Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Dkt. Joseph Mhagama amesema maandamano sio suluhu ya kupata muafaka wa maoni ya Muswada wa Sheria ya Uchaguzi na kuongeza kuwa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Utekelezaji wa mradi DMDP katika awamu ya 4 na 5 ulibadilisha kwa kiasi kikubwa taswira mbaya ya miundombinu ya barabara kwa jiji la Dar es salaam. Kuna maeneo ambayo yalionekana kama ni ya...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Raisi akitokea ukanda wa pwani na visiwani yani mikoa ya Pwani, Dsm na Zenji naona kunakuwa na unafuu sana kwenye Demokrasia kuliko Raisi akitokea mikoa ya bara. Enzi za Nyerere ilikuwa ni ngumu...
2 Reactions
8 Replies
671 Views
Katika hili la ulinzi wa Mipaka na barabara zake nampongeza CDF kwa kuliona na zaidi nampongeza Rais Samia kwa kuahidi kuliwekea mkakati Maalum Nakumbuka mgombea Urais mmoja wa nchi jirani...
0 Reactions
7 Replies
797 Views
Mjane wa aliyekuwa mwanasiasa maarufu wa upinzani wa miaka mingi, Augustine Lyatonga Mrema leo amerejea CCM kwenye mkutano wa katibu mwenezi wa chama hicho, Paul Makonda. Doreen Mrema amekadhi...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Kama mada inavyosema hapo juu, umewahi kuambiwa uongo gani kuhusu kadi yako ya chama cha saisa ukaja kujua sio kweli? Kuna watu wapigwa fix nyingi kuhusu kadi hizi kwa malengo...
0 Reactions
5 Replies
579 Views
Sisi wakaazi wa Kibaigwa wilayani Kongwa tunasema Sasa basi. Miaka 60 madarakani lkn BARABARA zetu zipo hovyoo kiasi hiki? Kila siku mnajitapa tumejenga barabara za lami oooh mahospitali oooh...
2 Reactions
13 Replies
850 Views
Wadau nawaomba kufahamu TOFAUTI ya MAANDAMANO anayofanya MAKONDA yakiwa na MISULULU ya Watembea kwa miguu bodoboda Bajaji na magari wakiwa na Bendera za CCM na yatakayofanywa na CHADEMA? Naamini...
0 Reactions
6 Replies
636 Views
Ukiuliza sera ya serikali kwa sasa ni nini hata viongozi wenyewe hawajui. Wataanza kukutajia SGR, Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere, watakutajia Bandari na kadhalika. Kwa ufupi hata...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Kwema Waheshimiwa! Kwanza sijajua maandamano haya ni endelevu au ni ya siku moja tuu. Maandamano ya amani ni nini hasa? Huwezi ita maandamano ya amani wakati muda huohuo ni kudai haki Fulani...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa jarida la The Standard likinukuu taarifa Kutoka The Ports of Africa ni kwamba Bandari ya Dar imezidiwa na meli kiasi kwamba hadi jumanne ya wiki hii ya Disemba kulikuwa na meli 38...
4 Reactions
59 Replies
5K Views
MBUNGE MWAMBE AWAKUTANISHA VIONGOZI WA VYAMA VYA MSINGI VILIVYO JIMBO LA NDANDA Huu hapa ushauri wa vyama vya ushirika vya Ndanda juu ya sheria ya mabadiliko ya ushirika Viongozi wa vyama vya...
0 Reactions
0 Replies
452 Views
Wakuu, Kwanini unashibikia chama hicho cha siasa? Kuna watu huwaambii kitu kwenye vyama vyao. Hata chama kifanye madudu gani kwao chama ndio kinakuja mwanzo kuliko kitu chochote, na yuko tayari...
0 Reactions
4 Replies
493 Views
Ulianza vizuri mbio zako baada ya kupokea kijiti Kwa bahati ya Mungu. Watu wa Pwani tunasema ulianza na mguu mzuri baada ya kuchagua uelekeo tofauti na mtangulizi wako kuhusu demokrasia na...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimemfuatilia sana Upendo Peneza. Ni kiongozi anayetumia akili sana, na amekuwa tofauti na Chadema wengi wanaokurupuka. Ni msomi wa haja, madigirii yamejaa kichwani, ana hekima kubwa sana...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Kuelekea maandamano ya kesho kutwa huku tayari maandalizi ya kuwakumbusha mamilioni ya wazalendo yamekamilika. Tunavyosemaga kuwa CDM ni mpango wa Mungu kuja kuwakomboa Watanzania muwe mnaelewa...
24 Reactions
131 Replies
7K Views
Wakuu, Huwa unazingatia nini kabla hujaamua kwenda kwenye mkutano wa siasa, iwe mkutano wa hadhara au kampeni? Ni mada inayoenda kuzungumzwa, mzungumzaji mwenyewe, nguvu ya chama au nini? Nini...
0 Reactions
6 Replies
516 Views
Wakuu, Msikilize kiongozi huyu aliye ambiwa amkaribishe Makonda, yaani ni kampeni kabisa zimeanza. "Wilaya ya Hai sasa imepata maendeleo makubwa, ninachotaka kuwaomba msifanye makosa, kina...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbombo ngafu.....jidanganye kwamba maandamano yamekubaliwa!!!! ====== Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekutana na Viongozi wa CHADEMA na kuwahoji kuhusu maandamano...
3 Reactions
83 Replies
7K Views
Wananchi wanashindwa kumudu gharama za maisha. Sijasema nasapoti maandamano. Kusapoti kwangu naona Kama ni kuruhusu, na mimi siyo kazi yangu kuruhusu au kutoruhusu maandamano. Mwenye kazi hiyo...
4 Reactions
11 Replies
738 Views
Back
Top Bottom