Nimepata kusomea Ratiba ya Makonda mikoa 20, anapita barabara zenye lami tu? Kwenye barabara za maeneo yenye vumbi hakuna wanaccm?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,833
21,466
Huyu bwana ni msaani!

Anatumia Kodi na fedha za chama kupitia na gari Kila mkoa Kwa siku Moja!

Cha kunifurahisha Sasa , hapiti maeneo yenye matatizo mfano , maeneo ambayo hakuna maji, shule, barabara, umeme bali anapitia maeneo ya barabara kuu penye lami TU.

Cha kujiuliza huko kusiko na lami hakuna wanaccm?

Sasa makatibu wa ccm wa wilaya zote anakopita wanaanza kuomba michago ya kubeba watu kwenye malori kwenda kwenye barabara za lami kumsikiliza Makonda!

Ningesuauri Makonda aende vijijini amvako hataccm haipo ilishakufa, ili kufufuamatawi na mashina ya chama.
 
Tayari amepanda baiskeli, amepanda punda, amepanda Ngedere, amepanda Mbwa, vyote hivyo tayari vimepita Barabara ya vumbi.
 
Huyu bwana ni msaani!

Anatumia Kodi na fedha za chama kupitia na gari Kila mkoa Kwa siku Moja!

Cha kunifurahisha Sasa , hapiti maeneo yenye matatizo mfano , maeneo ambayo hakuna maji, shule, barabara, umeme bali anapitia maeneo ya barabara kuu penye lami TU.

Cha kujiuliza huko kusiko na lami hakuna wanaccm?

Sasa makatibu wa ccm wa wilaya zote anakopita wanaanza kuomba michago ya kubeba watu kwenye malori kwenda kwenye barabara za lami kumsikiliza Makonda!

Ningesuauri Makonda aende vijijini amvako hataccm haipo ilishakufa, ili kufufuamatawi na mashina ya chama.
Aingie ndani akapigwe mayai viza hali mbaya!
 
IMG_20211218_014906.jpg
 
Back
Top Bottom