Nashauri kufanyike uchunguzi wa kina juu ya kinachoendelea kwenye Bandari zetu baada ya mapato kupungua huku shehena ya mizigo ikiongezeka

Kimalingano

JF-Expert Member
Mar 27, 2023
422
525
Nilifuatilia maelezo ya Menejimenti ya TPA hivi karibuni waliyoyatoa kupitia vyombo vya habari.

Maelezo yao yalikuwa ni kwamba shehena imeongezeka zaidi ya matarajio yao kwa meli nyingi zaidi kushushia mizigo kwenye bandari zetu hususan bandari ya Dar.

Hata hivyo,viongozi hao hawakutaka kueleza mapato yamepanda kwa kiasi gani kutokana na shehena kuongezeka hadi walipoulizwa na waandishi wa habari ndipo wakalazimika kutoa maelezo yaliyokuwa na ukakasi.

Walijibu kuwa mapato bado hayajafikia lengo ambalo ni zaidi ya bilioni 600 ambapo hadi sasa wamekusanya bilioni 500 tu.

Wakataja sababu kwamba ni kutokana na mizigo mingi bado haijapakuliwa ili ilipiwe.

Maelezo ya namna hii yana ukakasi. Ni vema Bunge likamuagiza CAG afanye ukaguzi maalumu.Kwa sababu tayari kuna fununu kuwa kuna ukwepaji wa ulipaji wa kodi mbalimbali katika bandari zetu.
 
Tuliambiwa DP World watamaliza shida zote kumbe ni utapeli tupu
 
Kwani dipii wedi hajaanza kurejesha alizohonga wanasihasa ili wampitishie ule mkataba?
 
Nilifuatilia maelezo ya Menejimenti ya TPA hivi karibuni waliyoyatoa kupitia vyombo vya habari.

Maelezo yao yalikuwa ni kwamba shehena imeongezeka zaidi ya matarajio yao kwa meli nyingi zaidi kushushia mizigo kwenye bandari zetu hususan bandari ya Dar.

Hata hivyo,viongozi hao hawakutaka kueleza mapato yamepanda kwa kiasi gani kutokana na shehena kuongezeka hadi walipoulizwa na waandishi wa habari ndipo wakalazimika kutoa maelezo yaliyokuwa na ukakasi.

Walijibu kuwa mapato bado hayajafikia lengo ambalo ni zaidi ya bilioni 600 ambapo hadi sasa wamekusanya bilioni 500 tu.

Wakataja sababu kwamba ni kutokana na mizigo mingi bado haijapakuliwa ili ilipiwe.

Maelezo ya namna hii yana ukakasi. Ni vema Bunge likamuagiza CAG afanye ukaguzi maalumu.Kwa sababu tayari kuna fununu kuwa kuna ukwepaji wa ulipaji wa kodi mbalimbali katika bandari zetu.
Ndio maelezo ya kihuni wakishikwa pabaya. Mizigo imeongezekea matumboni kwao. Ni kawaida yao kila uwekezaji sahihi wa serikali ukianza mavuno kwa kuleta mapato kwa umma wajanja wanaingiza sekta binafsi kwa kisingizio watawekeza kumbe ni kuja kuvuna uwekezaji wa umma. Kuhusu umeme tanesco akihojiwa na radio moja kuna bwanyenye mmoja akitetea kwa nini licha ya mvua nyingi kujaza mabwawa bado kuna mgao kasema eti bado umeme hautoshi watu wamenunua sana pasi na mafriji😂😅...ona jinsi wanatufanya🇹🇿 hatuna akili😏
 
Back
Top Bottom