Siasa za majitaka: Watanzania tumefika huku?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Iwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.

Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.

Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini.

Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya kutugawanya na kutuigiza kwenye machafuko.

=======================================

For English Audience

Whether it's a belief or being manipulated by politicians, it will remain a lack of self-awareness. Someone cannot utter such words in front of the surrounding community.

Tanzanians, let us reject such actions that divide us and lead us into turmoil. Where we are heading, is not conducive to the tranquility and peace of this nation.
 
Shida wenye hiyo Dini Wana inferiority sana,Kila kitu wanaonewa tu,Sisi Waislamu tunafanywa hivi,mara raisi muislamu n.k Katika Historia ya Ulimwengu huu Dini ndio zimemwaga damu za watu wengi kuliko chochote kile.Dini ni upumbavu.
 
Nakubaliana na wewe mzee
 
Iwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.

Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.

Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini.

Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya kutugawanya na kutuigiza kwenye machafuko.View attachment 2876039
Huyu ni mgonjwa maana CCM kuna wakristo pia, yaani akili zake anaona Samia ndio CCM nzima.....hakuna mwanachama mwingine.
 
=======

"Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka."
=======

Chini ni maneno yako👇
Mpumbafu na mjinga ni waliokuzalia kwenye mkesha wa mbio za mwenge

Wakati huo huo ARV kutoka kwa hao wazungu bado unazichangamkia kila uchao.

Ukiwa mvuta bangi jitahidi usiwe na maadui

Uvccm ndiyo wanaamini hivyo maana wana roho za kisheitwan

Jiwe alifuga wezi na wajinga kama wewe

Atajuaje huyo wakati ni Mhutu kaingia Tanzania mwaka 2015?

Hakuna mpumbavu na pimbi hapa jamvini kuliko wewe na mawazo ya karne ya 17

Hakuna mpumbavu kuliko wewe unaye ipenda ccm

Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.
....more to come
 
Kumbe wakati akina Tundu Lissu wanamwita Magufi dikteta Uchwara, wanampa tabu sana hadi wengine wakalimwa risasi na wengine kutiwa ndani basi kumbe Magu alikuwa mwislamu kimya kimya.

Chadema awamu zote toka wamekuwa chama kikubwa cha upinzani hawajawahi kupoa haijalishi nani yupo madarakani.

Magu alipata tabu sana kwa mashambulizi yao hadi akashindwa wavumilia
 
=======

"Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka."
=======

Chini ni maneno yako

....more to come
Haina mahusiano hii.
Fuatilia post zangu hazijawahi kudharau dini yoyote
 
Iwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.

Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.

Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini.

Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya kutugawanya na kutuigiza kwenye machafuko.View attachment 2876039

Kwann watu kama hawa wanapewa airtime?
Anaongea upumbav tu, nchi ni ya wote hii
 
Kumbe wakati akina Tundu Lissu wanamwita Magufi dikteta Uchwara, wanampa tabu sana hadi wengine wakalimwa risasi na wengine kutiwa ndani basi kumbe Magu alikuwa mwislamu kimya kimya.
Chadema awamu zote toka wamekuwa chama kikubwa cha upinzani hawajawahi kupoa haijalishi nani yupo madarakani.
Magu alipata tabu sana kwa mashambulizi yao hadi akashindwa wavumilia
Kwenye hili sioni kama ni sahihi kuingiza uchama.

Huyo mbwabwaji anatafuta kutuingiza ktk matatizo kisa udini
 
Iwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.

Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.

Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini.

Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya kutugawanya na kutuigiza kwenye machafuko.View attachment 2876039
Narrow minded fella!Anaegemea dini?😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom