Mkitoka madarakani, say Chadema ikaongoza na ku-maintain sheria hizi hizi za uchaguzi, mtakubali kuingia kwenye uchaguzi na kutegenea kushinda?
Pili yakitokea ya 2019 na 2020 ya kuenguliwa na...
•Yasema MR CLEAN ni Waziri Bora wa fedha afrika.
•Facts hizi za kichumi zimembeba.
Shirika la fedha la kimataifa IMF limemtaja Waziri wa Fedha wa Tanzania Mhe Dkt Mwigulu Nchemba (ambaye...
Wapiga kura huu ndio ujumbe wenu kutoka Kwa Rais kipenzi chenu ambae anawajali
==
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi kupima viongozi kwa vitendo...
Wakati zikiwa zimesalia siku sita kabla ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufanya maandamano, vyama vya ACT Wazalendo, CUF, NCCR Mageuzi, AAFP, ADC na Demokrasia Makini vimesema...
Mnyonge katika nchi yoyote ile ni raia ambae ili apate haki zake lazima asaidiwe kwa nguvu ziada. Hapa nazungumzia haki za kupata huduma za jamii, haki za kisheria na hata tendo la ndoa...
Friends and Enemies,
Baada ya mkutano wa berlin mwaka 1884/85,and after scramble and partition of Africa uzalendo wetu ulichukuliwa kutoka kwa mababu zetu kwa lazima na hatimae uhuru na nguvu zao...
Nawasalimu Kwa jina la JMT
Mwaka 2014, Profesa Palamagamba Kabudi, aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, alisema kuwa kuna watu wawili duniani: wapumbavu na wajinga. Wapumbavu ni wale...
Akiwa kwenye mahojiano na mwandishi wa waandishi wa habari, Askofu Mwamakula amesema anafananisha mazungumzo ya CCM na CHADEMA kama wapenzi walioingia kwenye mahusiano bila kufata utaratibu, sasa...
Salaam ,shalom!!
Ni Kweli homa ya Uchaguzi imepanda, wengine wameanza kuacha kuongoza vyama na kukimbilia kuanza maandalizi ya kugombea ubunge nk nk.
Wananchi hatufurahii urafiki kati ya chama...
Hizi ni Njia Zitumikazo na Serikali Mbalimbali Duniani Kuzuia Mapinduzi na Kupunguza Hasira za Wanajeshi.
Imagine kila siku unaamka asubuhi unakwenda kazini na kulipwa mshahara. Fikiria kwamba...
Kuteuliwa kwa Dr. Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa chama ni turufu kubwa sana, chama kimerudi mikononi mwa wenyenacho, wenye uchungu nacho, ambao hawategemewi kuezua nyasi ili nyumba ivuje.
Mtu mwenye...
Hashimu Rungwe atoa maoni yake kuhusu maandamano ya CHADEMA, asema ni haki ya dunia nzima kufanya maandamano ikiwa kuna mambo wanaona hayaendi sawa.
Katiba ya nchi inaviwezesha vyama dunia...
Wahenga walisema ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya cha ajabu mpaka leo upinzani haujambatiza Samia jina lolote baya sio fisadi, sio dikteta yaani Mama ana enjoy tu. Je watamshindaje sasa? Wao...
Rais Samia, amekitaka chama chake kuweka mchujo kwa wawakilishi ili ambao wamekuwa hawafanyi vizuri kwa wananchi, wapigwe chini.
Kwenye hili nampongeza sana, hii itawafanya wabunge wetu wafanye...
Takriban theluthi mbili ya nchi duniani zimekusanyika Jijini Kampala, Uganda kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) wenye nchi...
Tundu Lissu ni mmoja wa Watanzania waliofika Ivory Cost kwa gharama zao binafsi kuishangilia timu ya Taifa.
Hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyetumia fedha zake binafsi kwenda kuiunga mkono timu...
Nimekaa nikavuta kumbukumbu na kuona kuwa pamoja na kuishi Sana Tanzania sijapata kusikia mwanamke akiteuliwa kuongoza mkoa wowote Kati ya hii.
1. Mbeya
2. Mwanza
3...
4.....
Hivi ni Kwa nini...
Ndugu zangu nawasabahi. Nimekuwa nafuatilia sana Siasa za Nchi hii na Vyama vyake.
Juzi tumevisikia VYAMA 15 na ACT WAZALENDO kikiwemo Kupinga MAANDAMANO ya AMANI yanayotarajiwa kufanywa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.