Kwa hii hoja, CHADEMA na Mbowe wamenisikitisha sana

BoyOfGod

JF-Expert Member
Jan 3, 2019
482
641
Habari wakuu!

Mimi ni kijana ambaye ni mzalendo na Mpenda kusimamia ukweli
Kiufupi sina chama chochote cha siasa ila nimekuwa anti-CCM kwa Muda mrefu isipokuwa kipindi cha magufuli(mambo mengi nilimwelewa)

Kiukweli maandamano ya chadema ni maandamano ya ambayo sijayaelewa maana hayana kichwa wala miguu.

Na moja kati ya hoja za hovyo zinazonifanya nisikitishwe na Chadema ni Hoja ya kuwa na Wabunge 740 badala ya Wabunge 360.

Mh. Mbowe ameonyesha dhahiri ulafi wa madaraka na kutanguliza maslai ya chama kuliko taifa

Nimefuatilia hotuba ya mbowe, Nimegundua unafki aliounyesha dhahiri alipodai Serikali ya CCM ni Serikali ya anasa, kwani hutumia Pesa hovyo hovyo kwenye mambo yasiyo ya msingi, anasema hayo huku wakiwa wametoa hoja ya kuongezwa kwa Wabunge (shame)

Kama haitoshi anakuja kusema Serikali ipunguze kodi(tozo) (shame again)

Chadema wameonyesha dhahiri kuwa sio watu wa Shukran , kwa hoja yao nyingine ya kutaka makonda afungwe Kwani ni mhalifu
Wanasahau huruma za Rais samia zilifanya mbowe afutiwe kesi
Wamekosa hata ubinadamu na fadhila huku wakijinasibu na msemo wa uongo "NO HATE NO FEAR"
Kwani Rais Samia angeamua kumuacha mbowe ndani aseme Mimi sihusiki kwenye kesi ya kipindi cha Mwendazake angekuwa wapi.

Kitu nilichokiona ni kwamba, Chadema hawajali maslai ya taifa hili hata kidogo isipokuwa matumbo yao
Wanajua kuwa wakiendelea kukaa kwenye maridhiano watakosa nguvu ya kuipinga CCM hata kama kinachofanywa na CCM ni chema
Wameona nguvu yao ipo kwenye chuki na ugomvi
Inshort hawaeleweki wanataka nini
Ingekuwa heri kama wameunga mkono 100% maandamano ya akina Mwabukusi
Ila wao kwa jeuri yao na kupenda kunyenyekewa hawakusupport 100%

Nawaomba Sana chadema wafute hoja hii vinginevyo watapoteza kila kitu na
watapoteza Imani kwa watanzania

Kama mtu unajiamini una hoja za msingi za kupinga Kwanini ukatae mdahalo
Unaambiwa mdahalo unajibu huyo ni mhalifu Makonda kaeleza kuwa kati ya hoja 84 hoja 63 tayari zimefanyiwa kazi

Tuseme hizo zilizobaki ikiwepo na hiyo ya Wabunge ndio zinafanya waandamane??

Nimesikitika sana
 
Kiukweli maandamano ya chadema ni maandamano ya ambayo sijayaelewa maana hayana kichwa wala miguu
Na moja kati ya hoja za hovyo zinazonifanya nisikitishwe na Chadema ni Hoja ya kuwa na Wabunge 740 badala ya Wabunge 360

Unasikitika kwa sababu ya siasa?

Bure kabisa Wewe 😂
 
Kijana anayesikitishwa na maandamano ya amani! Cdm hawana muda wa mdahalo na huyo muhalifu Makonda. Hoja za cdm haziwezi kujibiwa na huyo muhalifu, yeye kama ana majibu ya madai ya cdm akafanye mdahalo na amtakaye Ili ajibu hoja za cdm, lakini sio wajibu wa cdm kumsafisha muhalifu. Ukitaka kumsaidia Makonda, weka hizo hoja 84 za cdm, kisha weka tick kwenye hizo hoja 63 unazosema zimefanyiwa kazi.

Kuhusu Mbowe kusamehewa na Rais, madaraka ya rais kikatiba ni kusamehe mfungwa, sio hizo tuhuma za kubambikiwa ndio mtake mtaji wa bei rahisi kuwa mna maridhiano. Rais alifuta kesi maana ushahidi uliokuwa unatolewa mahakani, ulidhihirisha kuwa vyombo vya Dola vinatumikia siasa chafu za kuwabambikizia wapinzani kesi. Uhalifu wa Makonda una ushahidi wote, lakini kwakuwa serekali/ccm ni sehemu ya wafaidika wa uhalifu wa Makonda, ni lazima wafiche ukweli.
 
Habari wakuu!

Mimi ni kijana ambaye ni mzalendo na Mpenda kusimamia ukweli
Kiufupi sina chama chochote cha siasa ila nimekuwa anti-CCM kwa Muda mrefu isipokuwa kipindi cha magufuli(mambo mengi nilimwelewa)

Kiukweli maandamano ya chadema ni maandamano ya ambayo sijayaelewa maana hayana kichwa wala miguu.

Na moja kati ya hoja za hovyo zinazonifanya nisikitishwe na Chadema ni Hoja ya kuwa na Wabunge 740 badala ya Wabunge 360.

Mh. Mbowe ameonyesha dhahiri ulafi wa madaraka na kutanguliza maslai ya chama kuliko taifa

Nimefuatilia hotuba ya mbowe, Nimegundua unafki aliounyesha dhahiri alipodai Serikali ya CCM ni Serikali ya anasa, kwani hutumia Pesa hovyo hovyo kwenye mambo yasiyo ya msingi, anasema hayo huku wakiwa wametoa hoja ya kuongezwa kwa Wabunge (shame)

Kama haitoshi anakuja kusema Serikali ipunguze kodi(tozo) (shame again)

Chadema wameonyesha dhahiri kuwa sio watu wa Shukran , kwa hoja yao nyingine ya kutaka makonda afungwe Kwani ni mhalifu
Wanasahau huruma za Rais samia zilifanya mbowe afutiwe kesi
Wamekosa hata ubinadamu na fadhila huku wakijinasibu na msemo wa uongo "NO HATE NO FEAR"
Kwani Rais Samia angeamua kumuacha mbowe ndani aseme Mimi sihusiki kwenye kesi ya kipindi cha Mwendazake angekuwa wapi.

Kitu nilichokiona ni kwamba, Chadema hawajali maslai ya taifa hili hata kidogo isipokuwa matumbo yao
Wanajua kuwa wakiendelea kukaa kwenye maridhiano watakosa nguvu ya kuipinga CCM hata kama kinachofanywa na CCM ni chema
Wameona nguvu yao ipo kwenye chuki na ugomvi
Inshort hawaeleweki wanataka nini
Ingekuwa heri kama wameunga mkono 100% maandamano ya akina Mwabukusi
Ila wao kwa jeuri yao na kupenda kunyenyekewa hawakusupport 100%

Nawaomba Sana chadema wafute hoja hii vinginevyo watapoteza kila kitu na
watapoteza Imani kwa watanzania

Kama mtu unajiamini una hoja za msingi za kupinga Kwanini ukatae mdahalo
Unaambiwa mdahalo unajibu huyo ni mhalifu Makonda kaeleza kuwa kati ya hoja 84 hoja 63 tayari zimefanyiwa kazi

Tuseme hizo zilizobaki ikiwepo na hiyo ya Wabunge ndio zinafanya waandamane??

Nimesikitika sana

Unajichanganya ewe chawa. Unasema huna chama halafu unadai wewe ni CCM . Jirekebishe kwanza kwenye Hilo.
 
Mwandishi utakuwa fomu for felia tena kama wa zamani utakuwa point 36....unapoteza muda kuandika utumbo wa mbwa wewe una ushahidi gani wa wabunge 740 wakati Sera ya chadema wabunge hawapaswi kuzidi 100.
 
Back
Top Bottom