Tanzania yapongezwa kwa kuisaidia Afrika Kusini Kupata Uhuru wake na kuwa Taifa Jasiri Duniani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,109
Baadhi ya Waandamanaji wanaounga mkono Palestine huko Mahakama ya Kimataifa ICJ wameipongeza Tanzania kwa kuisaidia Africa Kusini Kupata Uhuru wake

Waandamanaji hao kutoka sehemu mbalimbali duniani wamesema Ujasiri unaooneshwa leo na Africa Kusini ni matunda ya malezi bora iliyopata kutoka nchi mlezi Tanzania

RIP Mwalimu Nyerere
 
Source, Nyaraka za sauti,picha na video ziko wapi?
 
RIP Mwalimu Nyerere
.
20231014_220325.jpg
 
Baadhi ya Waandamanaji wanaounga mkono Palestine huko Mahakama ya Kimataifa ICJ wameipongeza Tanzania kwa kuisaidia Africa Kusini Kupata Uhuru wake

Waandamanaji hao kutoka sehemu mbalimbali duniani wamesema Ujasiri unaooneshwa leo na Africa Kusini ni matunda ya malezi bora iliyopata kutoka nchi mlezi Tanzania

RIP Mwalimu Nyerere
Limefanya raia wa nchi nyingine kuwa "majasiri" lakini likawafanya wa kwake kuwa "waoga"
 
Lile babu jinga sana lilikua dikteta uchwara
Tulipokua machalii tulidanganywa tukaamini ni shujaa mpaka nikalia alipodanji 99
Tulipopata akili vizuri tukajua ukweli tukagundua ni hovyo tupu hafai.
Mazuri yake machache mabaya mengi tena due to ubishi umuch know na makusudi.
 
Hapana mkuu nakataa mazuri mengi mabaya machache, unvyoona tunaishi pamoja kwa dini tofauti na kabila tofauti ni matunda yake na hakuwahi kujilimbikizia mali kama viongozi wengi wa africa, alikuwa anaipenda nchi na siyo mbinafsi
 
Lile babu jinga sana lilikua dikteta uchwara
Tulipokua machalii tulidanganywa tukaamini ni shujaa mpaka nikalia alipodanji 99
Tulipopata akili vizuri tukajua ukweli tukagundua ni hovyo tupu hafai.
Mazuri yake machache mabaya mengi tena due to ubishi umuch know na makusudi.
 
Baadhi ya Waandamanaji wanaounga mkono Palestine huko Mahakama ya Kimataifa ICJ wameipongeza Tanzania kwa kuisaidia Africa Kusini Kupata Uhuru wake

Waandamanaji hao kutoka sehemu mbalimbali duniani wamesema Ujasiri unaooneshwa leo na Africa Kusini ni matunda ya malezi bora iliyopata kutoka nchi mlezi Tanzania

RIP Mwalimu Nyerere
tulifanya makosa sana kuwasaidia, wale majamaa walipaswa waendelee kuwa chini ya mzungu hadi sasaivi. yana roho mbaya, mavivu na hayana shukrani. walipokuwa wanachoma moto wageni hata watanzania walikuwepo. juzi hapa walipochoma jengo la wageni na kusingizia ni ajali ya moto wamesahau yote hayo. ukitaka kuyajua haya majamaa uliza mtu yeyote anayeishi souz. ndio maana makaburu waliamua kuwa wakatili dhidi yao kwasababu ya akili zao finyu. ni waafrika tofauti kabisa na waafrika wengine.
 
Hapana mkuu nakataa mazuri mengi mabaya machache, unvyoona tunaishi pamoja kwa dini tofauti na kabila tofauti ni matunda yake na hakuwahi kujilimbikizia mali kama viongozi wengi wa africa, alikuwa anaipenda nchi na siyo mbinafsi
Wewe kumbe hujui kitu. Waliotufanya hizo mambo waasisi wake ni wajerumani licha ya kufanya kwa maslahi yao ikaleta uchanya na kwa sisi kwa sisi. Na waingereza wakaiendeleza. Yeye kayakuta hayo. Historia ya tz ni ya mchongomchongo mambo mengi na wengi wananasa vile hatupatani na kitu inaitwa kitabu
Kwanza maandiko ya historia za kweli ziko kwa waingereza na watz waliokimbia utawala wa huyo kizee. Sasa picha linaanza hizo publications ziko kwa Kiingereza tena nyingi ile Kiingereza konki. Mbongo aguse thubutuuu!!

ka babu ka hovyo kale hizo zingine ni hadaa tu. ni traits za madikteta kuwa na hadaa. By the way huenda ilikua ni moja ya sifa yake ya kuzaliwa kutopenda kujilmbikizia mali. Hata mimi nipo hivyo sina tamaa na kujilimbikizia mali. Kwangu kuwa na substantial income na familia ndogo sana ndio hitaji langu kuu. Sina makuu na mali hata nikiwa na position ya "kupiga" kwangu naona kama mzigo kuwa muda wote standby kubanwa muda kwa kusimamia mamiradi sijui mali naiona kama karaha tu.
 
Back
Top Bottom