UUbarikiwe Askofu Bagonza na Jenerali Ulimwengu

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,266
Reaction score
98,318
Hakika nyie ndiyo walimu wazuri sana kwa kizazi hiki kilichojawa na uchawa na uoga.

Mmekuwa ni nguzo muhimu sana kwenye jamii kwa kukemea maovu na kuwakemea watawala.

Hakika neno lenu ni faraja na tiba ya mioyo iliyo kata tamaa.
 
Hakika nyie ndiyo walimu wazuri sana kwa kizazi hiki kilichojawa na uchawa na uoga.

Mmekuwa ni nguzo muhimu sana kwenye jamii kwa kukemea maovu na kuwakemea watawala.

Hakika neno lenu ni faraja na tiba ya mioyo iliyo kata tamaa.View attachment 2876675
Lazima tukubaliane kwamba mkoa wa Kagera una vichwa muhimu sana!

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Hakika nyie ndiyo walimu wazuri sana kwa kizazi hiki kilichojawa na uchawa na uoga.

Mmekuwa ni nguzo muhimu sana kwenye jamii kwa kukemea maovu na kuwakemea watawala.

Hakika neno lenu ni faraja na tiba ya mioyo iliyo kata tamaa.View attachment 2876675
Hawa ni wazee ambao kwa Uwezo wa Mwenyezi Mungu hawana Muda wa kuishi zaidi ya miaka 20 kuanzia sasa

Ila vija ambao wako na matarajio ya kuishi miaka zaidi ya 50 wako bize na Mbususu, Simba na Yanga.
 
Duuh.. .kwa sasa ndivyo ilivyo.

Vyombo vikisema viweke mikono chini. Ccm haitadumu hata mwaka mmoja.
Hakika nyie ndiyo walimu wazuri sana kwa kizazi hiki kilichojawa na uchawa na uoga.

Mmekuwa ni nguzo muhimu sana kwenye jamii kwa kukemea maovu na kuwakemea watawala.

Hakika neno lenu ni faraja na tiba ya mioyo iliyo kata tamView attachment 2876675
 
Wosia wa Mwalimu J Nyerere usipowasikiliza wananchi........utatafuta mtu wa kukupangusa machozi.

JK tukitegemea vyombo vya dola iko siku ccm....
.
 
Back
Top Bottom