Chadema wakumbuke Uchaguzi ni Process kwahiyo Umeshaanza, lile agizo la Rais Samia kwa JWTZ utekelezaji ulianzia pale pale!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Tunakumbushana tu kuwa mchakato wa Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ndio Umeshaanza kwa Miswada ya marekebisho ya sheria za Uchaguzi kupelekwa bungeni

Hivyo basi agizo la Rais Samia kwa JWTZ kuhusu kusimamia Usalama kuelekea Uchaguzi utekelezaji wake unaendana na mchakato wote wa Uchaguzi hadi viongozi watakapoapishwa

Yawezekana Mwenyekiti wa Chadema alitangaza kukubaliwa maandamano kabla Rais hajakutana na Makamanda wa Vikosi vya JWTZ leo

Ni hilo tu

Mlale Unono !
 
Kataa CCM , kataa vyama vyote vya upinzani ambavyo vimeanzishwa chini ya CCM mana ndo vinarudisha taifa nyuma
 
Back
Top Bottom