Akina mama tokeni hadharani kupigania haki zenu

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
382
764
Kuna hoja imeibuliwa na CHADEMA kuwa kila Jimbo la Uchaguzi kuwe na Wabunge wawili yaani mmoja awe Mwanaume na mwingine awe Mwanamke.

Binafsi naona hii ni neema kwa akina mama na ile dhana ya uwakilishi ya 50/50 itakuwa imetimia. Akina Mama tokeni hadharani na mpigaie haki zenu.

Napingana kwa asilimia 100 na hoja iliyoletwa na Katibu Mwenezi wa CCM- Taifa kuhusu uwakilishi Bungeni.
 
Back
Top Bottom