afriku Mashiriki ni pamoja na ukosefu wa utashi wa kisiasa (political will) baina ya viongozi wakuu wan chi washiriki kwa baadhi yao kujiona bora kuliko wengine hivyo kukatokea kudharauliana baina yao. Kutoshirikisha kikamilifu kwa sekta binafsi na raia kwenye shughuli za ushirikiano, na kutokuwapo kwa usawa katika kugawana matunda ya Jumuiya baina ya nchi wanachama kwa wengine kuvutia kwao, hivyo wengine kufaidi zaidi na wengine kuhisi kupunjwa. Hali hii ilisababishwa na tofauti ya viwango vya maendeleo baina ya Nchi Wanachama. Wakati Kenya iliendelea zaidi kiviwanda, Uganda na Tanzania ziligeuka ni soko kwa bidhaa za Kenya hivyo kujikuta zinaifaidisha nchi moja na kujihisi kunyonywa!.

Kutokuwapo na sera maalum za kurekebisha tofauti hizi kulichangia, kwa kiasi kikubwa, kuvunjika kwa Jumuiya ya kwanza ya Afrika Mashariki.

Kufuatia kuvunjika kwa jumuiya hiyo mwaka 1977, Nchi Wanachama ziliajiri mpatanishi ambaye alihusika katika kugawa mali na madeni ya jumuiya baina ya Nchi Wanachama. Kazi hii ilifanyika katika kipindi cha miaka saba, yaani toka 1978 mpaka 1984, wakati Nchi Wanachama walipoweka saini Makubaliano ya Upatanishi. Makubaliano ya Upatanishi yalisainiwa Arusha, Tanzania, Mei 24, 1984.

Miongoni mwa vipengele vya Makubaliano ya Upatanishi, kimojawapo kilikuwa ni makubaliano ya kuangalia upya maeneo ambayo nchi za Afrika Mashariki zingeweza kushirikiana tena katika siku za baadae. Imechukua zaidi ya miaka kumi kuamua maeneo mapya na kuunda taasisi nyingine ya ushirikiano.

Juhudi hizi zilianza na makubaliano ya Novemba 30, 1993 ya kuanzisha Tume ya Kudumu ya Ushirikiano ili ihusike na uratibu wa masuala ya kiuchumi, kijamii, kiutamaduni, kiusalama na kisiasa. Makubaliano ya uanzishaji wa Sekretariati ya Tume ya kudumu ya Ushirikiano yalitiwa saini Navemba 26, 1994.

Baada ya kutathmini hatua zilizochukuliwa na Tume katika kuendeleza ushirikiano, viongozi wa Afrika Mashariki walifikia uamuzi, huko Arusha, Tanzania, wa kuanzisha tena Jumuiya mpya ya Afrika Mashariki. Hivyo waliagiza Tume kushughulikia majadiliano juu ya Mkataba wa Jumuiya hiyo mpya ya Afrika Mashariki.

Matayarisho ya ufufuaji wa Jumuiya mpya yalikamilika mwaka 1999. Mkataba wa Jumuiya mpya ya Afrika Mashariki ulisainiwa na viongozi wa nchi za Afrika Mashariki Arusha, Novemba 30, 1999. Mkataba huu tayari umesharidhiwa na nchi zote wanachama na Vyombo vyote muhimu vinavyotajwa katika Ibara ya 9 ya Mkataba tayari vimeshaundwa.

MTIKISIKO JUMUIYA YA PILI

Zile sababu zilizoifanya Jumuiya ya mwanzo kuvunjika, zilianza kujitokeza na kujipenyeza tena kwenye jumuiya hii mpya kwa baadhi ya wanachama kutaka kuharakisha Mtangamano kwa kutaka kuharakisha na kuvutia interests zao ambazo zitawafaidisha zaidi na kuwaneemesha huku wengine wakisita sita, hivyo wengine kutaka kuwaburuza wenzao!. Wale waliojiona wako tayari, wakaunda kakikundi chao na kujipachika jina la "The Coalition of the Willing” kumaanisha wale wanachama wenye haraka ya kuungana, ambao wako tayari, wao waungane na kusongo mbele, huku wale wanaosita sita, waachane nao!. Mara vikaanza vikao, wanaitana kwa kubaguana, wanaowaona hawako tayari, hawawaiti!.

Kwenye jambo la pamoja, kunapojitokeza miamba miongoni mwao na kuanza kuonyeshana umwamba, kama kila mmoja atajifanya mwamba, ni lazima moto utawaka, lakini kukijitokeza miamba, kwa mmoja wawili akijifanya mwamba mwingine ukijishusha, kunazuia moto kulipuka, hivyo The Coalition of Willing ya miamba ilipoundwa, kuna wengine wakaamua kutumia busara kwa kujishusha kuipisha miamba badala ya kuonyeshana umwamba, hivyo kuikoa hii Jumuiya ya pili.

Kwenye hili, lazima tumpongeze sana Rais wa Tanzania wa wakati huo, Jakaya Mrisho Kikwete, ni mtu muungwana sana na sio mtu wa kujimwambafy, alipoona wanaitana wengine na wengine wanatengwa, alijinyamazia!, na hivyo kuiokoa Jumuiya hii ya pili. Just Imagine, hii "the Coalition of the Willing, ingeibuka enzi za yule mwamba?, kungekuwa kuna kujishusha?, usikute saa hizi, watu tungekuwa tunagawana fito!.

Tukutane Wiki Ijayo ambayo tutauchambua Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki sura kwa sura ili kuijua Jumuiya hii kwa karibu na vyombo vyake vikuu kwa ajili ya kutekeleza majukumu mbalimbali ambavyo ni
  1. Mkutano wa Wakuu wa Nchi
 za Jumuiya ya Afrika Mashariki
  2. Baraza la Mawaziri la Mawaziri wa Mawaziri wa Afrika MashariNchi wan chi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
  3. Kamati ya Uratibu
ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki
  4. Kamati za ki Sekta
za Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki
  5. Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
  6. Bunge la Afrika Mashariki
  7. Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
Wasalaam

Paskali
 
Lakini ikumbukwe hata baada ya mwamba JK kukaa kimya na Bwana Kifua alipoingia madarakani alikuta hii mizengwe akawa anapigwa kanzu vikao ni Rwanda,Kenya na uganda jamaa akatengeneza urafiki na PK na M7 wakaishiwa nguvu watu wakaanza kurudi taratibu akawaini wote kwa PK wafanyabiashara wakanza kutumia bandari yetu na kwa M& akatupa deal la bomba la mafuta, ila naona kuna kila sababu za ku kujenga ukaribu na kuweka misingi imara kuwahakikisha hilo alijirudii na ikithibitika nchi husika iondolewe katika Jumuiya.
 
Raisi wetu Mstaafu Mzee Jakaya Kikwete ni IQ kubwa sana, alijishusha mpaka akina P Kagame wakaona watubipu tukawashushia zali la mentali🤣
 
Kikwete bana balaaa!! ila Naomba huyu tumtumie atufundishie vijana wetu nidhamu! huyu jamaa ni tunu ila basi tu baadhi ya watanzania vichwa maji sana!! Baba kikwete Big up sijui una mabinti wangapi?? iyo akili tunaitaka.......
 
Sababu nyingine zilizochangia kuvunjika kwa Jumuiya ya Afriku Mashiriki ni pamoja na ukosefu wa utashi wa kisiasa (political will) baina ya viongozi wakuu wan chi washiriki kwa baadhi yao kujiona bora kuliko wengine hivyo kukatokea kudharauliana baina yao. Kutoshirikisha kikamilifu kwa sekta binafsi na raia kwenye shughuli za ushirikiano, na kutokuwapo kwa usawa katika kugawana matunda ya Jumuiya baina ya nchi wanachama kwa wengine kuvutia kwao, hivyo wengine kufaidi zaidi na wengine kuhisi kupunjwa. Hali hii ilisababishwa na tofauti ya viwango vya maendeleo baina ya Nchi Wanachama. Wakati Kenya iliendelea zaidi kiviwanda, Uganda na Tanzania ziligeuka ni soko kwa bidhaa za Kenya hivyo kujikuta zinaifaidisha nchi moja na kujihisi kunyonywa!.
Haya mambo yalianza hivi hivi Tanzania yazuia ndege za shirika la ndege la Kenya kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya
P
 
Wanabodi,
Kazi Inaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa, Jumapili ya Leo, 11 September
View attachment 2353659View attachment 2353660
Kwa Maslalahi ya Taifa leo, inaendelea na sehemu ya pili ya Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki na Fursa za Mtangamano.

Wiki iliyopita nilianza kwa kuitambulisha Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC na kusema hii ni Jumuiya ya pili baada ya ile ya kwanza kuvunjika mwaka 1977.

Leo tunaanzia historia ya sababu ya kwa nini jumuiya ya mwanzo ilivunjika ili kuzuia sababu hizo zisije kusababisha na jumuiya hii ya pili kuvunjika.

Kuvunjika kwa jumuiya ya kwanza ya Afrika Mashariki, kulitokana na sababu nyingi ila sababu kubwa ya kwanza ni tofauti za kisiasa, kiitikadi na mifumo ya uchumi baina ya nchi wanachama. Tanzania tulifuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea wakati Kenya iliendelea na mfumo wa uchumi wa kibepari na soko huria ilio urithi kutoka katika uchumi wa kikoloni, Uganda ilitawaliwa kidikiteta na nduli Idi Amini Dada hivyo kutaifisha kila kitu kuwa mali ya umma.

Sababu nyingine zilizochangia kuvunjika kwa Jumuiya ya Afriku Mashiriki ni pamoja na ukosefu wa utashi wa kisiasa (political will) baina ya viongozi wakuu wan chi washiriki kwa baadhi yao kujiona bora kuliko wengine hivyo kukatokea kudharauliana baina yao. Kutoshirikisha kikamilifu kwa sekta binafsi na raia kwenye shughuli za ushirikiano, na kutokuwapo kwa usawa katika kugawana matunda ya Jumuiya baina ya nchi wanachama kwa wengine kuvutia kwao, hivyo wengine kufaidi zaidi na wengine kuhisi kupunjwa. Hali hii ilisababishwa na tofauti ya viwango vya maendeleo baina ya Nchi Wanachama. Wakati Kenya iliendelea zaidi kiviwanda, Uganda na Tanzania ziligeuka ni soko kwa bidhaa za Kenya hivyo kujikuta zinaifaidisha nchi moja na kujihisi kunyonywa!.

Kutokuwapo na sera maalum za kurekebisha tofauti hizi kulichangia, kwa kiasi kikubwa, kuvunjika kwa Jumuiya ya kwanza ya Afrika Mashariki.

Kufuatia kuvunjika kwa jumuiya hiyo mwaka 1977, Nchi Wanachama ziliajiri mpatanishi ambaye alihusika katika kugawa mali na madeni ya jumuiya baina ya Nchi Wanachama. Kazi hii ilifanyika katika kipindi cha miaka saba, yaani toka 1978 mpaka 1984, wakati Nchi Wanachama walipoweka saini Makubaliano ya Upatanishi. Makubaliano ya Upatanishi yalisainiwa Arusha, Tanzania, Mei 24, 1984.

Miongoni mwa vipengele vya Makubaliano ya Upatanishi, kimojawapo kilikuwa ni makubaliano ya kuangalia upya maeneo ambayo nchi za Afrika Mashariki zingeweza kushirikiana tena katika siku za baadae. Imechukua zaidi ya miaka kumi kuamua maeneo mapya na kuunda taasisi nyingine ya ushirikiano.

Juhudi hizi zilianza na makubaliano ya Novemba 30, 1993 ya kuanzisha Tume ya Kudumu ya Ushirikiano ili ihusike na uratibu wa masuala ya kiuchumi, kijamii, kiutamaduni, kiusalama na kisiasa. Makubaliano ya uanzishaji wa Sekretariati ya Tume ya kudumu ya Ushirikiano yalitiwa saini Navemba 26, 1994.

Baada ya kutathmini hatua zilizochukuliwa na Tume katika kuendeleza ushirikiano, viongozi wa Afrika Mashariki walifikia uamuzi, huko Arusha, Tanzania, wa kuanzisha tena Jumuiya mpya ya Afrika Mashariki. Hivyo waliagiza Tume kushughulikia majadiliano juu ya Mkataba wa Jumuiya hiyo mpya ya Afrika Mashariki.

Matayarisho ya ufufuaji wa Jumuiya mpya yalikamilika mwaka 1999. Mkataba wa Jumuiya mpya ya Afrika Mashariki ulisainiwa na viongozi wa nchi za Afrika Mashariki Arusha, Novemba 30, 1999. Mkataba huu tayari umesharidhiwa na nchi zote wanachama na Vyombo vyote muhimu vinavyotajwa katika Ibara ya 9 ya Mkataba tayari vimeshaundwa.

MTIKISIKO JUMUIYA YA PILI

Zile sababu zilizoifanya Jumuiya ya mwanzo kuvunjika, zilianza kujitokeza na kujipenyeza tena kwenye jumuiya hii mpya kwa baadhi ya wanachama kutaka kuharakisha Mtangamano kwa kutaka kuharakisha na kuvutia interests zao ambazo zitawafaidisha zaidi na kuwaneemesha huku wengine wakisita sita, hivyo wengine kutaka kuwaburuza wenzao!. Wale waliojiona wako tayari, wakaunda kakikundi chao na kujipachika jina la "The Coalition of the Willing” kumaanisha wale wanachama wenye haraka ya kuungana, ambao wako tayari, wao waungane na kusongo mbele, huku wale wanaosita sita, waachane nao!. Mara vikaanza vikao, wanaitana kwa kubaguana, wanaowaona hawako tayari, hawawaiti!.

Kwenye jambo la pamoja, kunapojitokeza miamba miongoni mwao na kuanza kuonyeshana umwamba, kama kila mmoja atajifanya mwamba, ni lazima moto utawaka, lakini kukijitokeza miamba, kwa mmoja wawili akijifanya mwamba mwingine ukijishusha, kunazuia moto kulipuka, hivyo The Coalition of Willing ya miamba ilipoundwa, kuna wengine wakaamua kutumia busara kwa kujishusha kuipisha miamba badala ya kuonyeshana umwamba, hivyo kuikoa hii Jumuiya ya pili.

Kwenye hili, lazima tumpongeze sana Rais wa Tanzania wa wakati huo, Jakaya Mrisho Kikwete, ni mtu muungwana sana na sio mtu wa kujimwambafy, alipoona wanaitana wengine na wengine wanatengwa, alijinyamazia!, na hivyo kuiokoa Jumuiya hii ya pili. Just Imagine, hii "the Coalition of the Willing, ingeibuka enzi za yule mwamba?, kungekuwa kuna kujishusha?, usikute saa hizi, watu tungekuwa tunagawana fito!.

Tukutane Wiki Ijayo ambayo tutauchambua Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki sura kwa sura ili kuijua Jumuiya hii kwa karibu na vyombo vyake vikuu kwa ajili ya kutekeleza majukumu mbalimbali ambavyo ni
  1. Mkutano wa Wakuu wa Nchi
 za Jumuiya ya Afrika Mashariki
  2. Baraza la Mawaziri la Mawaziri wa Mawaziri wa Afrika MashariNchi wan chi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
  3. Kamati ya Uratibu
ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki
  4. Kamati za ki Sekta
za Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki
  5. Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
  6. Bunge la Afrika Mashariki
  7. Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
Wasalaam

Paskali
Shida kubwa ya EAC ni Kenya na Rwanda.

Hizo Nchi ni za Kipuuzi sana.
 
Hata hivyo inavunjika tena hii ni kutokana na africa mashariki kukosa maraisi wenye akili peke yake rwanda wana mtu ila nae ana kashfa za kuua na kuteka hii inamfanya atoke kwenye kundi la watu wenye akili kwa sababu anachojenga leo kitabomolewa chuki haifi
 
Pascal Mayalla ana penchant ya kuibua posting za zamani.
Sio kuibua bali kuepuka kulisema jambo ambalo niliisha lineman zamani, hivyo nakutupia tuu links.
Kati ya strength yangu kubwa ni kuwakumbuka kwa majina mawili mawili wanafunzi niliosoma nao kindergarten at age 4 nimeanza la kwanza at age 5!, ila kitu cha ajabu, siwakumbuki niliomaliza nao UDSM, nadhani HD imejaa.

P
 
Wanabodi,
Kazi Inaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa, Jumapili ya Leo, 11 September
View attachment 2353659View attachment 2353660
Kwa Maslalahi ya Taifa leo, inaendelea na sehemu ya pili ya Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki na Fursa za Mtangamano.

Wiki iliyopita nilianza kwa kuitambulisha Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC na kusema hii ni Jumuiya ya pili baada ya ile ya kwanza kuvunjika mwaka 1977.

Leo tunaanzia historia ya sababu ya kwa nini jumuiya ya mwanzo ilivunjika ili kuzuia sababu hizo zisije kusababisha na jumuiya hii ya pili kuvunjika.

Kuvunjika kwa jumuiya ya kwanza ya Afrika Mashariki, kulitokana na sababu nyingi ila sababu kubwa ya kwanza ni tofauti za kisiasa, kiitikadi na mifumo ya uchumi baina ya nchi wanachama. Tanzania tulifuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea wakati Kenya iliendelea na mfumo wa uchumi wa kibepari na soko huria ilio urithi kutoka katika uchumi wa kikoloni, Uganda ilitawaliwa kidikiteta na nduli Idi Amini Dada hivyo kutaifisha kila kitu kuwa mali ya umma.

Sababu nyingine zilizochangia kuvunjika kwa Jumuiya ya Afriku Mashiriki ni pamoja na ukosefu wa utashi wa kisiasa (political will) baina ya viongozi wakuu wan chi washiriki kwa baadhi yao kujiona bora kuliko wengine hivyo kukatokea kudharauliana baina yao. Kutoshirikisha kikamilifu kwa sekta binafsi na raia kwenye shughuli za ushirikiano, na kutokuwapo kwa usawa katika kugawana matunda ya Jumuiya baina ya nchi wanachama kwa wengine kuvutia kwao, hivyo wengine kufaidi zaidi na wengine kuhisi kupunjwa. Hali hii ilisababishwa na tofauti ya viwango vya maendeleo baina ya Nchi Wanachama. Wakati Kenya iliendelea zaidi kiviwanda, Uganda na Tanzania ziligeuka ni soko kwa bidhaa za Kenya hivyo kujikuta zinaifaidisha nchi moja na kujihisi kunyonywa!.

Kutokuwapo na sera maalum za kurekebisha tofauti hizi kulichangia, kwa kiasi kikubwa, kuvunjika kwa Jumuiya ya kwanza ya Afrika Mashariki.

Kufuatia kuvunjika kwa jumuiya hiyo mwaka 1977, Nchi Wanachama ziliajiri mpatanishi ambaye alihusika katika kugawa mali na madeni ya jumuiya baina ya Nchi Wanachama. Kazi hii ilifanyika katika kipindi cha miaka saba, yaani toka 1978 mpaka 1984, wakati Nchi Wanachama walipoweka saini Makubaliano ya Upatanishi. Makubaliano ya Upatanishi yalisainiwa Arusha, Tanzania, Mei 24, 1984.

Miongoni mwa vipengele vya Makubaliano ya Upatanishi, kimojawapo kilikuwa ni makubaliano ya kuangalia upya maeneo ambayo nchi za Afrika Mashariki zingeweza kushirikiana tena katika siku za baadae. Imechukua zaidi ya miaka kumi kuamua maeneo mapya na kuunda taasisi nyingine ya ushirikiano.

Juhudi hizi zilianza na makubaliano ya Novemba 30, 1993 ya kuanzisha Tume ya Kudumu ya Ushirikiano ili ihusike na uratibu wa masuala ya kiuchumi, kijamii, kiutamaduni, kiusalama na kisiasa. Makubaliano ya uanzishaji wa Sekretariati ya Tume ya kudumu ya Ushirikiano yalitiwa saini Navemba 26, 1994.

Baada ya kutathmini hatua zilizochukuliwa na Tume katika kuendeleza ushirikiano, viongozi wa Afrika Mashariki walifikia uamuzi, huko Arusha, Tanzania, wa kuanzisha tena Jumuiya mpya ya Afrika Mashariki. Hivyo waliagiza Tume kushughulikia majadiliano juu ya Mkataba wa Jumuiya hiyo mpya ya Afrika Mashariki.

Matayarisho ya ufufuaji wa Jumuiya mpya yalikamilika mwaka 1999. Mkataba wa Jumuiya mpya ya Afrika Mashariki ulisainiwa na viongozi wa nchi za Afrika Mashariki Arusha, Novemba 30, 1999. Mkataba huu tayari umesharidhiwa na nchi zote wanachama na Vyombo vyote muhimu vinavyotajwa katika Ibara ya 9 ya Mkataba tayari vimeshaundwa.

MTIKISIKO JUMUIYA YA PILI

Zile sababu zilizoifanya Jumuiya ya mwanzo kuvunjika, zilianza kujitokeza na kujipenyeza tena kwenye jumuiya hii mpya kwa baadhi ya wanachama kutaka kuharakisha Mtangamano kwa kutaka kuharakisha na kuvutia interests zao ambazo zitawafaidisha zaidi na kuwaneemesha huku wengine wakisita sita, hivyo wengine kutaka kuwaburuza wenzao!. Wale waliojiona wako tayari, wakaunda kakikundi chao na kujipachika jina la "The Coalition of the Willing” kumaanisha wale wanachama wenye haraka ya kuungana, ambao wako tayari, wao waungane na kusongo mbele, huku wale wanaosita sita, waachane nao!. Mara vikaanza vikao, wanaitana kwa kubaguana, wanaowaona hawako tayari, hawawaiti!.

Kwenye jambo la pamoja, kunapojitokeza miamba miongoni mwao na kuanza kuonyeshana umwamba, kama kila mmoja atajifanya mwamba, ni lazima moto utawaka, lakini kukijitokeza miamba, kwa mmoja wawili akijifanya mwamba mwingine ukijishusha, kunazuia moto kulipuka, hivyo The Coalition of Willing ya miamba ilipoundwa, kuna wengine wakaamua kutumia busara kwa kujishusha kuipisha miamba badala ya kuonyeshana umwamba, hivyo kuikoa hii Jumuiya ya pili.

Kwenye hili, lazima tumpongeze sana Rais wa Tanzania wa wakati huo, Jakaya Mrisho Kikwete, ni mtu muungwana sana na sio mtu wa kujimwambafy, alipoona wanaitana wengine na wengine wanatengwa, alijinyamazia!, na hivyo kuiokoa Jumuiya hii ya pili. Just Imagine, hii "the Coalition of the Willing, ingeibuka enzi za yule mwamba?, kungekuwa kuna kujishusha?, usikute saa hizi, watu tungekuwa tunagawana fito!.

Tukutane Wiki Ijayo ambayo tutauchambua Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki sura kwa sura ili kuijua Jumuiya hii kwa karibu na vyombo vyake vikuu kwa ajili ya kutekeleza majukumu mbalimbali ambavyo ni
  1. Mkutano wa Wakuu wa Nchi
 za Jumuiya ya Afrika Mashariki
  2. Baraza la Mawaziri la Mawaziri wa Mawaziri wa Afrika MashariNchi wan chi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
  3. Kamati ya Uratibu
ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki
  4. Kamati za ki Sekta
za Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki
  5. Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
  6. Bunge la Afrika Mashariki
  7. Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
Wasalaam

Paskali
Vipi kuhusu itikadi za kisiasa miongoni mwa nchi wanachama Tz (ujamaa), Kenya(Ubepari) je haikuwa sababu ya kuvunjika hii jumuiya ? Na mivutano ya kisiasa hasa baada ya Obote kupinduliwa ?

Kitakachoikwamisha hii jumuiya ya Sasa ni mzozo baina ya nchi wanachama hasa Rwanda na jirani zake Drc na Burundi, isitoshe imeonyesha udhaifu mkubwa kwa kushindwa kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa huo mzozo.

Mizozo ya kisiasa ndani ya nchi wanachama hasa nyakati za uchaguzi ni mtihani mgumu kwa hii jumuiya, hasa pale inapoonekana hakuna nchi inayoonekana imeweza kuepuka hili kwa kuheshimu mchakato wa kidemokrasia.

Mzozo wa ndani wa miaka mingi wa Drc huku nchi wanachama wa EAC wakitajwa kuwa wahusika wakubwa ni mtihani mwingine uliyokwisha kuishinda jumuiya.

Hili ni jumuiya ya kuwakutanisha viongozi na taasisi zao tu ila mengine .....
 
Back
Top Bottom