Rais Samia ampigia simu Makonda amtaka achape kazi

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193

".....Nakufuatilia sana na upo Kilimanjaro. Habari za Machifu pia nimezisikia. Mwenezi chapa kazi na nipo nawe pamoja na Wananchi nipo pia nanyi kuwatumikia."

"...Endelea kutatua changamoto za Wananchi."

Rais Samia.

=========================
For English Audience

As Makonda was continuing with his tour, He phone calls President Samia and she said "I am closely following you and you are in Kilimanjaro. I have also heard about the Machifu. continue with the good work and I am with you alongside the citizens, I am also with you to serve them."

"...Continue to solve the challenges of the citizens."

President Samia.
 
".....nakufuatilia sana na upo Kilimanjaro. Habari za Machifu pia nimezisikia. Mwenezi chapa kazi na nipo nawe pamoja na Wananchi nipo pia nanyi kuwatumikia."

"...endelea kutatua changamoto za Wananchi."

Samia.
Uwongouwongo nyuma ya keyboard. Hatudanganyiki.
 
".....nakufuatilia sana na upo Kilimanjaro. Habari za Machifu pia nimezisikia. Mwenezi chapa kazi na nipo nawe pamoja na Wananchi nipo pia nanyi kuwatumikia."

"...endelea kutatua changamoto za Wananchi."

Samia.
Weka ushahidi Mkuu, kuna Thomaso wengi humu.
 
".....nakufuatilia sana na upo Kilimanjaro. Habari za Machifu pia nimezisikia. Mwenezi chapa kazi na nipo nawe pamoja na Wananchi nipo pia nanyi kuwatumikia."

"...endelea kutatua changamoto za Wananchi."

Samia.
Umeme na bei ya sukari vipi?
 
Aanze na TANESCO hii taasisi ni hovyo kabisa. Huku wilaya ya Bunda wanakata kata umeme. Wanaacha nusu saa wanakata tena zaidi ya mara kumi kwa siku. Mchezo ndio huo huo kutwa na usiku mzima. Bora waseme kuna mgao kuliko kuunguza vifaa vyetu
 
Huyu kijana ana nyota kali sana ya kuaminiwa na wakubwa zake,kila lililo jema kwako comredi Makonda
 
".....nakufuatilia sana na upo Kilimanjaro. Habari za Machifu pia nimezisikia. Mwenezi chapa kazi na nipo nawe pamoja na Wananchi nipo pia nanyi kuwatumikia."

"...endelea kutatua changamoto za Wananchi."

Samia.
Umepata ujumbe wa CDF kuhusu wewe na ndugu zako? Jiandaeni kurudi kwenu
 
".....nakufuatilia sana na upo Kilimanjaro. Habari za Machifu pia nimezisikia. Mwenezi chapa kazi na nipo nawe pamoja na Wananchi nipo pia nanyi kuwatumikia."

"...endelea kutatua changamoto za Wananchi."

Samia.
mwendo mdundo bila mbambanba, watanuna manyumbu :D
 
".....nakufuatilia sana na upo Kilimanjaro. Habari za Machifu pia nimezisikia. Mwenezi chapa kazi na nipo nawe pamoja na Wananchi nipo pia nanyi kuwatumikia."

"...endelea kutatua changamoto za Wananchi."

Samia.
Kadandia train .yeye si kashindwa. Kaona mwenzake anafanya kweli na anafanya hata Hana mamlaka ya kikatiba . Go makonda hata kama wanakutumia kuwasafishia njia fresh sisi tumekuona kuwa una kitu
 
Back
Top Bottom