Hakuna anayeshangaa kwa matamshi ya Askofu Malasusa leo hii
Tulikuwa tunamuona Malasusa anashiriki vikao na Jiwe na anapewa airtime ya kutosha kuwasema wapinzani hadharani.
Hivyo Leo ulikuwa ni...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda akiwa katika Ziara ya Wilayani Hai mkoani Kilimajanro amewaambia wanaccm kuwa wamuache Mbowe afanye tu harambee za...
Tumesikia matamko huko Mwanza, Dar na kwingineko Viongozi wa Machinga na bodaboda kadhaa wakitoa tamko kuwa wao habari za maandamano hawazitaki na kuwa wanaunga mkono serikali na "juhudi" zake...
Vijana endeleeni kudanganywa na Mr.dj hata hayo maandamano aliyotangaza NI kiini macho kwa kuwa mpango huo hauwezekani anataka kuaminisha wafuasi kwamba NI mpambanaji kumbe nyuma ya pazia anapiga...
Ameandika Mbowe katika ukurasa wake wa mtandao wa X;
"Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es...
Aliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo...
Hakuna kitu kibaya cha kuzuia zuia uhuru wa watu wenye mawazo mbadala kwani ni mara chache sana ndani ya serikali kujua vitu hasi kwani watendaji huona kama ni uzembe wao kwa mamlaka...hii zuia...
Wote tunajua Miswada ya Sheria za Uchaguzi imegawiwa kwa Wadau mbalimbali ikiwemo Chadema ili Kupata maoni yao mbele ya Kamati ya Bunge.
Maoni ya Chadema yamewasilishwa mbele ya Kamati ya Bunge...
Mkuu wa Kanisa la KKKT baba askofu Dr Alex Malasusa amesema alipochaguliwa tu Muumini mmoja alimtumia salamu za pongezi na kusema " mitaani Watu wanasema wewe uko Karibu sana na Serikali"
Askofu...
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa...
"Mimi ni Mwenezi ninaebadilika kutokana na mazingira, ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli chuma wale jamaa wangenyooka.
"Sasa Kipindi hiki na mimi najaribu kuwa na kauli za mama, Mama...
Nimekuja hapa ninayo machache sana ya kuongea japo naona kama niongee mengi!
Nasikitika ninapoona Katibu itikadi na ueneziwa CCM, akiwakalipia Wakurugenzi,DC,Waziri na Wabunge nabaki kinywa...
Akikagua maeneo yaliyoathirika na Mafuriko jimboni Kawe mh Gwajima ameshangaa mbunge wa zamani Halima Mdee kwa miaka 15 alikuwa anafanya Kazi gani
Dr Gwajima anasema Halima Mdee hajafanya lolote...
Enzi za utawala wa Mzee Ruksa bila kujua athari zake alimwachie Late Mrema madaraka makubwa kupitiliza.
Awamu ya Sita namwona Mama akirejea makosa yale yale ya kumwachia maradaka makubwa Bashite...
Benki ya DCB imalazimika kuwachukulia UVCCM hatua Kali.
Watumishi wa UVCCM waliokopa fedha kutoka DCB Bank wameshindwa kurudisha madeni hayo kwa zaidi ya miaka 10.
Huu ni uhujumu uchumi kama...
Watanzania wote wanafahamu na kimsingi wamekubali kushiriki kikamilifu Maandamano hayo ya amani yaliyoitishwa na CHADEMA , ili kupinga miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyopelekwa bungeni...
Wapo watu wengi wenye sifa za kupiga kura, lakini wamekuwa wakijiandikisha na baada ya hapo hawaendi kupiga kura kuwachagua viongozi wa kuwaongoza, na wengine hawajiandikishi kabisa licha ya kuwa...
Kwa wanaofuatilia Siasa za CCM wataelewa ninachosema
Shaka na Mjema waliachana na Ubunifu wa Komredi Polepole wakafeli na kutumbuliwa lakini Komredi Makonda anazitumia na anafanikiwa Sana
Hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.