comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 8,226
- 5,948
View: https://www.youtube.com/watch?v=0ws8xgGKvhw
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Utawala, Katiba na Sheria, Joseph Mhagama leo Januari 22, 2024 amezungumza na vyombo vya Habari ambapo ameeleza mchakato wa kupokea maoni ya wadau mbalimbali ya mswada wa sheria tatu zilizowasilishwa na Serikali mbele ya kamati hiyo ambapo sheria moja inayohusu uchaguzi ilifata wadau wengi vwaliojitokeza vikiwepo vyama vya siasa, asasi za kiraia na Taasisi zingine za dini.
Mwenyekiti huyo akitoa ufafanuzi amesema ameshangazwa na kauli ya viongozi wa chadema
kuwaambia Watanzania na wafuasi wao kuwataka kuingia barabarani kufanya maandamano kwa madai kuwa kamati hiyo imetupilia mbali hoja zao.