Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,400
Kwa hakika nimesikiliza mchango wa mbunge Upendo Peneza leo bungeni, nakiri kuwa ni moja wa wadada wabunge na vijana wenye uwezo mkubwa sana. Ameongelea ambo mengi sana kuhusu Matumizi ya Service Levy ya migodi mkaoni Geita, usawa kwa wanawake, bunge live, unafuu wa maisha ya serikali iliyopita na mengine mengi