Kama itapendeza Chaguzi zote zisogezwe mbele kwa muda wa miaka miwili na Rais aendelee kutawala na kumpa muda wa kuandikwa kwa Katiba Mpya ili uchaguzi uwe huru na wa haki.
Mambo yote yanayobishaniwa mfano Rais kumchagua Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Rais kumteua Mkurugenzi wa Uchaguzi, watumishi wa Serikali kusimamia uchaguzi mambo haya yarekebishwe na tukirudi kwenye uchaguzi mambo yote yatakuwa yamerekebika.
Nawasilisha.