Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA

Dr Emma John

JF-Expert Member
May 9, 2013
820
194
Ni kitu gani ambacho Peneza hana? Umewahi kumsoma Nziga aliyepata kutawala Ndogo na Matamba ambayo ni Angola ya leo? Ni mwanamke pekee ukanda wa Afrika aliyepigana na Mreno na kuiweka nchi yake huru.

Kuna Nzinga mwingine kazaliwa CHADEMA anaitwa Upendo na zifuatazo ni sifa zake:-

-Ni mgombea pekee wa kike kuwahi kujitokeza kuwania nafasi ya juu kabisa ya baraza la vijana CHADEMA na vyama vingine.

-Ni binti pekee au kijana pekee kwenye chama kushiriki operation zote za chama akiwa na umri mdogo wa 21 years kwa kutumia gharama zake mwenyewe kutoka kwa wazazi na wafadhili wengine mf.operation Sangara,M4C,OPD,na kushiriki karibu chaguzi ndogo zote.

-Maono yake juu ya baraza hili ni ya ki "mapinduzi zaidi"zaidi kwa maana ya kutaka kuli modernise zaidi.

-Ni msomi wa mambo ya jamii (bachelor)
Kama ilivyokuwa kwa Nzinga,upendo kakatishwa tamaa mara kadhaa,wengi kwa kuamini ukivaa suruali tuu wewe ni shujaa na kwamba ilimradi una sketi wewe huwezi.

Hii ni hazina kubwa kwa chama na taifa
 
Haya tumemuona na kumsoma wajumbe ndio wataamua.

Kila lakheri. Viva BAVICHA
 
Binafsi namkubali sana ila nadhan ana nafasi ya kujifunza mengi kutoka kwenye uongozi makini wa chadema....hata asipochaguliwa this time bado kuna bright future ahead of her
 
Ni kitu gani ambacho Peneza hana?umewahi kumsoma Nziga aliyepata kutawala Ndogo na Matamba ambayo ni Angola ya leo?ni mwanamke pekee ukanda wa Afrika aliyepigana na mreno na kuiweka nchi yake huru.

Kuna Nzinga mwingine kazaliwa CHADEMA anaitwa Upendo na zifuatazo ni sifa zake:-

-Ni mgombea pekee wa kike kuwahi kujitokeza kuwania nafasi ya juu kabisa ya baraza la vijana CHADEMA na vyama vingine.

-Ni binti pekee au kijana pekee kwenye chama kushiriki operation zote za chama akiwa na umri mdogo wa 21 years kwa kutumia gharama zake mwenyewe kutoka kwa wazazi na wafadhili wengine mf.operation Sangara,M4C,OPD,na kushiriki karibu chaguzi ndogo zote.

-Maono yake juu ya baraza hili ni ya ki "mapinduzi zaidi"zaidi kwa maana ya kutaka kuli modernise zaidi.

-Ni msomi wa mambo ya jamii (bachelor)
Kama ilivyokuwa kwa Nzinga,upendo kakatishwa tamaa mara kadhaa,wengi kwa kuamini ukivaa suruali tuu wewe ni shujaa na kwamba ilimradi una sketi wewe huwezi.

Hii ni hazina kubwa kwa chama na taifa

WAJUMBE WA MKUTANO MKUU
BAVICHA TAIFA 2014

Na;
Francis Boniface Marwa,
Mgombea wa nafasi ya
Mratibu wa Hamasa
BAVICHA Taifa

Awali ya yote, kwenu ninyi Waislam Asalaam Aleikum, hata pia kwenu ninyi Wakristo Bwana Yesu Asifiwe.

Poleni sana kwa maandalizi na hekaheka mlizonazo hivi sasa huko Mikoani zenye lengo la kuifanikisha Safari ya kwenda Dar Es Salaam kwa ajili ya kujumuika nasi pamoja katika tukio hili la kipekee na adimu sana linalotokea kila baada ya miaka mitano, tena miaka mitano ambayo ndani yake wanakuwemo washiriki wapya ama hata kwa kutegemea mapenzi yake mola, ni dhahiri wapo wanaoikosa fursa hii kutokana na kutangulia mbele ya haki ili kupumzika ahela, tukio ambalo ni la kuiandika historia ya Baraza letu na Chama kwa ujumla.

Kwa kuyasema hayo, nachukua fursa hii kwa niaba yenu nyote mliopo ndani ya Taasisi hii pendwa, ili kuwakumbuka mashujaa wetu wa Soweto Jijini Arusha, Mwandishi wetu Daudi Mwangosi kule Nyololo Iringa na wenzetu wote waliopoteza uhai wao kwa kuipigania, kuijenga, kuitetea na kuilinda CHADEMA kama Mboni ya Jicho.

Hata pia katika Siku hii ya kipekee tunayokwenda kujumuika pamoja, tunawiwa na roho ya huzuni na huruma kuu, kuwapeni pole na kuwatia moyo wa ushujaa ninyi nyote mliopata ulemavu wa maisha wakati wa harakati za kukipigania Chama hiki.

Baada ya maneno hayo machache yaliyogusa mioyo yetu, nipende kuzungumzia mambo mawili kama sio matatu kulingana na kadri nitakavyoweza,

Kwanza, kila mmoja wetu popote pale alipo, ambaye ni sehemu ya wapigakura ndani ya chaguzi hizi za Kitaifa ndani ya Chama, sio ndani ya Mabaraza ya Wazee, Bavicha na Bawacha au Chama kwa ujumla, unapaswa kutambua kuwa, tayari unayo dhamana kubwa ya kuifanya CHADEMA iwe Chama dola ndani ya Chaguzi zijazo, hata pia wewe unayo dhamana ya kuidhoofisha CHADEMA kutokana na Kura yako moja utakayoipiga Siku ya uchaguzi, pengine kwa kutofanya analysis nzuri kwa wagombea ama kwa kutoutambua umuhimu wako katika kuibadili CHADEMA ili iwe na Taswira ya utaifa na yenye nguvu.

Pili, tunapokwenda kupiga kura ili kuwapa ridhaa viongozi wa kuliongoza Baraza letu la Vijana, upo ulazima sana wa kutambua kuwa, tutalazimika kuwapa ridhaa watu mahili na wachapakazi watakaotuvusha katika kipindi hiki kigumu cha Chaguzi za Kitaifa ndani ya Serikali.

Watu hawa, upo ulazima wa kuijua historia yao katika utendaji kazi, tena utendaji kazi wenye u-serious ndani yake katika kukijenga, kukipigania, kukitangaza na kukilinda Chama hiki.

Hapa pia ni lazima tuwapime wagombea hawa, juu ya nini walichokifanya ndani ya maeneo wanayotokea, sio ngazi ya msingi, Tawi, Kata hata Jimbo pia.
Kwa sababu unaweza unajikuta unamchagua mtu kisa anaonekana kwenye magazeti na runingani kila wakati, na ukipima utendaji wake kiundani zaidi, wazi unagundua kwamba ni kutafuta umaarufu bila utendaji wenye maslahi kwenye Taasisi yetu.

Tunahitaji kuwa makini
sana ili tusije tukafanya kosa la kuwapoteza watu muhimu ndani Chama, wanaoonekana kukipigania Chama usiku na mchana tena kwa nguvu Kazi na rasrimali zao, kisha tukazuzuliwa na mtu, eti kisa ana kitambi kikubwa, ana gari/magari ya kifahari, ana fedha nyingi, anaonekana magazetini na runingani n.k.

Hakika hakuna kosa baya ambalo tunaweza kulijutia, endapo tutasahau jukumu lililoko mbele yetu, na kuwapa watu ridhaa kwa kigezo cha ukwasi wa fedha na magari, au kuonekana magazetini na runingani, bila kumpima mtu kutokana na matendo yake ndani ya Chama.
Kiuhalisia, kuna watu mpaka hivi sasa ni wagombea ndani ya Chama, lakini ni dhahiri pasi na shaka kuwa wamekaa tenge, nadhani mnanielewa vizuri.

Wapambanaji, huu ni wakati muhimu sana kwetu, kuhakikisha kwamba tunaendelea ku-scan virus zote zenye chembe chembe za unafiki na usaliti ndani ya Chama, ili Chama kiendelee kukua, kuimaarika na kibakie salama na chenye nguvu.

Ndugu zangu,
nimeyasema haya kwa sababu natambua kuna mamillioni kwa mamillioni ya wazalendo wa Taifa hili, waliopanga foleni na misururu nyuma ya migongo yetu, wakiomba msaada wa kufunguliwa pingu na minyororo waliyofungwa kwa hila, uongo na unafiki wa CCM na vibaraka wao TLP, UDP na hao viroboto wanaojiita ACT.

Taifa letu kwa hatua lilipofikia
hivi sasa, wanahitajika watu wenye misimamo isiyoyumbishwa na watawala, watu wasio na chembe chembe za unafiki na usaliti kama tunavyoona kwa baadhi ya wenzetu tulionao ndani ya Taasisi, tena watu ambao tulijitoa mhanga kuwapigania ili wapate fursa za kuendelea kukijenga Chama hiki, lakini wamejisahau baada ya kupata fursa hizo, cha ajabu, baadhi yao tena wanaomba fursa ya kuchaguliwa tena katika nafasi zingine, licha ya kwamba wanatambua kuwa hawajafanya lolote ndani ya Taasisi hii, unafiki wa namna hii, huwa naufananisha na dharau iliyopita kiasi, na ifike mahala, tuseme hapana kidemokrasia.

Mwisho niwashukuru sana,
wale wote mliokilea na kukilinda Chama hiki kama mtoto mchanga, hususani pale tulipokumbana na upepo mkali wa dhoruba, hakika mlisimama kidete, na hakuna aliyedhubutu kutetereka, isipokuwa baada ya upepo ule mbaya uliokuwa na vumbi jingi kupita, naona mlijipangusa nyuso zenu uli kuondoa vumbi machoni, na tukaendelea na Safari ya kuitafuta Nchi yetu ya ahadi.

Niishukuru Kamati tendaji ya BAVICHA Taifa kwa nzuri na ya mfani wa kuigwa iliyofanya kwa kipindi hicho chote mpaka leo.
Tunaamini kwa wale tutakaobahatika kuwapokea mikoba yenu kwa ridhaa ya wajumbe wa Mkutano Mkuu, hakika tunaendeleza jahazi hili kwa kuanza na hapa mlipofia leo.

Tunawaahidi hatutawaangusha, bali tutaendelea kuwajaza matumaini ya ukombozi ulioko mbele yetu kwa vitendo bila kumung'unya maneno na wala hatutakuwa na muda wa kuwaonea haya wale wote watakaokuwa na malengo ya kutaka kukidhuru Chama hiki.

Francis Boniface Marwa,
Mgombea
Mratibu wa Hamasa
BAVICHA Taifa
0785881009/0767881009
04/09/2014.
*******************

Ahsanteni sana!
 
Hata Reginald mengi amemfagilia na ametweet
"@regmengi: Watching young woman Upendo Furaha Peneza speak on ITV. I salute her!! She is incredibly intelligent and informed. She is my young hero"
 
Reginald Mengi ana kura ya veto????????
 
Ni kitu gani ambacho Peneza hana? Umewahi kumsoma Nziga aliyepata kutawala Ndogo na Matamba ambayo ni Angola ya leo? Ni mwanamke pekee ukanda wa Afrika aliyepigana na Mreno na kuiweka nchi yake huru.

Kuna Nzinga mwingine kazaliwa CHADEMA anaitwa Upendo na zifuatazo ni sifa zake:-

-Ni mgombea pekee wa kike kuwahi kujitokeza kuwania nafasi ya juu kabisa ya baraza la vijana CHADEMA na vyama vingine.

-Ni binti pekee au kijana pekee kwenye chama kushiriki operation zote za chama akiwa na umri mdogo wa 21 years kwa kutumia gharama zake mwenyewe kutoka kwa wazazi na wafadhili wengine mf.operation Sangara,M4C,OPD,na kushiriki karibu chaguzi ndogo zote.

-Maono yake juu ya baraza hili ni ya ki "mapinduzi zaidi"zaidi kwa maana ya kutaka kuli modernise zaidi.

-Ni msomi wa mambo ya jamii (bachelor)
Kama ilivyokuwa kwa Nzinga,upendo kakatishwa tamaa mara kadhaa,wengi kwa kuamini ukivaa suruali tuu wewe ni shujaa na kwamba ilimradi una sketi wewe huwezi.

Hii ni hazina kubwa kwa chama na taifa
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.

Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.

P
 
Ni kitu gani ambacho Peneza hana? Umewahi kumsoma Nziga aliyepata kutawala Ndogo na Matamba ambayo ni Angola ya leo? Ni mwanamke pekee ukanda wa Afrika aliyepigana na Mreno na kuiweka nchi yake huru.

Kuna Nzinga mwingine kazaliwa CHADEMA anaitwa Upendo na zifuatazo ni sifa zake:-

-Ni mgombea pekee wa kike kuwahi kujitokeza kuwania nafasi ya juu kabisa ya baraza la vijana CHADEMA na vyama vingine.

-Ni binti pekee au kijana pekee kwenye chama kushiriki operation zote za chama akiwa na umri mdogo wa 21 years kwa kutumia gharama zake mwenyewe kutoka kwa wazazi na wafadhili wengine mf.operation Sangara,M4C,OPD,na kushiriki karibu chaguzi ndogo zote.

-Maono yake juu ya baraza hili ni ya ki "mapinduzi zaidi"zaidi kwa maana ya kutaka kuli modernise zaidi.

-Ni msomi wa mambo ya jamii (bachelor)
Kama ilivyokuwa kwa Nzinga,upendo kakatishwa tamaa mara kadhaa,wengi kwa kuamini ukivaa suruali tuu wewe ni shujaa na kwamba ilimradi una sketi wewe huwezi.

Hii ni hazina kubwa kwa chama na taifa
Ni kijana binti mdogo mwenye uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja za kitaifa na kimataifa,huwezi kumsikiliza usimpongeze vinginevyo uwe na wivu uliopitiliza mno.
Nawasilisha kama kuna mwenye kumfahamu zaidi amwagike.
Mkuu sweya lugendo, naunga mkono hoja, CHADEMA kususia kuteua EALA ni strength au ni udhaifu wa ubinafsi?, nimependekeza huyu binti asimamishwe na Chadema, EALA!. Mnaonaje?
Kwa wasio mfahamu, kumfahamu zaidi na anasimamia nini, karibuni mitaa hii
Ref: Mnaweza kumsoma Upendo Furaha Peneza humu
  1. Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte
  2. Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?
  3. Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA
  4. Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda
  5. Upendo Peneza leo Bungeni; Huyu Dada ana uwezo mkubwa sana
  6. Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA na Sabodo
  7. Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia watu wake. Praise be to God!
  8. Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)
  9. Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa
  10. Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!
  11. Mheshimiwa Upendo Peneza asisitiza amani akiwa ziarani na Waziri Mkuu
  12. Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana
  13. Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!
P
 
Mzee wangu kwanza nikiri wazi kabisa miongoni mwa watu walio nifanya nijiunge jf ni Wewe na nipende kukupongeza kwa juhudi zako kubwa za kuhimiza uzalendo kwa kutanguliza maslahi ya taifa mbele ,binafsi nina jambo moja kwa Sasa mzee wangu wewe ni mwanachama wa chama Cha mapinduzi hivyo huwezi kuwa mshauri wa CDM katika mambo yao ya ndani abadani ushauri wako hakuna ambaye atausikia na kuufanyia kazi ni bora nguvu zako uzipeleke kushauri chama chako ili kiitoe Tanzania kwenye jenga la umasikini.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Kinkunti El Perdedo , karibu mitaa hii Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!
P
 
Ni kitu gani ambacho Peneza hana? Umewahi kumsoma Nziga aliyepata kutawala Ndogo na Matamba ambayo ni Angola ya leo? Ni mwanamke pekee ukanda wa Afrika aliyepigana na Mreno na kuiweka nchi yake huru.

Kuna Nzinga mwingine kazaliwa CHADEMA anaitwa Upendo na zifuatazo ni sifa zake:-

-Ni mgombea pekee wa kike kuwahi kujitokeza kuwania nafasi ya juu kabisa ya baraza la vijana CHADEMA na vyama vingine.

-Ni binti pekee au kijana pekee kwenye chama kushiriki operation zote za chama akiwa na umri mdogo wa 21 years kwa kutumia gharama zake mwenyewe kutoka kwa wazazi na wafadhili wengine mf.operation Sangara,M4C,OPD,na kushiriki karibu chaguzi ndogo zote.

-Maono yake juu ya baraza hili ni ya ki "mapinduzi zaidi"zaidi kwa maana ya kutaka kuli modernise zaidi.

-Ni msomi wa mambo ya jamii (bachelor)
Kama ilivyokuwa kwa Nzinga,upendo kakatishwa tamaa mara kadhaa,wengi kwa kuamini ukivaa suruali tuu wewe ni shujaa na kwamba ilimradi una sketi wewe huwezi.

Hii ni hazina kubwa kwa chama na taifa
Chadema imekula hasara ya mwaka!, leo imempoteza huyu Malkia Mzinga Mbandi
Masikini Chadema...!, lost this Gold in the rough! .
View: https://youtu.be/aHJGqYKrX5U?si=uX9m2pe3OIrHIHTX,
Nimemsikiliza, nimeguswa!.

Kiukweli I was very right about this beautiful queen, young and very energetic lovely lady ambaye ni beauty with brain!.

Nilimfahamia Upendo Peneza kupitia kwa Regia Mtema (RIP) Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?

Angalieni niliwahi kusema nini kumhusu Upendo Furaha Peneza humu[/SIZE]
  1. Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte
  2. Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?
  3. Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA
  4. Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda
  5. Upendo Peneza leo Bungeni; Huyu Dada ana uwezo mkubwa sana
  6. Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA na Sabodo
  7. Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia watu wake. Praise be to God!
  8. Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)
  9. Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa
  10. Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!
  11. Mheshimiwa Upendo Peneza asisitiza amani akiwa ziarani na Waziri Mkuu
  12. Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana
  13. Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!

Nilikuja kumtafuta na nikaja kukutana nae View attachment 2879719
Hapo tulipokutana, yeye akiwa 20 something, mimi nilikuwa 50 something, nikiwa nimeisha oa na nina watoto 10!, hivyo sikuthubutu kumweleza lolote la moyoni mwangu, ila ningekuwa kijana... nakuapia... Haki ya ...!, nisinge kubali, .... naomba nisimalizie!.

Mungu ambariki sana Upendo Furaha Peneza!, hapa CCM imelamba dume!, naomba mimi ndio niwe mwana JF wa kwanza kuwatangazia Mbunge wa Geita 2025!.
P
 
Back
Top Bottom