Taifa limechelewa sana kumtumia Upendo Peneza, anafaa kuwa Mkurugenzi, Mkuu wa Wilaya, au mtaalamu mkubwa sana serikalini au balozi

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,012
20,685
Nimemfuatilia sana Upendo Peneza. Ni kiongozi anayetumia akili sana, na amekuwa tofauti na Chadema wengi wanaokurupuka.

Ni msomi wa haja, madigirii yamejaa kichwani, ana hekima kubwa sana.

Natamani mama ampe majukumu makubwa sana serikalini. Pamoja na hayo, kama anapenda siasa, apewe nafasi afanye siasa.

Ila ninamuona kama anapenda kazi za kitaalamu, sio mpenda makelele.

Taifa limechelewa kupata utumishi wake, ila wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
 
Masoud Kipanya ndiye aliyemuibua Upendo Peneza kwenye kipindi cha Maisha Plus.

Upendo alikuwa mshiriki mwenye mvuto sana. Wahenga wenzangu mtakubaliana na hili.

CHADEMA wenyewe ninadhani walimuona kupitia Maisha Plus na wakamyakua.
 
Haha ha usa

Jili mpya yaani . Mnasubir mpaka watoke chadema ndo muwape vyeo wale waliopo pale lumumba au kwasababu wanadaiwa???
 
Chawa Kila mahali
Nimemfuatilia sana Upendo Peneza. Ni kiongozi anayetumia akili sana, na amekuwa tofauti na Chadema wengi wanaokurupuka.

Ni msomi wa haja, madigirii yamejaa kichwani, ana hekima kubwa sana.

Natamani mama ampe majukumu makubwa sana serikalini. Pamoja na hayo, kama anapenda siasa, apewe nafasi afanye siasa.

Ila ninamuona kama anapenda kazi za kitaalamu, sio mpenda makelele.

Taifa limechelewa kupata utumishi wake, ila wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
 
Mimi nadhani CCM ifikie hatua mgeni anayehamia ccm apokelewe vizuri sana na alelewe vizuri sana na chama kimpe muda kwanza , siyo kupewa vyeo kisa ametoka upinzani, ccm ina wasomi wengi, vijana smart sana na ambao wanajitoa sana kwa ajili ya chama na wanakipenda chama, sidhani kama ccm wanaweza kufanya hivi, wakifanya hivyo watasababisha vijana wenye weledi waingie kwanza upinzani kutafuta majina na umaarufu wa kisiasa kisha wanaingia ccm kwa maslahi zaidi.
 
Huyo Upendo tayari ameshapewa kazi,huko uvccm wamejaa chawa tu ndiyo inabidi waje watafute vichwa huku Chadema. Hivi chawa kama Lucas mwashambwa utampa kazi gani,ni kuwaacha wapuyange tu huku mitandaoni wakiishi kwa matumaini ya kuteuliwa siku moja siku ambayo haitafika hadi kiama.
 
Nimemfuatilia sana Upendo Peneza. Ni kiongozi anayetumia akili sana, na amekuwa tofauti na Chadema wengi wanaokurupuka.

Ni msomi wa haja, madigirii yamejaa kichwani, ana hekima kubwa sana.

Natamani mama ampe majukumu makubwa sana serikalini. Pamoja na hayo, kama anapenda siasa, apewe nafasi afanye siasa.

Ila ninamuona kama anapenda kazi za kitaalamu, sio mpenda makelele.

Taifa limechelewa kupata utumishi wake, ila wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
Ulichokiandika umedhihirisha kwamba hizi ndizo akili za mwafrika Tena yule mwafrika duni wa kufikiri. Unamuamini vipi huyo dada? Je kama kapandikizwa ku scrutinize? Ndiyo maana mnawapa ajira na teuzi wakimbizi.
 
Masoud Kipanya ndiye aliyemuibua Upendo Peneza kwenye kipindi cha Maisha Plus.

Upendo alikuwa mshiriki mwenye mvuto sana. Wahenga wenzangu mtakubaliana na hili.

CHADEMA wenyewe ninadhani walimuona kupitia Maisha Plus na wakamyakua.
but she was so mean compared to other contestants.
 
Ulichokiandika umedhihirisha kwamba hizi ndizo akili za mwafrika Tena yule mwafrika duni wa kufikiri. Unamuamini vipi huyo dada? Je kama kapandikizwa ku scrutinize? Ndiyo maana mnawapa ajira na teuzi wakimbizi.
Sisi tuna imani naye, hayo mengine utajua wewe
 
Back
Top Bottom