Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Moja ya kosa kubwa lililo fanyika Tanzania toka utawala wa awamu ya kwanza ni kushindwa kupambana na udini. Kilichofanyika wakati wa Nyerere na sasa ni kupambana na udini kwa kutengeneza udini wa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Na Thadei Ole Mushi Miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu wenyewe. Migodi tumeitoa kwa Wazungu, Misitu tumeitoa kwa Mwarabu, Posta tumeitoa kwa Mwarabu, Misitu tumeitoa...
27 Reactions
98 Replies
10K Views
My Take Sina shaka na mualiko ila Sasa Nina wasiwasi na tabia za Papa kuhusu masuala ya 🌈 https://www.instagram.com/p/C2XF0DDNYey/?igsh=dDgzcm5kOGh6Z3Bw
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Yaani sahv Tanzania mambo yote ya hovyo yamerudi Serikali isiyojali Utawala wa wenye nchi na wala nchi Viongozi wasiojali tena na wasio na hofu ya Mungu Serikali isiyojali wananchi Rushwa...
16 Reactions
33 Replies
3K Views
RC, hana mamlaka ya kutoa AMRI kwa JWTZ. Kanuni za jeshi zinamtaka yeye (RC) kufanya maombi kwa fomu maalum kwa Waziri wa Ulinzi ili jeshi lije uraiani. Lakini, kuna masharti, kabla ya kupeleka...
0 Reactions
1 Replies
695 Views
Sio siri tena hali ya mtaani inazidi kuwa tete kwa wananchi na kama haitoshi hawaoni yeyote akiwatetea,zaidi ya kuwapendelea matajiri.Mifano wanayotoa ni:- 1. Bei za nauli zinapanda bila kujali...
0 Reactions
2 Replies
677 Views
Mara nyingi watawala sehemu nyingi duniani hujificha katika kupanda kwa bei ya mafuta kama sababu za mfumuko wa bei nchini mwao lakini kwa sasa mafuta hayajapanda bei duniani kwa muda mrefu ila...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Siku hizi, baadhi ya wanaCCM wajinga wamekuwa wakiangamiza CCM, huku wenyewe wakiamini wanaisaidia. Siku hizi, mara nyingi mtu akiongelea haki au demokrasia, wanaCCM hao wajinga utawasikia...
7 Reactions
5 Replies
837 Views
Ndugu zangu habari za leo. Imefahamika hivi sasa kila anayetetea haki na amani ndani ya Nchi hii anaonekana kwenye jamii kama vile ni Mwana chadema. Hii inatokana na Chama hicho kuwa na...
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Mwandishi: Kusaidia kwenye hii janga, sijui ungependa kutuambiaje? Gwajima: Kwanza hii hali ni hali ya kusikitisha sana, ni hali ya hatari, mbaya na hali ya kuhuzunisha kwelikweli na mimi hata...
14 Reactions
87 Replies
12K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa...
2 Reactions
129 Replies
9K Views
@rosemuhandoofficial5676 3 hours ago Dada mbona hueleweki ! Badala ya kujenga hoja ya kumjenga Rais wewe unafanya bef, nini Sasa umeongea hapo mbele ya kamera,kumbuka Kuna watanzania tuna akili...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Kumekucha. Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya. Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa...
26 Reactions
302 Replies
80K Views
Jerry Slaa pamoja na mapungufu yake kisiasa hasa kulaumiwa kwa ubovu wa Barabara za Kivule na Gongo la Mboto kitu ambacho kinahitaji bajeti kubwa na inatoka kwenye wizara na ni nje ya uwezo wake...
0 Reactions
2 Replies
738 Views
Inashangaza na kusikitisha kwamba Viongozi wa Serikali wenye dhamana kuanzia Mawaziri Hadi Watendaji wa Vijiji Kushindwa kutatua Changamoto za Wananchi ambao wanawahudumia Kila siku badala yake...
2 Reactions
6 Replies
532 Views
Ni wakati mwongine tunashuhudia kauli za yule RC anayependa kumwaga damu akilielekeza Jeshi kufanya usafi jiji la Dar ambapo kwa mujibu wa kanuni na sheria Jeshi haliwezi kupokea amri kutoka kwa...
0 Reactions
0 Replies
406 Views
Nimewaza na kuona Kama Rais anahangika sana kubadilisha mawaziri, makatibu wakuu kiongozi, wakuu wa usalama wa Taifa, Ma IGP, Ma CDF, makatibu wakuu na sasa tunaona Makatibu wakuu wa CCM na Wenezi...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally, Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons." Kwa...
17 Reactions
89 Replies
4K Views
Kwa wapanga mikakati wa ccm,fanyeni kumtumia Makonda na Jokate Mwegelo kuleta upili wa Nape na Kinana enzi zile,lazima Wapinzani wapoteane. Mkiweza mnaweza muongeza Fakii Lukandala akawa na...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
hali si hali ni mbaya kuliko wakati wowote ule, hii itakuwa ni moto mkali, sisi wengine tutatoa tu pole kwa majeruhi, mkataba haubadilishwi kiraihisi, kuna watu hii dunia hawaielewi, wanafikiri...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…