Je, KKKT ni mpinzani mpya wa CHADEMA?

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,223
22,300
Ninashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine waandamizi wameongoza mashambulizi makali dhidi ya kanisa na kiongozi wake. Inasikitisha sana.

Nimejiuliza je, KKKT ndo mpinzani mpya wa CHADEMA badala ya CCM? CHADEMA haioni kama inapoteza muda kushambulia kanisa? Haijui kuwa kiongozi wa kiroho anasikilizwa zaidi na watu kuliko kiongozi wa kisiasa? Askofu Malasusa kwa sasa ndo kabeba dhamana ya kuongoza waumini wote wa KKKT Tanzania na hivyo kumshambulia yeye ni kulishambulia kanisa zima. Athari zinazoweza kujitokeza ni CHADEMA kuzidi kupoteza zaidi kura zake kutoka kwa waumini wa KKKT.

Ninawashauri CHADEMA waache mara moja mashambulizi dhidi ya Askofu Malasusa. Haina faida yoyote kisiasa.
 
Huyo ni afisa kipenyo na kada wa CCM
 
CHADEMA watajikuta wanakosana na kila taasisi na kujikuta wanabaki wanapuyanga wenyewe kama vichaa waliolaaniwa. CHADEMA ni lazima ujuwe kuwa kwa sasa hakuna anayeweza kuwaunga mkono kwa matusi na lugha chafu wanazowatupia viongozi wetu bila sababu. Vita wanayotaka kupigana na kanisa kwa hakika CHADEMA hawatafanikiwa zaidi ya kupata laana tu.
 
Ninashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine waandamizi wameongoza mashambulizi makali dhidi ya kanisa na kiongozi wake. Inasikitisha sana.

Nimejiuliza je, KKKT ndo mpinzani mpya wa CHADEMA badala ya CCM? CHADEMA haioni kama inapoteza muda kushambulia kanisa? Haijui kuwa kiongozi wa kiroho anasikilizwa zaidi na watu kuliko kiongozi wa kisiasa? Askofu Malasusa kwa sasa ndo kabeba dhamana ya kuongoza waumini wote wa KKKT Tanzania na hivyo kumshambulia yeye ni kulishambulia kanisa zima. Athari zinazoweza kujitokeza ni CHADEMA kuzidi kupoteza zaidi kura zake kutoka kwa waumini wa KKKT.

Ninawashauri CHADEMA waache mara moja mashambulizi dhidi ya Askofu Malasusa. Haina faida yoyote kisiasa.
Ukisema hivyo ina maanisha KKKT wote ni mabumunda? Not at all, hili ni bumunda linajitegemea na si Walutheli wote. Kuna ukweli ulio wazi, mwenye akili ataukiri! KAMA HAKUNA HAKI HAPAWEZI KUWA NA AMANI. MALASUSA ILIBIDI AIKUMBUSHE SERIKALI KUENDA HAKI, KUSIKILIZA MAONI YA WATANZANIA AMBAO NDIO WENYE NCHI. yeye analeta uchawa
 
Dk. Shoo alii-annex KKKT ikawa tawi la chadema, Kitima na yeye anapambana kuifanya TEC iwe tawi la Chadema kama ilivyo Ba-VICHAA na Bawacha
Kati ya taasisi zisizo kuwa na hoja ni vijana wa Ccm.
Kunamatatizo sana ya kujenga hoja kwenye hii taasisi.
Wanacho jua ni kuandika ugoro kupata buku tano.
Wakristo tuki amua kukiweka chama chochote madarakani bila kusikiliza maelekezo yab viongozi tuna uwezohuo.
Hapa tujadiliane siasa tuweke mambo ya imani pembeni.
 
Ninashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine waandamizi wameongoza mashambulizi makali dhidi ya kanisa na kiongozi wake. Inasikitisha sana.

Nimejiuliza je, KKKT ndo mpinzani mpya wa CHADEMA badala ya CCM? CHADEMA haioni kama inapoteza muda kushambulia kanisa? Haijui kuwa kiongozi wa kiroho anasikilizwa zaidi na watu kuliko kiongozi wa kisiasa? Askofu Malasusa kwa sasa ndo kabeba dhamana ya kuongoza waumini wote wa KKKT Tanzania na hivyo kumshambulia yeye ni kulishambulia kanisa zima. Athari zinazoweza kujitokeza ni CHADEMA kuzidi kupoteza zaidi kura zake kutoka kwa waumini wa KKKT.

Ninawashauri CHADEMA waache mara moja mashambulizi dhidi ya Askofu Malasusa. Haina faida yoyote kisiasa.
KKKT ni tofauti na RC. Malasusa hawezi wala hatarajiwi kuwaamrisha waumini wa KKKT wawe na msimamo gani kisiasa. Hata msimamo kiimani hawezi kuwalazimisha waumini wa KKKT wabadilike. Ni tofauti na RC ambao mara kwa mara utasikia wametoa waraka ambao unakuwa mwongozo kwa RC wote. Au Papa akitoa waraka unakuwa ni kama mwongozo kwa wakatoliki wote. Kwa kanisa la kilutheri hiyo haipo. Waluteri wanafahamu kama ni kiimani kitakachowapeleka mbinguni ni uhusiano wa mtu binafsi na Mungu wake na wala sio alivyojitahidi kufuata waraka uliotolewa na viongozi wake kama Askofu Mkuu au Papa
 
Ninashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine waandamizi wameongoza mashambulizi makali dhidi ya kanisa na kiongozi wake. Inasikitisha sana.

Nimejiuliza je, KKKT ndo mpinzani mpya wa CHADEMA badala ya CCM? CHADEMA haioni kama inapoteza muda kushambulia kanisa? Haijui kuwa kiongozi wa kiroho anasikilizwa zaidi na watu kuliko kiongozi wa kisiasa? Askofu Malasusa kwa sasa ndo kabeba dhamana ya kuongoza waumini wote wa KKKT Tanzania na hivyo kumshambulia yeye ni kulishambulia kanisa zima. Athari zinazoweza kujitokeza ni CHADEMA kuzidi kupoteza zaidi kura zake kutoka kwa waumini wa KKKT.

Ninawashauri CHADEMA waache mara moja mashambulizi dhidi ya Askofu Malasusa. Haina faida yoyote kisiasa.
Umejuaje kama ni wanachadema? Wana lebel maalum katika IDs zao?
 
Haijui kuwa kiongozi wa kiroho anasikilizwa zaidi na watu kuliko kiongozi wa kisiasa
Kwahiyo kiongozi wa dini akisema 1+1=3 tutamsikiliza kwa vile ni kiongozi wa dini? Uchawa ni kitu kibaya, you should reason out! Kiongozi wa dini atasikilizwa na mabumunda, wenye akili kama Lema hawatamsikiliza akiongea ujinga kama malasusa
 
Kwaweli KKKT wajiangalie sana wasijekufanywa kama BAKWATA na CCM Viongozi wa BAKWATA wamefanywa kuwa ni Wazee wa Bahasha za Khaki na Ubwabwa wenye kunukia viungo.
 
Kati ya taasisi zisizo kuwa na hoja ni vijana wa Ccm.
Kun matatizo sana ya kujenga hoja kwenye bii taasisi.
Wanacho jua ni kuandika ugoro kuoata buku tano.
Wakristo tuliamua kukiweka chama chochote madarakani bila kusikiliza maelekezo za viongozi tuna uwezk huo.
Hapa tujadiliane siasa tuachs mambo ya imani pembeni.
Mlitumwa kumshambulia kiongozi mkuu wa KKKT?
 
Ninashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine waandamizi wameongoza mashambulizi makali dhidi ya kanisa na kiongozi wake. Inasikitisha sana.

Nimejiuliza je, KKKT ndo mpinzani mpya wa CHADEMA badala ya CCM? CHADEMA haioni kama inapoteza muda kushambulia kanisa? Haijui kuwa kiongozi wa kiroho anasikilizwa zaidi na watu kuliko kiongozi wa kisiasa? Askofu Malasusa kwa sasa ndo kabeba dhamana ya kuongoza waumini wote wa KKKT Tanzania na hivyo kumshambulia yeye ni kulishambulia kanisa zima. Athari zinazoweza kujitokeza ni CHADEMA kuzidi kupoteza zaidi kura zake kutoka kwa waumini wa KKKT.

Ninawashauri CHADEMA waache mara moja mashambulizi dhidi ya Askofu Malasusa. Haina faida yoyote kisiasa.
Chadema iache kwanza, hangaika na jimama
 
Aliyoyasema Malasusa ni ya kwake binafsi na sio KKkT usiruchanganye
 
Yaani ni nchi gani ambayo kuli mtu mwenye mawazo tofauti ni mpinzani!?! Huu ndiyo unafiki.

Watanzania tunaomba katiba hizo drama nyingine kaeni nazo nyie. Raisi Samia kama anapenda nchi na sio genge la walaji atuletee katiba mpya
 
Chadema wanapenda mambo ya kiuanaharakati mno.

Kanisa sio ngo ya kiuanaharakati.

Kanisa jukumu lake ni kuwalea watu kiroho.

Chadema ifanye kazi yake ya kisiasa iache kuingilia kanisa pale inaposhindwa katika wajibu wake kisiasa.
 
Back
Top Bottom