Kama maandamano ya Kenya hayakuleta matokeo, tutegemee nini kwenye haya yetu ya Januari 24, 2024?

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
22,623
54,658
Kwema Waheshimiwa!

Kwanza sijajua maandamano haya ni endelevu au ni ya siku moja tuu. Maandamano ya amani ni nini hasa? Huwezi ita maandamano ya amani wakati muda huohuo ni kudai haki Fulani. Hakuna maandamano ya hivyo.

Kudai haki zipo njia nyingi kama kukaa mezani, lakini yakishakuwa maandamano hii inamaanisha njia ya amani yaani ya kukaa mezani imeshindikana.

Maandamano ya Amani mara nyingi huhusu kumpongeza mtu fulani, kusherehekea jambo fulani, kushangilia ushindi fulani nk, lakini kukishakuwa na madai ya haki fulani hayawezi kuwa maandamano ya Amani.

Sio ajabu Màandamano ya Amani yoyote duniani yenye lengo la kudai haki utakuta vyombo vya dola vikiyazuia kwa namna mbalimbali ikiwemo Nguvu.

Watu wanaofanya maandamano ya Amani ya kusherehekea, kupongeza au kushangilia jambo fulani hata uwape Bunduki au mabomu hawawezi kuleta madhara.

Lakini maandamano ya kudai Haki ambayo hayawezi itwa maandamano ya amani huwezi wapa Watu hao bunduki au mabomu kwani kitakachotokea kinajulikana.

Swali ni je, ikiwa maandamano ya Kenya ambayo nayo yaliitwa ya Amani yalishindwa, nini tutegemee kwenye maandamano yetu?

Je, Wapinzani wanataka kupima kiwango cha ushawishi wao kwa wananchi dhidi ya serikali? Ni hakika kuwa Wito wa maandamano kwa wanasiasa pia huchukulia kama kipimo cha nguvu ya ushawishi kwa Wananchi.

Nitakuwepo Route ya Mbezi ya Kimara.

Nawatakia Jumatatu njema.
 
Vipi yakiitwa maandamano ya kudai haki kwa amani?

Kama waandamanaji hawana silaha yoyote, ni wao tu, miguu yao, na sauti zao, bado hapo hauioni amani?

Kama ni kudai haki, wewe ulitaka haki idaiwe kwa style gani? au kwako hata kupaza sauti ni uvunjifu wa amani?

Vyombo vya dola kuyazuia huko duniani ni kwa sababu ya hofu tu isiyokuwa na maana, na wanafanya hivyo kwa lengo la kuwalinda watawala dhalimu, lakini binafsi sioni maana ya kuwazuia waandamanaji wasiokuwa na silaha yoyote tena kwenye jambo lililo wazi kisheria.
 
Ya kwetu ni ukichaa, kufanya jambo lilelile, kwa njia ile ile halafu utegemee matokeo tofauti.

Walishaandamana sana bila mafanikio, na bado wanaandamana, wakitarajia matokeo tofauti.....insanity
 
Kwema Waheshimiwa!

Kwanza sijajua maandamano haya ni endelevu au ni ya siku moja tuu. Maandamano ya amani ni nini hasa? Huwezi ita maandamano ya amani wakati muda huohuo ni kudai haki Fulani. Hakuna maandamano ya hivyo.

Kudai haki zipo njia nyingi kama kukaa mezani, lakini yakishakuwa maandamano hii inamaanisha njia ya amani yaani ya kukaa mezani imeshindikana.

Maandamano ya Amani mara nyingi huhusu kumpongeza mtu fulani, kusherehekea jambo fulani, kushangilia ushindi fulani nk, lakini kukishakuwa na madai ya haki fulani hayawezi kuwa maandamano ya Amani.

Sio ajabu Màandamano ya Amani yoyote duniani yenye lengo la kudai haki utakuta vyombo vya dola vikiyazuia kwa namna mbalimbali ikiwemo Nguvu.

Watu wanaofanya maandamano ya Amani ya kusherehekea, kupongeza au kushangilia jambo fulani hata uwape Bunduki au mabomu hawawezi kuleta madhara.

Lakini maandamano ya kudai Haki ambayo hayawezi itwa maandamano ya amani huwezi wapa Watu hao bunduki au mabomu kwani kitakachotokea kinajulikana.

Swali ni je, ikiwa maandamano ya Kenya ambayo nayo yaliitwa ya Amani yalishindwa, nini tutegemee kwenye maandamano yetu?

Je, Wapinzani wanataka kupima kiwango cha ushawishi wao kwa wananchi dhidi ya serikali? Ni hakika kuwa Wito wa maandamano kwa wanasiasa pia huchukulia kama kipimo cha nguvu ya ushawishi kwa Wananchi.

Nitakuwepo Route ya Mbezi ya Kimara.

Nawatakia Jumatatu njema.
It seems that your knowledge about peacefully demonstration may lack a deep understanding of the intricacies surrounding the whole issue. In order to enhance the credibility of your comments, I would recommend delving deeper into the history of demonstration in various countries around the world to provide a more comprehensive and nuanced perspective.
 
Watu hawatafika hata buku, Tz kondoo sanaa, na ubinafsi sana,
Yan mm niache mishe zangu za kupata 20k per day niende kwenye maandamano! ? Hio ndio itakuwa kauli kwa wengi
 
Tumia akili mkuu hata za kuazima MAANDAMANO ya Kenya yalimfanya RAIS RUTO na RAILA kukutana na kuzaa MAZUNGUMZO Jambo ambalo lilikuwa Gumu na toka waanze Mazungumzo hakuna tena Maandamano yaliyofanyika.
PUNGUZA UCHAWA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Vipi yakiitwa maandamano ya kudai haki kwa amani?

Jambo limeshindikana mezani, wenq Mamlaka hawajaonyesha nia ya kutoa haki hiyo kwa njia ya mazungumzo (mezani) ndio maana hatua inayofuata ndio hiyo ambayo kimsingi hilo ni shinikizo na sio mazungumzo tena.
Kama waandamanaji hawana silaha yoyote, ni wao tu, miguu yao, na sauti zao, bado hapo hauioni amani?
Silaha ya kwanza katika mapambano ni nia na sababu. Mtu kama hana nia wala sababu hata umpe silaha ambayo ni Materials hawezi fanya chochote.
Kama ni kudai haki, wewe ulitaka haki idaiwe kwa style gani? au kwako hata kupaza sauti ni uvunjifu wa amani?

Vyombo vya dola kuyazuia huko duniani ni kwa sababu ya hofu tu isiyokuwa na maana, na wanafanya hivyo kwa lengo la kuwalinda watawala dhalimu, lakini binafsi sioni maana ya kuwazuia waandamanaji wasiokuwa na silaha yoyote tena kwenye jambo lililo wazi kisheria.

Mimi sijachagua njia ya wao kudai haki. Ishu hapo ni kuwa màandamano ya kudai haki yatakuwaje ya amani ilhali wanaodaiwa haki hawataki?
 
It seems that your knowledge about peacefully demonstration may lack a deep understanding of the intricacies surrounding the whole issue. In order to enhance the credibility of your comments, I would recommend delving deeper into the history of demonstration in various countries around the world to provide a more comprehensive and nuanced perspective.

Maandamano ya Kudai Haki hayawezi kuitwa maandamano ya Amani. Hapa tunazungumzia ishu ya Mantiki.

Kuandamana kudai haki tafsiri yake ni kushinikiza jambo ambalo limeshakataliwa.
Na kama limekataliwa kinachoenda kutokea ni ugomvi ambao kimsingi ndio uvunjifu wa amani wenyewe. Licha ya kuwa wazima màandamano ndio watakuwa waliovuruga Amani.

Ni tofauti na kukaa meza ya mazungumzo ambapo wote mahasimu mpo tayari kujadili pasipo fujo yoyote.
 
Watu hawatafika hata buku, Tz kondoo sanaa, na ubinafsi sana,
Yan mm niache mishe zangu za kupata 20k per day niende kwenye maandamano! ? Hio ndio itakuwa kauli kwa wengi

Wanachotakiwa Chadema kusema ni ukweli kuwa màandamano hayatakuwa ya Amani bali ya kupigania Haki.
 
Back
Top Bottom