Rais Samia: Vijana wa Tanzania wanaojiunga na makundi ya Kigaidi nchi za nje wanatoa taswira mbaya kwa nchi yetu!

Badoo mama ujasemaaa kuhusu vijana yaan mpk usemee ,
Na jana umesema vijana hawataki kuoaa ingali ugumu wa maishà unatuandama ..

Vijana ndio wenye maamuzi yakumweka madarakan wamtakae ,sema Kwa Tz yetu police ndio wenyewe nguvu zaidi na jeshi vingivyo hustaili hicho kiti mama ..
 
Rais Samia amesema Vijana wanaojiunga na makundi ya Kigaidi nchi za nje wanatoa taswira mbaya kwa nchi yetu hivyo ni lazima wadhibitiwe

Rais amesema haipendezi kusikia kuna Vijana wa kitanzania kwenye vikosi vya Magaidi huko Duniani

Mungu wa Mbinguni mbariki Rais Samia
Siasa zenu CCM za kifashist ndiyo zinawakimbiza. Imagine hapo ameliagiza JW liwashughulikie wapinzani wakati wa uchaguzi halafu anatafuta mchawi.
 
Rais Samia amesema Vijana wanaojiunga na makundi ya Kigaidi nchi za nje wanatoa taswira mbaya kwa nchi yetu hivyo ni lazima wadhibitiwe

Rais amesema haipendezi kusikia kuna Vijana wa kitanzania kwenye vikosi vya Magaidi huko Duniani

Mungu wa Mbinguni mbariki Rais Samia
"Ugaidi na ujambazi " Unaofanywa na ccm, ni mbaya zaidi kuliko huo wa magaidi wa duniani
 
Rais Samia amesema Vijana wanaojiunga na makundi ya Kigaidi nchi za nje wanatoa taswira mbaya kwa nchi yetu hivyo ni lazima wadhibitiwe

Rais amesema haipendezi kusikia kuna Vijana wa kitanzania kwenye vikosi vya Magaidi huko Duniani

Mungu wa Mbinguni mbariki Rais Samia
Ni vema haya maneno angeyatoa kwenye hotuba yake siku ya Idd. Maana bila kuzunguka, hao vijana wote wanaoenda huko kwenye ugaidi ni wale walioharibifu na mafundisho haramu ya dini ya kiislam kupitia wakufunzi haramu wanaolelewa na dini ya Kiislam.

Dini ya kiislam Duniani kote ijiondoe kwenye mnyororo unaowaunganisha na ugaidi. Kwa nini magaidi wote wawe na majina ya akina Muddy, Nassoro, Ahmed, Abrahaman, Hassan, n.k. Sidhani kama inatokea kwa bahati mbaya. Lazima kuna mafundisho katika uislam ambayo hayapo sawa.
 
CDF alisema Uislam ?
 
Rais Samia amesema Vijana wanaojiunga na makundi ya Kigaidi nchi za nje wanatoa taswira mbaya kwa nchi yetu hivyo ni lazima wadhibitiwe

Rais amesema haipendezi kusikia kuna Vijana wa kitanzania kwenye vikosi vya Magaidi huko Duniani

Mungu wa Mbinguni mbariki Rais Samia
Kwa mfano, IDF- Israel.
 
Hizo ajira wamejaza watoto wao jamaa wanakwenda kusaka fursa.

Kijana anashinda kijiweni kuanzia asubuhi mpaka ijioni ni rahisi kurubuniwa.
 
Rais Samia amesema Vijana wanaojiunga na makundi ya Kigaidi nchi za nje wanatoa taswira mbaya kwa nchi yetu hivyo ni lazima wadhibitiwe

Rais amesema haipendezi kusikia kuna Vijana wa kitanzania kwenye vikosi vya Magaidi huko Duniani

Mungu wa Mbinguni mbariki Rais Samia
Kama ajira ni za kujuana kwa ndugu na jamaa wa viongozi huku ajira ikiwa ni tatizo, ni lazima vijana wakatafute maisha kwingine.
 
CDF alisema Uislam ?

Kila kitu mpaka aseme mtu mwingine? Wewe huna akili, wala macho wala masikio?

Hata katika wale magaidi waliokuwa wa mkurunga na kibiti, uliwahi kuona jina la Thomaso au John? Kwa nini majina ya hao magaidi wote na hata majina ya wale vijana magaidi wanaotajwa kuwa miongoni mwa Alshabab huko wa kutoka Tanzania, majina yote ni akina Muddy, Abu, n.k?
 
Back
Top Bottom