Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?

sweya lugendo

Member
Dec 7, 2013
56
22
Mara ya kwanza kumwona na kumsikiliza live ilikuwa Kakola Kahama,mara ya pili juzi Nyang'hwale,nimemsoma akiwa Uganda na aliyekuwa kiongozi mathubuti wa chama pinzani Besigye na kwenye mijadala kadhaa ya gesi akitokea Norway.

Ni kijana binti mdogo mwenye uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja za kitaifa na kimataifa,huwezi kumsikiliza usimpongeze vinginevyo uwe na wivu uliopitiliza mno.

Naomba achukue fomu ya uongozi wa juu kabisa wa Bavicha taifa na asiogope vitisho na mbwembwe za wengine, vijana wenzake wamuunge mkono maana kakamilika.

Nawasilisha kama kuna mwenye kumfahamu zaidi amwagike.
 
Sina hofu na chadema,ni chama pekee ambako vijana wanathamiwa sana bila shaka watamwona japo mamluki nao wanavizia vizia
 
Kama ndo yule wa maisha plus basi uraia wake una utata utakuja kumsumbua mbeleni. Kwa kifupi ni mnyarwanda kama huamini fuatilia post zake nyingi fb.
 
Fomu zipo wazi kila mwenye sifa na kamanda wa kweli asiye na element za uchumia tumbo anakaribishwa na ni haki yake kutuongoza sisi vijana wenzake kupitia CDM!
 
Tusiogope vijana au viongozi wapya kuingia kwenye chama kwa hofu kubwa ya mamluki.Najuwa tahadhari kubwa inatakiwa,kumbukeni Marekani bila kufungua Milango kwa wahamiaji isingekuwa hapo ilipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom